Free tips daily 1.50 odds and 2 odds

Free tips daily 1.50 odds and 2 odds

Utabiri umeenda kama nilivyo ona.
Screenshot_20260831-220803.jpg
 
15:00

Tanzania: Ligi Kuu Bara
Simba
vs
Geita Gold
ODDS
1.18
Prob.
84.7
1
33.3
X
5
2
🔥
Predictions
S
imba to Win
✅ Won
Wewe hizo odd 1.18 ndiyo za kujisifu?
Watu humu wanaburuza odds 100-1000 na wamejikausha tu.
Watu hizo odds zako 1.5 hadi 2 ni oddz za kwenye mkeka 1 wenye mechi hata 30 za odds 2 na watu wsna buruza.

Kama wewe mtabiri leta zile dry ngumu kumeza
 
Naunga mkono hoja
 
Hizi odds za 1.5 sijui 1.8 ni rahisi sana yeyote anaweza kutabiri,mfano unaona kabisa kuna mechi haiwezi kufika magoli 6 unaweka tu under 4.5 unapata zako odds 1.3 unatembea..odds za maana za kusema kwwli umetabiri zinaanzia 2 na kuendelea,mimi sibeti lakini naweza nkaweka mechi tano hapa za mkeka mzima odds hazizidi 2 na ikatiki
 
Back
Top Bottom