Free tips daily 1.50 odds and 2 odds

Free tips daily 1.50 odds and 2 odds

Una balaa sana🔥🔥🔥
Mimi nilikimbia uzi wa wakamaria kwa sababu watu ambao tunachat nao kule hawaji inbox ila kulikuwa na id mpya mpya kila saa viznga.
Ndiyo nikasitisha code wala nn asa hivi nimekuwa mzugaji napitiaga kusalimia salimia.

Asa mtu anasema mtabiri kwa odds 1.16
Upotevu wa muda kusuka mkeka wa mechi 10 wenye odds 1.5 au 2.
Odds 2 walau zitafutwe kwenye mechi 2 au hata 3 siyo mbaya kama ni uwekezaji.
Sasa odds 2 unazisaka kwwnye mechi 6+??
 
Game za Leo mkuu tuishi umu, tusubili dk 90 ziongee
Screenshot_20260905-095202.jpg
 
Haya bado dakika chache sasa... Mkuu yaani kwa mzigo huu nilioweka leo aiseee
 
Mimi nilikimbia uzi wa wakamaria kwa sababu watu ambao tunachat nao kule hawaji inbox ila kulikuwa na id mpya mpya kila saa viznga.
Ndiyo nikasitisha code wala nn asa hivi nimekuwa mzugaji napitiaga kusalimia salimia.

Asa mtu anasema mtabiri kwa odds 1.16
Upotevu wa muda kusuka mkeka wa mechi 10 wenye odds 1.5 au 2.
Odds 2 walau zitafutwe kwenye mechi 2 au hata 3 siyo mbaya kama ni uwekezaji.
Sasa odds 2 unazisaka kwwnye mechi 6+??
Mfano wewe unaonekana hizi odds 2 kwa games 2 au 3 sio shida kabisa kwako mkuu
 
Huko nilishatoka mimi hizo odds 2 ni matokeo ya mechi 1.
Yaan naweza tia mkeka wenye odds hata 6 kwa mechi 1 na nikabamiza.
Odds 2 ni mechi 1 nayosuka ndani ya mkeka wwnys mechi hata 10.

Ningekuwa na shida na hizo odds, 2,2 au 4 mbona kila siku ingekuwa sherehe?
 
Lakini hata hizo odds zako unazotafuta huwa unawin mara nyingi nyingi tu
 
Huko nilishatoka mimi hizo odds 2 ni matokeo ya mechi 1.
Yaan naweza tia mkeka wenye odds hata 6 kwa mechi 1 na nikabamiza.
Odds 2 ni mechi 1 nayosuka ndani ya mkeka wwnys mechi hata 10.

Ningekuwa na shida na hizo odds, 2,2 au 4 mbona kila siku ingekuwa sherehe?
Kwanini isiwe hivyo sasa mkuu uwe unatubless ata odds 2 tu Kila siku kama wewe hazikufai
 
Odds 2 za humu zinawahi chanika kinomaa ila ukizisuka man alone zinatoboa.
Leo nilitupia odds 2.
1 ilitoa nyingine team 1 ili cut.
The same na jana.

Ila nikiwa na mkeka binafsi unatoboa sijajua shida n nn??

Ngoja nikuoneshe mf wa kupata odds 2.
Hizo odds ningekuwa nachukua game 3 au 2 basi odds 2 zingekuwq zinafika dairly.

Game ya juve single tu ilikuwa na odds 2.3 na imetoa
 
Attachments

  • Screenshot_20260906_225752_Helabet.jpg
    Screenshot_20260906_225752_Helabet.jpg
    143 KB · Views: 3
  • Screenshot_20260906_225827_Helabet.jpg
    Screenshot_20260906_225827_Helabet.jpg
    150.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20260906_225904_Helabet.jpg
    Screenshot_20260906_225904_Helabet.jpg
    150.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20260906_225949_Helabet.jpg
    Screenshot_20260906_225949_Helabet.jpg
    155.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom