nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,029
- 2,902
Sawa kabisa ndugu hata wakongo waliokuja kuvua samaki nao tuwaite wazee wa Mwanza ? Hawako serious.
Wazee hao watakuwa ni wakununua sio mangosha, sio kila mzee anayeishi Mwanza ni msukuma.