Asu tz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 336
- 86
kamanda display matokeo yake yote tupate mwanga kidogo..
Mkuu mbona sijibiw tafadhal naomba msaada wako.
kamanda display matokeo yake yote tupate mwanga kidogo..
tuko pamoja ndugu yangu tumuombee tu afanye vizuri A-LEVEL ili aweze kupata nafasi kwenye higher learning pamoja sanaMaganga Mkweli na kundi lako la wataalam
nawashukuru sana kwa maushauri yenu
ya bila kushoka, hatimaye binti yangu
aliondoka jumamosi tarehe 14/04 kwenda
shule yake ya a level huko mkoani iringa,
pamoja sana wakuu wangu.
majukumu ndugu ila naweza kukwambia kitu kimoja kwa matokeo hayaMkuu mbona sijibiw tafadhal naomba msaada wako.
jaribu CBE, au college yeyote inayoanza na certificate hope atapata then anasoma hiyo certificate kwa mwaka mmojaana div ya 33 na D za bios na physics.
mkuu uko maeneo gani ya tanzania?shukran sana mkuu ila tatizo ni kwamba kwa pass hii kwl wanaweza kumchukua au mpaka u2mie mkono mrefu ndo upate chance? Anachotaka yy asome ktk vyuo vya uuguz kwan kuna mwenzake yy alipata chuo cha uuguz mwaka jana alifaulu bios d na kisw d yaan alikuwa na 4 ya 33 cha ajabu amepata chuo. Je yy anaweza kupata or atumie njia nyngne kupata hyo chance? Samahan mkuu usichoke kutujuza.
tuko pamoja kamandanashukuru kwa ushaur wako nimepata njia ya kuanzia sasa.
mkuu kwani sasa yuko wapi ..?Maganga wa Ukweli,
samahani kwenye harakati za
kutaka binti yangu apunguze makali ya kwenda huko mafinga
nilikuwa nimemwombea uhamisho kwenda Machame girls.
akiwa ameshakwenda mafinga,
amefanikiwa kupata ule uhamisho.
lakini nataka abaki kule kule mafinga hii ni kutoka na
kwamba ada nilishalipa na hela ya mahitaji yote ya shule nilishalipa,
hivyo kwa hii hali ngumu sioni kama kuna uwezekano wa kupata tena pesa.
je hapa nifanyeje mkuu.
mkuu kwani sasa yuko wapi ..?
i.kama ameenda mafinga na ulikuwa unafuatilia uhamisho kwenda machame girls anaweza kubaki huko mafinga jambo la msingi kuenda shuleni mafinga apate usajili... akipata usajili basi hatakuwa ngumu kwani akishapata namba basi anakuwa mwanafunzi wa huko mafinga na unaachana na machame kwani jina lake litabaki huko iringa na wizarani litapelekwa pia baraza la mitihani...hakikisha unaenda au unawasiliana na uongozi wa shule kuhakikisha mwanao amepata namba hapo mafinga na mambo yakae sawa asije akaonekana amesajiliwa sehemu mbili kwa sasa ni mapema sana unaweza tatua hii shida bila wasiwasi na bintiyo akasoma kwa raha
ii.kama mkuu wa shule ya huko mafinga atakataa kumpokea (kitu ambacho sifikiri) tena huyo binti yako nafikiri alternatives nyingine kama una stakabadhi za malipo(risiti) za ada tu . unaweza kuhama nazo maana hiyo ni shule ya serikali jambo la msingi ni ile michango mingine ya shule hiyo utakuwa una ujanja inabidi ulipe michango utakayo kutana nayo machame...
kama ulikuwa na sababu ya msingi ya kumhamisha mwanao kwenda machame hili ni jambo la msingi sana kuliko hizi gharama ....
ukweli ni kwamba ili uweze kuwa eligible kufanya mitihani wa kidato cha sita(ACSEE) lazima uwe na principal pass ambazo (either A,B OR c) tatu kwa hiyo basi yawezekana ukawa na CCC AU AAA , AU BBB au combination ya hizo tatu kwa matokeo yako kwa kweli huwezi kufanya mtihani wa kidato cha sita mpaka utakapo reseat kama unavyofanya na kupata credit tatu yaani C TATU AU MATOKEO MAZURI ZAIDI YA HAYO KAMA NILIVYOAINISHA JUU kwa hivyo basi jambo la msingi na uSHAURI wangu kwako kwa kuwa umeshajiunga na form five kwa sasa NAOMBA JIKITE SANA NA RESEAT SUBJECT MAANA HUWEZI KUFANYA MTIHANI WA A-LEVEL BILA CREDIT TATU ..samahan mkuu,naomba msaada wako tafadhali nina D 8 na F1 ya history nilikuwa comb. ya science.keshokutwa alhamis naenda shule nachukua comb. ya EGM SASA je,nitaresit masomo mangap na je, mtu unaporesit halafu ukaja kupata aidha D au F ktk yale masomo uliyoresit unaweza kuendelea na form six na je, unaweza kufanya national exams ya form six..Tafadhali mkuu nisaidie.
usiogope kamanda ila kwa njia uliyochagua yakupasa KUKOMAA kweli kweliDaah...Nashukuru sana kwa ushauri wako bro,ila sio siri umenitisha kwa kweli kwamba inaweza ikanigharimu huko mbele..cha msingi tuombe mungu ingawa kwa kweli sikufanya chaguo sahihi.
brthr kwnz nakupngeza kwa topc,ushaur na mwongzo unao2pa.Mimi nilimaliza 4rm 4 nikapata d 3 je kuna uwezekan wa mm kuendlea na chuo ?na kama inawezekanana ni vyuo vp cy nilishajarb cbe na ifm lakn ilishndkan xo naomb ushaur wako iki nipate mwnghozo ni hayo 2
huko IFM NA CBE ULIOMBA CERTIFICATE AU DIPLOMA MAANA mimi navyofahamu kwa matokeo yako unaweza kupata nafasi kwa certificate ...nilipata 4 ya 32 kweny shule moja ya kata alf huwaga najiuliza hiv hawa necta wanasahishaje coz unakûta m2 anauwezo mzur lakin majb yanapokuja yanakuwa ya tofaut xa cjui ni kwa sabab ya shule za kata at vp alf ningeomba mwongozo wako wa jnc ya kupm coz kuna ki2 ni prvat na ningependa kukushrkisha ili nipat mawazo kutoka kwako Ahsant kwa ushirikiano wako . on m