Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,384
- 4,355
Tatizo Waliwapanulia sana goli masikini, hapo ni kama vile una Div III ya mwisho au Div IV in terms of Ndalichako.
My estimations tho'!
My estimations tho'!
Mkuu kulikuwa na umuhimu wowote wa kuandika haya? Kama umelelewa na wazazi jifunze kuwa na adabu.Police hatuhitaji mazezeta
Mkuu asante sana kwa ushauri wako ubarikiwe. Nitaangalia kumpeleka Nursing baada ya hapo ndo tujue ni nini cha kufanya. Again thank you kwa ushauri wako.Mkuu Pole sana kwa majibu ya watu Jf, kuna mtu amediriki kusema polisi hawahitaji mazezeta ila sidhani kama kuna chombo cha ulinzi ambacho hakina wasomi kama Jeshi la Polisi Tanzania.
***Turudi kwenye Mada***
-Kwanza mwambie asahau machungu ya matokeo.
-Mwambie hongera kwa kujitambua kuwa anatambua kazi aipendayo.
-Tatu muaminishe kwamba HAKUNA KITAKACHOMFANYA ASITIMIZE NDOTO ZAKE, mpe mfano hata wa Lowassa. Katika maisha yake mwambie apiganie kile aaminicho hata kama wengi wakimpinga au mazingira yakikataa.
-Fanya research kwa miaka mitatu hii Jeshi la Polisi linapenda kuchua watu wenye fani zipi, ukishazijua tafuta Chuo kizuri kitoacho hizo fani. Mpeleke asome mpaka level ya Diploma, baada ya hapo mpeleke huko Upolisi. Akimaliza mafunzo huko Moshi, msihi aendelee na shule tena ajisomeshe mwenyewe.
Hapo kazi kwako itakuwa imepungua, ila mwambie tu kuwa akifanikiwa asisahau alipotoka.
AsanteSikuhizi Polisi Division Three
Kama na yeye ataridhia nursing badala ya upolisi basi sawa, sayansi ni nzuri sana mkuu. Mpe kijana elimu, huo ndo utajili wake.Mkuu asante sana kwa ushauri wako ubarikiwe. Nitaangalia kumpeleka Nursing baada ya hapo ndo tujue ni nini cha kufanya. Again thank you kwa ushauri wako.
Nenda A'levelJamani msaada please Nina D ya pys ,chem ,bio na math English Nina C zingine Nina A na B je naweza kusoma clinical officer msaada plz.
Naitwa mwal Rizik nipo mara musoma... yoyote aliye tayari tubadilishane nije mkoa wa arusha ..kilimanjaro... tanga.. morogoro.... tuwasiliane 0767 900094.... nipo sehem nzur.... maj.. umeme...
Naitwa mwal Rizik nipo mara musoma... yoyote aliye tayari tubadilishane nije mkoa wa arusha ..kilimanjaro... tanga.. morogoro.... tuwasiliane 0767 900094.... nipo sehem nzur.... maj.. umeme...
Nenda kwenye uzi husikaNaitwa mwal Rizik nipo mara musoma... yoyote aliye tayari tubadilishane nije mkoa wa arusha ..kilimanjaro... tanga.. morogoro.... tuwasiliane 0767 900094.... nipo sehem nzur.... maj.. umeme...
Acha kupotosha.! Waliomaliza Form 4 siku hizi huwa wanawachukua moja kwa moja kutoka mashuleni mwao kulingana na ufaulu wa mwanafunzi na alivyojaza Form ile ya kuchagua shule na vyuo kutegemea polisi aliweka chaguo la ngapi. Mi cousin yangu amemaliza Form 4 2014 yupo depo CCP alichukuliwa moja kwa moja., mnafanya tu interview katika mikoa yenu. Hata kwa Form 6 pia huwa wanafanya hivyo hivyo. JKT ni kwa wale waliomaliza Form 4 na Form 6 miaka ya nyumaipo hivi huwezi kwenda upolisi pasipokupitia mafunzo ya jkt. sasa hapo jkt ndo tatizo kwamba hawaajiri so ataenya two yrs then atakosa ajira, cha msingi akasome aendeleze ujuzi then aje huku upolisi kwa max zake si rahic kupata nafac
Mwisho ni IV ya ngapi kuchukua huko Polisi?Acha kupotosha.! Waliomaliza Form 4 siku hizi huwa wanawachukua moja kwa moja kutoka mashuleni mwao kulingana na ufaulu wa mwanafunzi na alivyojaza Form ile ya kuchagua shule na vyuo kutegemea polisi aliweka chaguo la ngapi. Mi cousin yangu amemaliza Form 4 2014 yupo depo CCP alichukuliwa moja kwa moja., mnafanya tu interview katika mikoa yenu. Hata kwa Form 6 pia huwa wanafanya hivyo hivyo. JKT ni kwa wale waliomaliza Form 4 na Form 6 miaka ya nyuma
Sijajua vizuri vigezo wanavyotumia mkuu kuhusu ufaulu., ila huyo cousin wangu mimi alikuwa na credit kwa matokeo ya Form 4 waliomaliza 2014..!! Ila nahisi inaweza ikawa mwisho 4 ya 28 kwa matokeo ya mwaka huuMwisho ni IV ya ngapi kuchukua huko Polisi?
Tuliopita Technical school kama ifunda tech au Tanga tech wote tumefeli la saba au!?bila kumung'unya maneno na kuzunguka duara ufundi lazima ufeli ndo uwelekee huko
Nina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.
Nimekuja kwenu wakuu kuomba ushauri, najua wapo na wengine wengi watakaofaidika na ushauri huu.
Lengo langu nataka asome. Ni options zipi ambazo zinaweza kumsaidia akaendelea kupata elimu kwa hii div 0 yake, binafsi sijakata tamaa na hata yeye nitamshawish asikate tamaa. Ni binti wa miaka 17 alikuwa huko Moshi sasa nikamchukua tupo nae hapa Dar
Nina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.
Nimekuja kwenu wakuu kuomba ushauri, najua wapo na wengine wengi watakaofaidika na ushauri huu.
Lengo langu nataka asome. Ni options zipi ambazo zinaweza kumsaidia akaendelea kupata elimu kwa hii div 0 yake, binafsi sijakata tamaa na hata yeye nitamshawish asikate tamaa. Ni binti wa miaka 17 alikuwa huko Moshi sasa nikamchukua tupo nae hapa Dar