mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 902
Tambua kipaji chake,alafu msaidie kukikuza.
Haaaaa umeongea ukweli mtupu....hawa boda boda,makondacta na madereva ni shidaaniSamahani mkuu....lakini mimi binafsi nina historia mbaya na matokeo mabaya ya kuwasomesha wajomba zangu....yaani wote wameniangusha....kama sio kunibwaga....ninachokushauri ni kuwa umuulize mara mbili mbili au hata mara kumi kumi kuwa kweli ana nia ya kusoma kweli au analeta maskhara...hasa kwa mazingira ya huku mjini na hao boda boda waliojaza huko mitaani unaweza ukaletewa mjukuu badala ya cheti cha form four....huyo mwenye miaka 17 unayemuona mdogo kwa vijana wa boda boda na makonda wanamuona kama mjane anayehitaji kuliwazwa.....
Tafakari chukua hatua......
Chuo gani kinapokea zero aise!! Acheni masihara bana. Huyo kama anataka kuendelea na elimu ni lazima arudie tu, tena ikibidi form one. Hakuna ushauri mwingine bora! Au afanye QT Lakini kwa msuli mpana then aendelee ikiwa Mungu atamsaidia.Mpeleke chuo cha ufundi. Ukitaka chuo kizuri n mp nitakuelekeza
Akasome kwanza QT, kama atafeli tena ndo aende ufundi, kuwa na elimu ya taaluma Fulani halafu vyeti vya basic education vinasoma zero au kwa maneno mengine hunavyo kabisa si jambo jema. Msihakie Maisha, mpelekeni mtoto QT then atafauluHata mimi nilikuwa nawaza hivi mkuu, asante
Sawa, Lakini utafika wakati wa kujiendeleza mkuu, unadhani itakuwaje?! Matatizo ya sasa tuyasolve kwa muono wa miaka kadhaa ijayo siyo kusolve tatizo la sasa tu!Ongea nae kwanza upate mtizamo wake kwanza kuhusu kurudia mtihani au kwenda kusomea kazi.
Kama kurudia mpe QT
Kama course zipo nyingi mfano
Ususi.upambaji.urembo
Hotel management
Computer graphic designs
Kozi zifuatazo atamaliza ila kazi itamsumbua kwani watadai cheti cha kidato cha 4
Secretarial studies
Record management
Human Resources
Business Administration
etc
Kama alisoma chemistry Amepata nini? If ana D, alternative zipo. Aende vyuo vya afya akaanze na certificatepia nami nahitaji msaada dogo langu kapata iii~25 ana 'c' ya history 'c' ya kiswahili na 'c' ya biology masomo mengine ana 'd' je anaweza kwenda kidato cha tano,?
Muozeshe tu mkuuNina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.
Nimekuja kwenu wakuu kuomba ushauri, najua wapo na wengine wengi watakaofaidika na ushauri huu.
Lengo langu nataka asome. Ni options zipi ambazo zinaweza kumsaidia akaendelea kupata elimu kwa hii div 0 yake, binafsi sijakata tamaa na hata yeye nitamshawish asikate tamaa. Ni binti wa miaka 17 alikuwa huko moshi sasa nikamchukua tupo nae hapa Dar
Ivi sikuhiz miaka17 unamalza form4 ulimwengu umebadlika
Akisema anataka kuolewa?Muulize nini anataka kufanya