Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Mkuu Mimi ana history c geography d civics d kiswahili c anaweza soma course gani
 
Me nakushauri asome ufundi umeme katika vyuo vya maendeleo ya jamii...any question ni pm
 
dogo langu ana BIOS-D KISW-D CHEM-D HISTD MATH-D CIV-D ENG-C GEOD PHY-C nimpeleke wp wadau?
 
Jaribu kumpeleka chuo cha nursing NDANDA wanaweza kumchukua akaanza na certificate. then akifaulu akaendelea na diploma.AU kwa maelezo zaidi unaweza kwenda wizarani ili wakupe maelezo zaidi kuusu vyuo vya nursing.
 
njoo usome certificate ukimaliza utasoma diploma then degree chukuwa namba hiyo 0714546700
 
Mpeleke jkt maana huko akimaliza mafunzo atapata fursa za kwenda ,jwtz,polisi,magereza,migration,zimamoto etc
 
Habari wakuu, jamani naombeni msaada wenu ndugu yangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana na amepata credit za kusoma form five kwa HKL, HGL na HGK yeye alipitia huu mfumo wa QT sasa anataka kusoma advance kwa mwaka mmoja, je inawezekana, ana nafasi ya kufanya vizuri na baada ya hapo anaweza kusoma degree kwa ufaulu upi kozi gani na katika vyuo vipi? Asanteni
Anaweza kusoma Form 5 na 6 mwaka mmoja bila tatizo.! Ni yeye tu kujiandaa vizuri., kuhusu Chuo kikuu ataingia kwa pass marks za kawaida kama wanazoingia nazo school candidates, asihofu kuhusu hilo.
 
kusoma five uku una risit tamu sana hiyo pepa ya form 4 unaiona sio kitu wanaosemaga mambo yanakua mengi waongo mm mwenyewe nlifanya hivyo sikua na credit ata moja lakin nlipata zote na za ziada nkaweka kapuni
 
CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F <br /><br />Division Four ya 29 , anaweza kusoma nini huyu?
 
Back
Top Bottom