Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Kwa mtu Mwenye ufaulu huu anaweza soma course gani ambayo inaweza kumuingizia kipato halali.

History -C, Civics- D Kishwahili- C, Geography- D.

Naombeni ushauri jamani.
 
Kuna ndugu yangu alimaliza form four 2010,alipata division three ya 23,physics ,C, chemistry,C, na biology ,D,je anaweza pata Chuo Afya cha Serikali?
 
Nami nasubiri kwa hamu sana,pia mwenye certificate ya chuo
 
Kwa mtu Mwenye ufahuru huu anaweza soma course gani ambayo inaweza kumuingizia kipato harali history C,civics D kishwahili C geography D naomben jaman
Ndugu hakuna kozi inayoweza/osiyoweza kumuongizia MTU kipato halali.......ungeuliza tu "kozi gani inanifaa kwa marks/alama hizi" Jitahidi kurekekebisha Uandishi wako
Kuna certificate zinskufaa but zinaangalia somo gani umefaulu nyingi zimeegemea Pass ya English..za Biashara zimeegemra pass ya Maths
Ngoja wajuzi waje
 
Mkuu nashukuru kwa kunilekebishia baadhi ya maneno ni nahitaji kujua anaweza somea nn ndo cha muhimu mkuu kuna mmoja kasema nersing si mpaka uwe umefahuru sayansi
 
Mkuu nashukuru kwa kunilekebishia baadhi ya maneno ni nahitaji kujua anaweza somea nn ndo cha muhimu mkuu kuna mmoja kasema nersing si mpaka uwe umefahuru sayansi
r na l ni janga la taifa
 
Kuwa muelewa kuitwa nurse siyo tusi hata kidogo nimesema hivyo nikiwa na maana ya kwamba hana vigezo stahiki vya kusomea unurse dont panic
 
Mkuu chuo cha wananchi kiwanda FDC kiko wapi na utaratibu ukoje
 
HONGERA KƯANZA KAMA ULVYOAMBIWA NA MTOA MADA HAPO JUU MIM NAONGEZA KÂM VP APPLY MEDCAL,LAB SCIENCE,ENG(electrical,mechanical,it,geology etc) vyuo kâm ATC,DIT,MUST,MUHAS, CUHAS............
 
Matokeo yangu ni haya . .. Je nfanyeje??
28 IV==
CIV - 'D' HIST - 'D' GEO -
'D' KISW - 'D' ENGL - 'C'
PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO
- 'D' B/MATH - 'F'
 
Kuwa muelewa kuitwa nurse siyo tusi hata kidogo nimesema hivyo nikiwa na maana ya kwamba hana vigezo stahiki vya kusomea unurse dont panic
Nilifkiri umenijibu Mimi.....nimedelete
+++I'M SORRY+++
 
Acha kupotosha.! Waliomaliza Form 4 siku hizi huwa wanawachukua moja kwa moja kutoka mashuleni mwao kulingana na ufaulu wa mwanafunzi na alivyojaza Form ile ya kuchagua shule na vyuo kutegemea polisi aliweka chaguo la ngapi. Mi cousin yangu amemaliza Form 4 2014 yupo depo CCP alichukuliwa moja kwa moja., mnafanya tu interview katika mikoa yenu. Hata kwa Form 6 pia huwa wanafanya hivyo hivyo. JKT ni kwa wale waliomaliza Form 4 na Form 6 miaka ya nyuma
Hilo ni kweli kwa siku hizi wahitimu wa kidato cha 4&6 kwa wale wanaopenda hujaza sale fomu ya upolisi wakiwa shuleni kwao kwa hiyo wale waliomaliza 4m 4&6 mwaka 2015 wao bado hawajatoa majina yao
 
Hilo ni kweli kwa siku hizi wahitimu wa kidato cha 4&6 kwa wale wanaopenda hujaza sale fomu ya upolisi wakiwa shuleni kwao kwa hiyo wale waliomaliza 4m 4&6 mwaka 2015 wao bado hawajatoa majina yao
Yeah sawa kabisa ndugu., nlisahau jina la hiyo form.! Na majina ya kuitwa kwenye interview kwa Form 4 na 6 huwa yanawekwa kwenye website ya polisi
 
Back
Top Bottom