Mkeka niki share unchanika ila nikiwa nao alone unapasua.Lakini hata hizo odds zako unazotafuta huwa unawin mara nyingi nyingi tu
Na ndiyo maana asa hivi si share sana code.
Labda nitoe tu mtazamo wangu wa mikeka kwa siku.
Nimekuwa mtazamaji.
Juzi nime share odds 2 zikakatika the same jana na leo tena.
Ila kwa mechi zilizofuata siku share mkeka uka win.