Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Samahani wanabodi, muda mrefu sikuwepo online, naona kamanda angu Maganga amijitahidi kumjibu kila mmoja, kwa ufupi niko maporini sana huku hata internet ni ya shida, lakini ndo hivyo kazi zetu za uinjiania zinatubana, bt i will try every chance niingie huku. Big up >Maganga Msemakweli, keep on!!

Wasalaamu.
pamoja sana mhandisi pamoja tunajenga nchiiiiii
 
ndugu hebu jaribu kuipitia hii thread vizuri kidogo halafu tizama michango ya watu utapata kitu .. ila ni vyema ungemuuliza anataka kufanya nini .. li iwe rahisi kutoa USHAURI kuzingatia na maoni kwanza

nimejarb kupitia ila dogo anapenda kusoma college zaid kuliko advnc
 
ndugu hebu jaribu kuipitia hii thread vizuri kidogo halafu tizama michango ya watu utapata kitu .. ila ni vyema ungemuuliza anataka kufanya nini .. li iwe rahisi kutoa USHAURI kuzingatia na maoni kwanza

nimejarb kupitia ila dogo anapenda kusoma college zaid kuliko advnce
ok
sasa kwa matokeo haya
Wandugu!mi dogo wangu amepata three{lll}pt23,na
civcs C
geog D
math D
bios C
history C
english D
kiswahl B
hapa comb hazjabalanc kasema anataka kwenda chuo,nisaidien wadau anaweza kujiunga na chuo gan?kwa ngaz ya diploma inawezekana?na kozi gani nzuri atakayopata bila tatizo?
anaweza soma
diploma ya business related studies kama procurement,logistics , accounting, business administration,
mambo ya tourism ,hotel management , diploma ya teaching...IT
certificate ya law
ila kama specifically angekuwa anataka nini ingekuwa rahisi kuelekeza hata chuo gani aende kwa kozi anayotaka sasa umekuwa too much general
vigezo vya msingi kama huna dira kabisa ni jaribu kuangalia soko la AJIRA na UWEZEKANO wa kujiari kwenye hiyo kozi hivi ndio vitu vya msingi zaidi ..
 
nashukuru sana kwa mwongozo wako mkuu,ila nilijaribu kuangalia teaching kwa sifa zilizowekwa kwa stashahada lazima form six!
Na dogo alikuw anataka hiyo ila kwa hizi business studies naomba kama kuna vyuo ambavyo naweza kwenda na akapata unisaidie ndugu yangu
 
Nina mtoto wa dada yangu ana point 26. Matokeo yake hayakuwa mazuri naamini ni kutokana na kusoma shule za kati.
English C
Geography C
Maths D
Physics D
Biology D
Chemistry D
Kiswahili D
Civics? D
History D.

Dogo alipenda sana kwenda High School. Lakini sijui hata shule moja ya kulipia. Ningejitahidi kumsaidia. Inaelekea anapenda kwenda University akafanye masomo ya Uhasibu. Naona ingekuwa vizuri achukue combination ya EGM. Ni shule zipi nzuri za Private abnaweza kupata kwenye mikoa ya Ruvuma, Iringa, Mbeya, Morogoro?

Au kuna mtu ana ushauri mwingine wa kumwezesha kuingia chuo kikuu kusomea uhasibu?
 
nashukuru sana kwa mwongozo wako mkuu,ila nilijaribu kuangalia teaching kwa sifa zilizowekwa kwa stashahada lazima form six!
Na dogo alikuw anataka hiyo ila kwa hizi business studies naomba kama kuna vyuo ambavyo naweza kwenda na akapata unisaidie ndugu yangu

jaribu CBE (dodoma au dar)TIA (dar) , IAA(arusha).,
 
Mi nlipata ma D matupu 2009 na C 2 tu, mbona nlipoenda IFM wamenianzisha Certifict? Safari ndefu sana kweli
 
Perfomance ya hesabu itamsaidia huko mbeleni kwenye kuomba nafasi za vyuo..ila kwa kwenda f5 hesabu sio inshu

mkuu, mdogo wangu anaweza kwenda HGE? Amepata
Engl- B
Hist -D
Math - F
Geo - C
Kis - B
etc.

Ana III ya 22.
 
wadau Sizinga na Maganga mkweli, nashukuru kwa ushauri wenu, dogo kachaguliwa PGM shule inaitwa Oswald Mang'ombe, ipo musoma vijijini, cut off point mwaka huu ilikuwa 11 kwa PGM.
 
Maganga Mkweli heshima mbele.
nisaidie mkuu binti yangu kapangiwa J.J. Mungai ipo mufindi iringa naomba kujua
huhusu joining instructions tafadhali nisaidie utakavyoweza na bila shaka Mungu atazidi kukubariki.
 
wadau Sizinga na Maganga mkweli, nashukuru kwa ushauri wenu, dogo kachaguliwa PGM shule inaitwa Oswald Mang'ombe, ipo musoma vijijini, cut off point mwaka huu ilikuwa 11 kwa PGM.
yeye anatokea shule gani au mkoa gani ANGALIA trend ya matokeo ya hii shule kwa miaka miwili ya nyuma kwa hii comb ya PGM ...
nimepata matokeo yao ya mwaka jana ya ACSEE UNAWEZA CHEKI http://www.necta.go.tz/2011/ACSEE2011/s2383.htm

hii mmoja kati ya project za NIMROD MKONO PITIA HII LINK CHEKI MAZINGIRA KIDOGO
Musoma Rural Website
[h=2]JARIBU HIZI CONTACT NIMEZIDAKA KWENYE NETI UTANIPA FEEDBACK KAMA ZENYEWE
Oswald Mang'ombe[/h]P.O.Box 183 - Musoma - Mara - +255 - Tanzania
Phone: 0713535594
 
Haya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa JF ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo na alternatively nyingine due to spme perfomances kwa wote, manake naona huku kitaa watu wanadanganyana sana!!

Hii ni kwa kadri ninavyofahamu mimi, kama kuna marekebisho basi yafuatie:

=> Credit Qualification kwa hali ya kawaaida ni 'C'-Na ili uende Form 5 unahitaji uwe na C 3, hapa ni either umebalance Combination(Comb) au hujabalance. Sasa kama una C 3 na comb hujabalance, hautachaguliwa serikalini bali shule binafsi utaenda kusoma mchepuo utakaofanana na masomo yako.
[ Mfano: Civ-C, Kisw-C, Geo-C...unaweza fanya HGK ama HGL ama kozi nyingine hata kama english na History una D].

=>Ukiwa na C 2 na D kadhaa(lets say 4 ya 26), hapa utaweza kwenda Form 5 shule za Private lakini utatakiwa utafute C ya 3 kw kureset wakati upo form 5. Same na C 1 You need to re-sit.

=> Hapa sasa ndipo kwenye utata. Ukiwa na D 3, kiukweli sahau Form 5 kama hauhitaji kurisit, sasa qualification hizi zina option zifuatazo:
1. Unahitaji kupiga long pass kwa kwenda Chuo kwa ngazi ya Certificates. Duraation ya hii kozi ni 1 year Certificate. Sasa hapa kuna vyuo kadhaa vinavyotoa certificates. Hapa ni D za masomo yoyote yale Basic(sina uhakika kama B/Knwoledge na Islam zinazingatiwa na ndio maana nasema D za Basic Subjects)
Mfano: Unaweza kufanya Certicates vyuo vya CBE-Mambo ya Biashara, IFM, TIA, Utumishi wa Umma(Public Service) Vyuo vya Kilimo na Ualimunk.
Nakozi nyingi tu wanatoa kwa certificates..mfano Procurement, Accounts, Public Admistration, Recording, Clearing and Forwarding, Social Development, Secretarial Duties, Education nk.

=> Ukiwa na D 4 upo qualified kufanya ngazi ya certificate kama nilivyoanisha hapo juu.

=> Ukiwa na D 5 sasa hapa wewe umeula!! Hapa unaruhusiwa kabisa kufanya Basic Diploma katika vyuo vyote wanavyotoa Duploma. Kwa mfano vyuo hivyo nilivyovitaja hapa JUU, chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma, Teana kama una D ya hesabu na English ndo inakuwa rahisi zaidi kuchukuliwa.

=> Kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama DIT(Daar Institute), AIT(Arusha Inst) na Mbeya Tech Msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh Biology with minimum of D angalieni option za Nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC na COTC.

Kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubt basi uwanja ndio huu. Most welcome!!

2i9m911.jpg

jidhjp.gif

Mkuu nimekupata ila mie nina kesi tofauti naomba unisaidie.Mdogo wangu alifanya private candidate mwaka juzi masomo 5 akapata D-English, D-Civics, D-Bible.Alafu mwaka jana kafanya tena PC masomo 3 akapata C-History,D-Kiswahili na D tena ya English. Je? anaweza kukubaliwa kifanya Foundation ya Open University au anaweza kuchukua kozi ipi ya diploma? Natanguliza shukurani.
 
Natanguliza shukrani heshima na taadhima mbele, mimi nimechaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule ya Old moshi na mpaka muda huu cjapata joining instruction na wala cjui chochote kuhusu hiyo shule, hivyo basi naomba mnisaidie contact za hiyo shule na mambo mengine yanayohusu old moshi... Thanks.
 
Mkuu nimekupata ila mie nina kesi tofauti naomba unisaidie.Mdogo wangu alifanya private candidate mwaka juzi masomo 5 akapata D-English, D-Civics, D-Bible.Alafu mwaka jana kafanya tena PC masomo 3 akapata C-History,D-Kiswahili na D tena ya English. Je? anaweza kukubaliwa kifanya Foundation ya Open University au anaweza kuchukua kozi ipi ya diploma? Natanguliza shukurani.

header%20banner.png
header%20banner.png
header%20banner.png

OPEN UNIVERSITYANAWEA PATA ILA NAOMBA KAMA UPO DAR NENDA KAPATE MAELEZO PALE BIAFRA KINONDONI /KITUO CHA KANISANI NDIO MAKAO MAKUU YA YALIPO UPATE UFAFANUZI

Entry Requirements Certificate in Foundation Course (OFC)

  • (i) A certificate of Secondary Education (C.S.E.E.) or its equivalent with at least 5 (five) passes in approved subjects or 3 credits AND a possession of one (1) principal pass and one (1) or more subsidiaries. Or

    (ii) A certificate of Secondary Education Examination (C.S.E.E) or its equivalent with at least 5 passes or 3 credits in approved subjects AND a certificate obtained after attending a professional course lasting at least nine months related to the degree programme that the applicant is intending to pursue.

    Exceptional cases regarding experience will be considered on merit. The applicant should not be below 18 years of age at the time of application.
 
Thank U mkuu nimekupata.
 
natanguliza shukrani heshima na taadhima mbele, mimi nimechaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule ya old moshi na mpaka muda huu cjapata joining instruction na wala cjui chochote kuhusu hiyo shule, hivyo basi naomba mnisaidie contact za hiyo shule na mambo mengine yanayohusu old moshi... Thanks.
kwanza hongera kwa kuchaguliwa kidato cha tano .. Mimi sijasoma old ila humu ndani kuna watu wengi wamesoma hapo experience ya huko unaweza search kwenye thread ambazo zinazungumizia old moshi utaipata tu...
Ila nataka nikupe mtazamo wa jumla hizi shule za serikali za siku nyingi zinatofautiana kidogo sana kimatokeo na kimazingira (walimu,vitendea kazi,msosi) unaweza kuta tofauti yake ni ndogo sana
uzuri wa shule hizi ni huu una kutana watu wa aina tofauti wenyewe malengo tofauti waoweza kukupa morali na munkari ya kukamua hatimaye kama ni msongo ukatoka a-level ... Ila ukilegea kwenye hizi shule za serikali kuzungusha easy sana....
Mazingira ya moshi ni mazuri kwani nimeshawahi kutembelea hapo
kama ujapata join instruction usitie shaka sana kuna mawili kama huto ipata mpaka shule zinakaribia kufunguliwa kwani lazima ujue tu maana shule hizi huwa zinafunguliwa muda unaolingana wewe nenda shule na copy ya selection yenye jina lako na results slip ukiweza ipata ,ada na hela ya kujikimu kiasi
ama unaweza wapigia kwenye hii namba... 0272751929
moshi sekondari
p.o.obox 3021
moshi

rudisha fedback ukiwasiliana nao ..
 
NIMECHAGULIWA EGM KIBITI CHUO NAWEZA SOMEA KOZI ZIPI AMBAZO ZINALIPA COZ CJUI KOZI HAPA MOJA YA HIYO COMB. Itakuwa njema kama ukaniorodheshea
ansate xana!
 
Back
Top Bottom