Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Nahitaji kadi ya cdm niweze kukichangia kila mwaka ili kuongeza ufanisi na utendaji wake waweze kuwafikia wananchi wengi zaidi!!

Ujamaa ulisha kufa na Nyerere!! CCM ya sasa ni chama cha waislamu wa Pwani na Unguja (kwa sababu ya ujinga) na mafisadi wachache ndani ya Tanzania. Kauli za viongozi wa ccm zinazoendelea hivi sasa ni dhahiri kwamab maji yamewafika shingoni, kuhema tabu!!
 
-Mbowe ni Mfanyabiashara anayelipa kodi kwa Mujibu wa Sheria

-Kuna kasumba mbaya imeibuka inayojenga Taswira hasi kwa kila mfanyabiashara.Hatuwezi kujenga Taifa kubwa kwa mentality hizi

Sera ya CHADEMA kulingana na Mrengo wetu kiitikadi ni kuwa Mazingira mazuri ya Biashara na mfumo wa soko uendeshe uchumi ambapo individual efforts zinakua rewarded.

Umaskini si jambo la kujivunia.CHADEMA kimeweka msimamo wake very Clear.Kuweka mazingira mazuri ya kibiashara na kukuza uchumi kupitia uboreshaji wa maisha ya mtu mmoja mmoja.Tungefuata sera sahihi za kiuchumi na kibiashara basi nchi hii ingekua na mabilionea wengi zaidi na turnover ya wafanyabiashara tunaowaona leo hii ingekua tofauti na turnover zao kwa sasa.

Leo hii kutokana na kuwa na sera ya 'Kuchanganyikiwa" ya kiuchumi na kijamii hatuwezi hata kuweka estimation ya kuwa tutakua na Mamilionea au mabilionea wangapi in 5-15 years baadae.Tunapiga ramli kama waganga wa Kienyeji badala ya scientific forecasting

Hizi mentality za Kimaskini tunazoona zimejengwa kwa muda mrefu na kupaliliwa na mfumo na zinajenga chuki kwa kila mfanyabiashara lakini cha ajabu wanasiasa wezi wezi na waroho wa mali za Umma wanakua celebrated na kushangiliwa kuwa fulani ni Noma.Tunajenga taifa dogo la ovyo lenye uwezo wa kupiga reverse kimaendeleo tu na sio zaidi ya hapo.

Kuhusu Malicious intent kwa kuandika story zenye malengo mabaya kisiasa ni.jambo la hatari sana

Raia Mwema nimekua nikiliheshimu na hadi sasa nawapa benefit of doubt ili niwe rational.

Ukweli wa jambo lolote ni suala la Muda.Sidhani sasa kama Raia Mwema wamebadili dimension ya Legacy yao waliojenga kwa muda Mrefu kwa kuamua kwenda Gutter na irresponsible Journalism.

Jenerali Ulimwengu ana heshima kubwa nchini kitaaluma na katika weledi.Sidhani kama anaweza kuruhusu mambo haya

Wakati huo huo hatuwezi kupuuza kila lisemwalo maana kuna mambo mengi.Uchaguzi ndani ya CHADEMA unakaribia,Hoja ya Kuficha Mabilioni nje inaweza kuwa diluted kwa mbinu mbalimbali na pia kwa kuwa kuna wanasiasa wanahusika na hoja hii wanaweza kuitumia kisiasa kujinufaisha na kuwalenga maadui zao kwa sababu wanazozijua ambazo no doubt ni za Kisiasa

Najua wanapita wahariri hapa,Sasa sote tujiulize ;

Je,Tunapokubali kutumia vyombo vyetu kwa maslahi ya kisiasa ya watu wachache tunaitendea haki jamii?Je,misingi ya Demokrasia na mhimili wa media tunautendea haki?Tunakuza au tunafifisha tasnia ya Habari?
Akili hii imekaa mguu sawa,kwangu mimi huu ndiyo u great thinker.
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
Jeshi zima la tuntemeke ,linakuja na uharo huu.
 
- Mbona hmakuwahi kulisema hata siku moja kwamba mna majumba lukuki huko nje, unasema mzee mbowe alikuwa na majumba nje? kweli wajinga ndio waliwao, leo hamchomoki hapo!!!

LE Mutuz

Huwa nashindwa kukuelewa kabisa, wewe unakaa nyumba ya Baba upanga sea view, hukupaswa kabisa kufunguwa domo lako kwenye thread hii mtoto wa mama wewe, kinachokutofautisha wewe na Mbowe ni kwamba mwenzako amerithi pesa na ameendeleza utajili, lakini wewe Baba akifa ni lazima ufirike mjini hapa.

Nitashangaa sana hapa JF kwa member yeyote makini au mwanachadema kama atashangaa mtu kama Mohammed Dewji mbunge wa Singida mjini kwa tiketi ya CCM kuwa na nyumba Dubai au Canada. Huyu ni mfanyabiashara na siyo mtumishi wa serikali.

Nb: JF imeshapoteza muelekeo wajinga wanaongezeka maradufu badala ya kuelimika.
 
Willium Malecela, hata wewe unaonyesha kuhusu nyumba za nje? Ile ya Jumanne Malecela aka John iliyopo Australia alipata vipi? Ile anayoisimamia yule mdogo wako.....iko Merlborn .....una la kusema !
 
Willium Malecela, hata
wewe unaonyesha kuhusu nyumba za nje? Ile ya Jumanne Malecela aka John
iliyopo Australia alipata vipi? Ile anayoisimamia yule mdogo
wako.....iko Merlborn .....una la kusema !

Ungemalizia tu kusema kama na yenyewe (nyumba hiyo) inaonekana kwenye mafaili huko kwenye Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Uma
 
- Mbona hmakuwahi kulisema hata siku moja kwamba mna majumba lukuki huko nje, unasema mzee mbowe alikuwa na majumba nje? kweli wajinga ndio waliwao, leo hamchomoki hapo!!!

LE Mutuz

Kubwa kinga
Baba yako aliwahi kuwaamhia watu 'go to hell'. Na mimi nakuambia 'go to hell' kama ukishindwa kuthibitisha Mbowe ana majumba lukuki.
 
mbowe na familia yake ni wafanya biashara wa siku nyingi na kila mtanzania anajua hilo ,isipokua maccm bongo lala
kama munawasi wasi naye nendeni mkamuchunguze muumbuke wenyewe .kuhusu mafisadi mulioficha pesa ulaya hamuta salimika msitumie issue ya mbowe kua na nyumba dubai kutuondoa kwenye hoja ya msingi

Unarudia yaleyale hakuna ambaye hajasema Mbowe sio mfanyibiashara kinachoangaliwa na uhalali wa upatikanajia wa pesa na kama taratibu za nchi zilikiukwa; pesa nyingi zinazohifadhiwa Uswisi ni magumashi matupu ndio maana hata wao wenyewe Uswisi wanazisaidia serikali za Afrika kukamata hizo pesa.
 
mwakani?hamuwezi kutegemea kuichafua chadema na kujifanya mna uchungu na chama.kama huna vielelezo kwa haya kaeni kimya

Mbowe na mijengo hiyo huko nje fursa hiyo aliipataje kwa nchi rofa kama hii? na kwa maana hiyo hiyo nini tofauti yake na mtanzania wa chini haswa inapofika ktk mtazamo wa aliyenacho na asiyenacho? yeye yuko wapi hapo na cdm kwa ujumla inareflection gani kwa wanachama wake? na hivi mh, kikwete amekuwa waziri wa mambo ya nje miaka kadhaa hebu tufanye hiyo kama kulinganisha yeye ana nyumba ngapi nje ya nchi?
 
hongera Mbowe kwa kuwa mjasiriamali wa nguvu! Magamba wanakuonea wivu!
wewe lazima ushabikie mambo ya kike, ukiponda ata hivyo viatu unavyobrash atakutimua, endelea na kazi yako ya upishi. akili finyu ni janga la Taifa.
 
Mwita, Ulicho andika vinaendana kweli na umri wako??
mkuu nafikili ujamwelewa Mwitamaranya, anamaanisha Zitto kaenda kujionea jinsi viongozi wenzake walivyo mafisadi ili aje awabane kwa matumizi mabaya ya pesa za Ruzuku. kumbuka Mwita ni shabiki wa zitto hivisasa.
 
wewe lazima ushabikie mambo ya kike, ukiponda ata hivyo viatu unavyobrash atakutimua, endelea na kazi yako ya upishi. akili finyu ni janga la Taifa.

mbona wewe tunakufahamu unakula kwa mama yako pale mtaa wa kati.. Miaka yako 40 bado unakula kwa mama? Kila siku unapeleka buku 7
 
Kutokana na mjadala ambao tayari umeshawekwa hapa na kujadiliwa kwa siku mbili mfululizo , nimeona kuwa kuna watu wanafanya propaganda badala ya kujaribu kuutafuta ukweli wa jambo lenyewe na kuangalia rationale ya jambo linalojadiliwa .

Mimi niliamua kufanya jambo moja la kujaribu kuangalia nini alichokua amedeclare Mbowe kwenye Tume ya maadili ya viongozi kwa mujibu wa Sheria ya maadili ya viongozi wa umma , nimekuwa mambo yafuatayo na kama yupo ambaye anaweza kunichallenge na aje a seem hapa na sio kuhangaika na Gutter politics ,

Mbowe Freeman , kwenye fomu zake alideclare kuwa anamiliki nyumba kwenye nchi zifuatazo,USA, UK, SOUTH AFRICA , DUBAI NA NAIROBI . Nyumba zote hizo alionesha alizinunua lini na zipo maeneo gani kwenye nchi hizo.

Aidha, kuhusu kumiliki Akounti ya Benki nje ya Nchi alionesha kuwa anamiliki Akaunti iliyopo London Barclays Bank na nyingine iko Hull City, na Benki moja USA .Ila hana Akaunti katika nchi ya Uswisi wala kwenye offshore nyingine zozote zile.

vyote hivyo vipo kwenye fomu ya maadili ya viongozi , pia alionesha kuwa Ana madeni kwenye mabenki mbalimbali ndani nanje ya nchi, na hii ni kwa mujibu wa sheria .

Sasa hapo nimeona nisaidie kutoa ufafanuzi huu, na kama mtu unataka unaweza kwenda pale tume ya maadili ya viongozi wa umma na unalipia kiasi cha shilingi 1,000 tu na unapewa fomu hizo ila huruhusiwi kuondoka nazo wala kupiga picha au kutoa nakala ya fomu (photocopy).

hivyo , jukwaa kuendelea na kujadiliana kuhusu nyumba moja ya DUBAI , ni vyema jukwaa likarudi kwenye heshima yake ya siku za nyuma ya kuwa mbele ya waandishi kwa kwenda hatua moja mbele katika kuutafuta ukweli wenyewe na sio kuendelea kulifanya jukwaa kuwa kama sehemu ya udaku.

Hivyo, basi badala ya kusubiria wakina Ezekiel Kimwaga , kuandika taarifa za upande mmoja wanaotaka wao kuwa ni Mbowe, Rostam Na Ngeleja tu ndio ambao waliombwa kusaidia timu hiyo katika kutafuta ukweli wa fedha za Uswisi, ni kuwa wabunge wote walioongea siku ya mjadala huo walihojiwa akiwemo Zitto Kabwe ambaye alihojiwa kwa saa nane na timu hiyo, pamoja na wabunge wengine wengi na wafanyabiashara wakiwemo mameneja wa Benki mbalimbali na wamiliki wa maduka ya fedha.

Ni Imani yangu kuwa kwa hili nimeweza kulisaidia jukwaa kuwa na mjadala ambao ni focused , na turejee historia yetu ya kubwa mbele ya media nyingine na sio kama ambavyo leo tunakuwa .........

Sasa kiongozi wa namna kuna tofauti gani na mwenye RAIA Zaidi ya Mbili? kimantiki yake wajameni sio ki theory.
 
- Mbona hmakuwahi kulisema hata siku moja kwamba mna majumba lukuki huko nje, unasema mzee mbowe alikuwa na majumba nje? kweli wajinga ndio waliwao, leo hamchomoki hapo!!!

LE Mutuz

Mna jaribu kuhamisha hoja nzito ya MB Zitto kwa makusudi kabisa!

Kama una nyumba nje ya nchi uliyo nunua kihalali kwa pesa za jasho lako kuna ubaya gani?Kama una pesa kwenye bank account ya nje ambazo ipo traceable na zikaonekana ni halali kuna ubaya gani?

Watz wanalia na wezi waliotumia mwanya wa mikataba na manunuzi mbalimbali kujiwekea pesa kwenye accounts zao nje ya nchi!Waliotuibia ndiyo hasa Zitto anawatafuta Uswis!Hela za Chenge ni mfano hai maana hamna sehemu yyt kwenye kiapo cha Bunge alipo declare hela hizo!

Kuna watz wengi tu wana nyumba nje na walizilipia kwa hela halali mbona hawasakamwi?

Na hoja zako wala hazieleweki kwa kweli!Je Mbowe Freeman kawahi liibia Taifa hili?When and how?Mbowe amewahi kuwa ndani ya dola?

Msituharibia hoja ya Zitto pls
 
Kutokana na mjadala ambao tayari umeshawekwa hapa na kujadiliwa kwa siku mbili mfululizo , nimeona kuwa kuna watu wanafanya propaganda badala ya kujaribu kuutafuta ukweli wa jambo lenyewe na kuangalia rationale ya jambo linalojadiliwa .

Mimi niliamua kufanya jambo moja la kujaribu kuangalia nini alichokua amedeclare Mbowe kwenye Tume ya maadili ya viongozi kwa mujibu wa Sheria ya maadili ya viongozi wa umma , nimekuwa mambo yafuatayo na kama yupo ambaye anaweza kunichallenge na aje a seem hapa na sio kuhangaika na Gutter politics ,

Mbowe Freeman , kwenye fomu zake alideclare kuwa anamiliki nyumba kwenye nchi zifuatazo,USA, UK, SOUTH AFRICA , DUBAI NA NAIROBI . Nyumba zote hizo alionesha alizinunua lini na zipo maeneo gani kwenye nchi hizo.

Aidha, kuhusu kumiliki Akounti ya Benki nje ya Nchi alionesha kuwa anamiliki Akaunti iliyopo London Barclays Bank na nyingine iko Hull City, na Benki moja USA .Ila hana Akaunti katika nchi ya Uswisi wala kwenye offshore nyingine zozote zile.

vyote hivyo vipo kwenye fomu ya maadili ya viongozi , pia alionesha kuwa Ana madeni kwenye mabenki mbalimbali ndani nanje ya nchi, na hii ni kwa mujibu wa sheria .

Sasa hapo nimeona nisaidie kutoa ufafanuzi huu, na kama mtu unataka unaweza kwenda pale tume ya maadili ya viongozi wa umma na unalipia kiasi cha shilingi 1,000 tu na unapewa fomu hizo ila huruhusiwi kuondoka nazo wala kupiga picha au kutoa nakala ya fomu (photocopy).

hivyo , jukwaa kuendelea na kujadiliana kuhusu nyumba moja ya DUBAI , ni vyema jukwaa likarudi kwenye heshima yake ya siku za nyuma ya kuwa mbele ya waandishi kwa kwenda hatua moja mbele katika kuutafuta ukweli wenyewe na sio kuendelea kulifanya jukwaa kuwa kama sehemu ya udaku.

Hivyo, basi badala ya kusubiria wakina Ezekiel Kimwaga , kuandika taarifa za upande mmoja wanaotaka wao kuwa ni Mbowe, Rostam Na Ngeleja tu ndio ambao waliombwa kusaidia timu hiyo katika kutafuta ukweli wa fedha za Uswisi, ni kuwa wabunge wote walioongea siku ya mjadala huo walihojiwa akiwemo Zitto Kabwe ambaye alihojiwa kwa saa nane na timu hiyo, pamoja na wabunge wengine wengi na wafanyabiashara wakiwemo mameneja wa Benki mbalimbali na wamiliki wa maduka ya fedha.

Ni Imani yangu kuwa kwa hili nimeweza kulisaidia jukwaa kuwa na mjadala ambao ni focused , na turejee historia yetu ya kubwa mbele ya media nyingine na sio kama ambavyo leo tunakuwa .........

Asante kwa credible info@ kama hii from reliable source,kwa weledi huu utapunguza jazba na story za kufikirika nyingi zinazochangiwa hapa jamvini.

Na tujadili HOJA kwa kutumia FACTS zaidi kuliko our personal ASSUMPTION.
Thanks for that.
 
mwizi tu naye. Kumiliki nyumba nchi za watu ni ufisadi
 
Back
Top Bottom