HGK, HGL, HKL yoyote kati ya hizokwa comb ipi?
HGK, HGL, HKL yoyote kati ya hizokwa comb ipi?
CBG, PGM, CBM, PCB.Mimi nina alama zifuatazo.!
bio_c
math_c
phy_d
chem_c
geo_c
Je,hapo comb. gani imekubali wakuu..
"HIlo swali kamuulize mr blue"Jaman wana jukwaa naomba mnisaidie nmepata DIV.2.. eti kwa alama hz naweza unda comb. ipi Ya science.
Bio.C Chem.C Geo.D B/math.C Phy.D mengne yote Ya art nmepata C ushaur jaman.
Omba radhi kwa kuikosea heshima Muhimbili
Muhimbili aichukui vilaza wa kiasi hiki
Huyo unaemshauri atakuwa ameshamaliza na sasa hivi yupo chuo maana post ya July 2013mimi naona kama ana pesa ajiunge na vyuo kama ifm, cbe etc ,certificate , then diploma kuliko kurudi /reseat ,kwasababu akimaliza diplo anaweza akapata ajira kuliko akimaliza form six
Ahsante kwa ushauri wako nduguKama unataka science nenda pcm au cbg maana unakubalika kusoma kwa CCD ila kwa matokeo yako inaonesha PCB uwezekano wa kufaulu sio mkubwa sana so omba upangiwe shule ambayo inasience ili ukabadili maana hapo lazma upangiwe arts km mpunga upo nenda private wanakuchukua kwa hizo CCD ila hongera matokeo mazuri
Nashukru mkuu je wajua vyuo vyovyote vya unesi? au ni kipi nifanye ili kumsaidia?ipo hivi huwezi kwenda upolisi pasipokupitia mafunzo ya jkt. sasa hapo jkt ndo tatizo kwamba hawaajiri so ataenya two yrs then atakosa ajira, cha msingi akasome aendeleze ujuzi then aje huku upolisi kwa max zake si rahic kupata nafac