Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
Wacha wivu wakati Baba yake Freeman anatengeza hela wewe Baba yako alikuwa anatengeneza uchawi.
 
Tunahangaika na DP World Dubai, kumbe Mwenyekiti wetu aliwekeza Dubai siku nyingi?

Vipi Mwenyekiti, alikiona nini huko kwa Waarabu ambacho Watanzania wengine wameshindwa kukiona mpaka sasa?
 
Hatuhangaiki

Ni kakikundi ka wachache kanakohangaika tubaki nyuma…. Globalization na economic integration haviepukiki

Kama sio Dubai world atakuja mwingine na wote wanafanana, we’d rather move forward mapema kuliko kubangaishana na Kauli za walawi

Tuna kasumba mbovu sana…. Akisema fulani baaasi tunaacha kujishughulisha. Wanaopinga Dubai world ndio haohao walisaliti wenzao 2015 na Wengine ndio wana ofisi za milioni 600 kwa gharama za bilioni 2
 
Tusijazane upumbavu....kuwa Mbowe ni mfanya biashara wa siku nyingi.....blah...blah...blah...

Nani angehangaika naye kama angebaki na hayo mabiashara yake na kukaa mbali na siasa za nchi.

Kwa mtu anayetafuta kuwaongoza wengine maadili ni huja kwanza....Mbowe ni mfanya biashara..na wengi tumejua hivyo tangu siku nyingi....na ndio maana tunaiona hatari ya Chadomo na Mbowe kuhadaa wanainchi na ili kuingia ikulu.

Sifa kubwa ya mfanya biashara ni tamaa iliyotukuka ya kuendelea kutajirika kila kukicha...ni asiye na akili timamu peke yake ndio unaweza kumuaminisha kuwa kuimarika kwa utajiri na biashara zake hakutohusiana/hakuhusiani na uwepo wa saccos...ups...sorry...Chadomo...na baadae nchi (kama mnavyoendelea kuota).

Mfanya biashara wa nyama anatumia mafuta ya kuhifadhia maiti kutunza nyama anayouzia watu.....mvuvi anatumia sumu na mabomu.....muuza maziwa anaweka maji (hata ya mferejini).......muuza duka haishi kuchezea mizani....mama lishe anatumia hamira....yaani alimradi ni majanga.

Kwa kifupi mfanyabiashara ni MALI KWANZA..UTU BAADAE...........mtaandamanishwa kila kukicha..ili hali wenzenu wanajua wanachokifanya.
Wewe kweli FYATU
 
Well said

Hana moral authority ya kutuhadaa
 
Tunahangaika na DP World Dubai, kumbe Mwenyekiti wetu aliwekeza Dubai siku nyingi?

Vipi Mwenyekiti, alikiona nini huko kwa Waarabu ambacho Watanzania wengine wameshindwa kukiona mpaka sasa?
Mwenyekiti kawekeza mali (pesa) zake, nyie mnauza mali (bandari) ya wananchi! Msijitoe akili
 
Sasa Waarabu si wamekuja na pesa walizopelekewa na kina mwenyekiti Dubai?

Unafikiri wamekuja kuinunuwa bandari kwa maneno? Pesa si hizo hizo mlizowawapelekea kuficha huko?

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Hatuhangaiki

Ni kakikundi ka wachache kanakohangaika tubaki nyuma…. Globalization na economic integration haviepukiki

Kama sio Dubai world atakuja mwingine na wote wanafanana, we’d rather move forward mapema kuliko kubangaishana na Kauli za walawi

Tuna kasumba mbovu sana…. Akisema fulani baaasi tunaacha kujishughulisha. Wanaopinga Dubai world ndio haohao walisaliti wenzao 2015 na Wengine ndio wana ofisi za milioni 600 kwa gharama za bilioni 2
Jikite kwenye Terms za mkataba
 
Asingepiga hizo bilioni 2 angepata wapi hela za kumalizia mjengo wake wa Machame? Kwa sasa Mwenyekiti anajenga mjengo huo ni kufuru. Mwenyewe anasema ni nyumba ya kustaafia. Ipo pembeni ya barabara ya Machame kama kilometa 10 toka barabara ya Moshi - Arusha.
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
This is when JF was JF
 
Tunahangaika na DP World Dubai, kumbe Mwenyekiti wetu aliwekeza Dubai siku nyingi?

Vipi Mwenyekiti, alikiona nini huko kwa Waarabu ambacho Watanzania wengine wameshindwa kukiona mpaka sasa?
Nasikia mudi aliwaambia waafrica mkifa mtazaliwa waarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo maana mna abudu muarabu [emoji1787]
 
Sasa kama ulisikia wewe unataka mimi nikubishie?

Inaonesha hata mwenyekiti mbowe alisikia ndiyo akapeleka oesa zake kwa Waarabu. Au siyo?
 
Ndiyo maana yake ...ngoja waarabu wamfumye tigo ...muarabu siyo binadamu yaheee
 
Faiza kama sio Dp ama serikali wanatakiwa wakupe kifuta jasho.

Tokea nimekufahamu hapa Jf ukiipigania imani ya kiislamu, hakuna kitu ulichokioigania kama dpw!
 
Back
Top Bottom