Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Kwa mtu Mwenye ufaulu huu anaweza soma course gani ambayo inaweza kumuingizia kipato halali.

History -C, Civics- D Kishwahili- C, Geography- D.

Naombeni ushauri jamani.
hapo kozi zote kasoro za sayansi..akasome kozi moja wapo kati ya hizi banking and finance,isurance and risk management taxtion, zote koz zipo ifm note usimpeleke private institution vingi sana ubabaishaji
 
-Fanya research kwa miaka mitatu hii Jeshi la Polisi linapenda kuchua watu wenye fani zipi, ukishazijua tafuta Chuo kizuri.[/QUOTE]
reseach miaka mitatau hilo jeshi lina msubiri yeye.
 
Kichwa cha habari kinaejieleza,nimeanguka wa kubwa.

Naombeni mnishauri nijishikilie wapi ni move on from that division.

Sihitaji kurisiti.
 
polesana kijana kwa matokeo hayo.
kwa upandewangu ningekushauri uangalie kile kitu au shughuli unayopenda kuifanya na uelekeze juhudi nanguvu zako ikiwemo kukisomea pale inapobidi, hakika utatoboa
DO WHAT U LOVE, THE MONEY WILL FOLLOW
 
Kichwa Cha Habari kinaejieleza ...,nimeanguka wa Kubwa ..Naombeni mnishauri Nijishikilie wap ni Move On from that Division .

Sihitaji Kurisiti .
Nakushauri urudie mtihani!
 
Hivi mzee pinda aka mtoto wa mkulima aliondoka na Sera yake ya kilimo kwanza?, mkuu nenda kijijini ukalime
 
Nimerudia mtihan na matokeo yangu yamekuwa c mabaya xana nikiwa nimepata C 4 na D 3 lkn kombi halijabalance history imegoma kuna D. Je naweza kujiunga na kidato cha tano shule ya private?? Msaada wenu tafadhal
 
Njoo chuoni kwangu
 
Inahitajika mtahiniwa wa mtihani wa kidato cha sita awe na si chini ya C Tatu (3) kwenye cheti chake cha kidato cha nne
NB :Haijalishi ni C za somo gani kinachohtajika ni C Tatu tu.
 
Inahitajika mtahiniwa wa mtihani wa kidato cha sita awe na si chini ya C Tatu (3) kwenye cheti chake cha kidato cha nne
NB :Haijalishi ni C za somo gani kinachohtajika ni C Tatu tu.

Na anaweza kwenda combination yeyote ile aitakayo?
 
Nadhani matokeo yako yangekuwa mazuri zaidi kama ungejua matumizi sahihi ya X na S
 
Back
Top Bottom