Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

SIZIGI na MAGANGA MKWELI na wadau wengine wote kweli muwashauri wazuri kweli,sasa na kwa wale wanaosoma haya masomo ya sekondari kwa miaka 2 anafanya mtihani wa form four mtawashauri vipi nikiwa na maana ya ni masomo yapi wanaweza weka nguvu atleast mwisho wa siku wapate matokeo yatakayo wawezesha either kuendelea na form 5,6 au kujiunga na chuo.
Na kama ni vitabu gani wanaweza kubase kujisomea ili viweze kuwasaidia kufikia malengo yao.?
 
habari zenu wadau mie nimwanafunzi niliyemaliza form 4 nakupata div 2 point 19 na combi iliyobalance vizuri ni CBN tatizo nikua mie sijui kuhusu hii combi nikimaanisha huko chuo na ajira zake. pia nilikua naomba mnishauri shule ya serikali inayofaa kusoma combi hii please naomba mnijibu
 
habari zenu wadau mie nimwanafunzi niliyemaliza form 4 nakupata div 2 point 19 na combi iliyobalance vizuri ni CBN tatizo nikua mie sijui kuhusu hii combi nikimaanisha huko chuo na ajira zake. pia nilikua naomba mnishauri shule ya serikali inayofaa kusoma combi hii please naomba mnijibu
HONGERA KWANZA KWA UFAULU MZURI .. KUHUSU CBN=CHEMISTRY BIOLOGY NA NUTRITION
SHULE NI NINAZOZIFAHAMU MIMI NI
JANGWANI
BENJAMINI MKAPA
MASWA GIRLS HIZI NI SHULE ZA SERIKALI
JANGWANI NAWEZA NIKARECOMMEND MAANA KUWA WANAFUNZI NILISOMA NAO O LEVEL WALICHAGULIWA HUKO NA WAKAFULU TU
KOZI AMBAZO UNAWEZA SOMA CHUO NI
FOOD SCIENCE -INATOLEWA SUA (SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE)
HIZI ZOTE UNAWEZA PATA UDSM
BSC. CHEMISTRY
BSC MICROBIOLOGY
Bachelor of Science in Botanical Sciences-
Bachelor of Science in AquaticEnvironmental Sciences and Conservation
Bachelor of Science in Applied Zoology
Bachelor of Science General
Bachelor of Science in Molecular Biology and Biotechnology
KUNA HII IKO MUHIMBILI
Bachelor of Science in Environmental Health Sciences
Kwa hiyo ndugu yangu kozi ni hizo hapo juu jitahidi kufanya vizuri A-level
WIGO WAKE WA AJIRA NI MZURI MAANA UTAPATA KAZI KWENYE MASHIRIKA BINAFSI NA YA UMMA
 
Maganga Mkweli naomba mchango wako kwa wanao soma QT,kama utakua na ushauri wowote maelezo yapo hapo juu ila nahisi unataka ukwepe.
 
SIZIGI na MAGANGA MKWELI na wadau wengine wote kweli muwashauri wazuri kweli,sasa na kwa wale wanaosoma haya masomo ya sekondari kwa miaka 2 anafanya mtihani wa form four mtawashauri vipi nikiwa na maana ya ni masomo yapi wanaweza weka nguvu atleast mwisho wa siku wapate matokeo yatakayo wawezesha either kuendelea na form 5,6 au kujiunga na chuo.
Na kama ni vitabu gani wanaweza kubase kujisomea ili viweze kuwasaidia kufikia malengo yao.?
kwa kweli elimu hii inahitaji kujituma sana unaweza kufanya vizuri na la muhimu hapa ni userious wako maana una compress syllabus ya miaka minne kwa miaka miwili maana itabidi asome QT-QUALIFY TEST ambayo sio ngumu sana kama mfuatiliaji mzuri then mwaka unaofuata anaanza masomo ya form 3na 4 halafu anafanya mitahani kama private candidate kuna vituo yaani CENTRE ambazo zinatoa hii huduma unaweza kuzitafuta kama uko dar ni nyingi sana unaweza pata ushauri zaidi na utaratibu wa kufuata
la MSINGI hapa na ambalo nasisitza ni UTAYARI wa MSOMAJI vingivevyo atapata shida sana

masomo tata sana hapa ni BASIC MATHS ,GEOGRAPHY ,ENGLISH, NA BIOLOGY
MAANA LAZIMA USOME MASOMO SABA AMBAYO NI ENGLISH ,CIVICS, KISWAHILI ,GEOGRAPHY, HISTORY ,BIOLOGY NA BASIC MATHS ...
kuhusu syllabus yake naomba ujaribu kutafuta hizi centre za kufanyia mitihani ya watahiniwa binafsi ya PC(PRIVATE CANDIDATE)
 
Maganga Mkweli naomba mchango wako kwa wanao soma QT,kama utakua na ushauri wowote maelezo yapo hapo juu ila nahisi unataka ukwepe.
MKUU HAPANA SIWEZI KUKWEPA BANA NACHANGIA NINACHOKIFAHAMU MAANA SHARING IS CARING SASA KUHUSU HII ISSUE YA QT KWA KWELI INATEKEGEMEA NA KUJITUMA KWA MUHISKA NI MAELEZO KIDOGO KUHUSU HII QT UNAWEZA KUYASOMA
[h=2]Qualifying Test (QT)[/h]
[h=3]Introduction[/h] The Qualifying Test examination will be administered to private candidates inteding to sit for the Certificate of Secondary Education Examination (CSEE), but do not have Form II level secondary education.
The Qualifying Test will comprise questions from Civics, Cross Cutting issues, English Language, Kiswahili, Kiswahili, History, Geography, Biology, Chemistry, Mathematics and Physics.
Qualifying Test draws as much as possible from the form I and II national syllabus but focus more on testing knowledge and skills equivalent to National Form II Examination.


[h=3]General Objectives[/h] The main objective of the Qualifying Test is to determine whether the prospective candidates have attained secondary education equivalent to form two level and thus are in a position to sit for the Certificate of Secondary Education Examination (CSEE).


[h=3]General Competences[/h] The examination will specifically test candidate's ability to to:

  • Interpret basic knowledge, facts, principles, concepts, and figures in the stated subjects.
  • State, define and name basic knowledge, facts, principles, and concepts in the relevant subjects.
  • Write correct language using proper grammar, structure and vocabulary in the subject tested
  • Write a clear summary, answer comprehension questions and write a composition on a given passage, topic or subject.
  • Demonstrate and interpret mathematical knowledge within a given context and manipulate set theory and application, and carry out simple differentiation and integration.
  • Demonstrate use of knowledge and skills in Physics, Chemistry and Biology to solve problems which may involve unfamiliar situations.
  • Use knowledge, concepts, laws, theories and principles of the Physics, Chemistry and Biology subjects in daily life.


[h=3]Examination Rubric[/h] There will be one paper of three hours (3) hours duration. The paper will consist of 20 questions in sections A and B. Section A will comprise two parts. Part I will be on Civics and current affairs and Part II will be on English and Kiswahili languages. Candidates will be required to answer all questions in section A. section B will be consist of three parts. Part I will be on History and Geography, part II on Physics and Mathematics and part III on Biology and Chemistry. Candidates will be required to confine themselves to one part only.
[h=4]SECTION A: CIVICS, CURRENT AFFAIRS AND LANGUAGE[/h]
This section will comprise twelve (12) questions, and will weigh 60 marks.

PART I: CIVICS AND CURRENT AFFAIRS
In this part, question numbers one to three will be on Civics content based on forms one and two syllabuses and question number four will be on Current Affairs.
PART II: KISWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE
Will consist consist of eight (8) questions, four (4) from Kiswahili syllabus and four (4) from English language syllabus for forms one and two.

  • Engalish Language:
    The English language component will comprise four (4) questions. One question will be on composition and another one on comprehension.The third one will be a multiple choice question consisting of five items on English patters. The fourth one will be of the fill-in-the-blanks type, dealing with tenses, and will have five items. Each question will carry 5 marks.
  • Kiswahili:
    Kutakuwa na maswali manne (4) yatakayotoka katika mada za Kiswahili za kidato cha kwanza na kidato cha pili ambazo ni ufahamu, utungaji, sarufi na uundaji wa maneno. Kila swali litakuwa na alama tano (5).

[h=4]SECTION B: GEOGRAPHY, HISTORY, PHYSICS, MATHEMATICS, BIOLOGY AND CHEMISTRY[/h] Section B will comprise three (3) parts; each part will have four (4) questions and will weigh 40 marks. candidates will be required to confine themselves to only one part.

PART I: GEOGRAPHY AND HISTORY
Will comprise four (4) questions, two (2) questions will be on Geography and two (2) questions on History. candidates will be required to answer all the questions in this part.

PART II: PHYSICS AND MATHEMATICS
Will comprise four (4) questions, two (2) questions will be on Physics and two (2) questions on Mathematics.
PART III : BIOLOGY AND CHEMISTRY
Will comprise four (4) questions, two (2) questions will be on Biology and two (2) questions on Chemistry.


[h=3]Examination Content[/h] [h=4]Civics[/h]
  • Promotion of life skills and family life
  • Human rights and responsible citizenship
  • Government of Tanzania and Democracy
  • Proper behaiviour and responsible decision amaking
[h=4]Kiswahili[/h]
  • Ufahamu na ufupisho
  • Sarufi
  • Fasihi
  • Utungaji
[h=4]English[/h]
  • Comprehension and summary
  • Structure
  • Tenses
  • Composition
[h=4]Geography[/h]
  • The solor system
  • weather and climate
  • Map work
  • Human activities
[h=4]History[/h]
  • Evolution of man, technology and environment
  • Development of social, political system and economic activities in pre-colonial Africa and their impact.
  • Social and economic development in production in pre-colonial Africa
  • Africa and the external world
  • transition to indusrtial capitalism
[h=4]Chemistry[/h]
  • Laboratory techiques and safety
  • Scientific procedures
  • Matter
  • Air combustion, rusting and fir fighting
[h=4]Biology[/h]
  • Safety in our environment/li>
  • Health and prevention of diseases
  • Cell structure and organisation
  • Classification of living things
  • Nutrition
  • Balance of nature
  • Transport of materials in living things
  • Gaseous exchange and respiration
[h=4]Physics[/h]
  • Laboratory
  • Structure
  • Work, energy, power, light and static electricity
  • Current electricity and magnetism
[h=4]Mathematics[/h]
  • Number, fractions, decimal and percentages
  • Units, approximation and geometry
  • Ratio, profit and loss
  • Coordinates geometry, perimetrs and areas.
 
Mwenye mawasiliano ya simu ya chuo hiki hapa chini naomba anisaidie.

CLINICAL OFFICER'S TRAINING CENTRE,
P.O.BOX 30,
IFAKARA,
MOROGORO.


Tafadhali sana ndugu zangu, naomba mnisaidie.

+255773071037 au 0232625028 au barua pepe:info@healthtrainingifakara.org
 
habari! mie nilikua naomba ufafanuzi juu ya faida ya kuenda kidato cha tano au kuenda chuo ( certificate ) , ipi ni njia nzuri ? maana kunawatu wanatuambia kusoma kidato cha tano ni kupoteza muda bora kuenda 1 kwa 1 chuo kuchukua certificate
 
habari! mie nilikua naomba ufafanuzi juu ya faida ya kuenda kidato cha tano au kuenda chuo ( certificate ) , ipi ni njia nzuri ? maana kunawatu wanatuambia kusoma kidato cha tano ni kupoteza muda bora kuenda 1 kwa 1 chuo kuchukua certificate

unatakiwa kujiamini ndugu kama umefanya vizuri O LEVEL hakuna haja ya kuogopa hiyo dhana ya kusoma form five na six nikupoteza muda si kweli maana ingekuwa hivyo na sie tuliopita tungeonekana tumepoteza muda la msing tambua maisha hayana short cut JITAMBUE amua unataka nini maana lazima ujue unataka kufanya kufanya nini sie tutakusaidia maoni na ushauri
 
mkuu SIZINGA na wadau wengine, hadi sasa posts za form five hazijatoka, nimeamua dogo aende private na anapenda kusoma PGM, nilimuuliza anataka awe nani akimaliza PGM amesema anataka awe pilot, naweza kupata ufafanuzi kidogo kuhusu chuo cha aviation?
 
Wandugu!mi dogo wangu amepata three{lll}pt23,na
civcs C
geog D
math D
bios C
history C
english D
kiswahl B
hapa comb hazjabalanc kasema anataka kwenda chuo,nisaidien wadau anaweza kujiunga na chuo gan?kwa ngaz ya diploma inawezekana?na kozi gani nzuri atakayopata bila tatizo?
 
mkuu SIZINGA na wadau wengine, hadi sasa posts za form five hazijatoka, nimeamua dogo aende private na anapenda kusoma PGM, nilimuuliza anataka awe nani akimaliza PGM amesema anataka awe pilot, naweza kupata ufafanuzi kidogo kuhusu chuo cha aviation?
hii kamanda kama unaishi dar jaribu kwenda JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT PALE LAZIMA UTAPATA MSAADA TU..
 
Wandugu!mi dogo wangu amepata three{lll}pt23,na
civcs C
geog D
math D
bios C
history C
english D
kiswahl B
hapa comb hazjabalanc kasema anataka kwenda chuo,nisaidien wadau anaweza kujiunga na chuo gan?kwa ngaz ya diploma inawezekana?na kozi gani nzuri atakayopata bila tatizo?
ndugu hebu jaribu kuipitia hii thread vizuri kidogo halafu tizama michango ya watu utapata kitu .. ila ni vyema ungemuuliza anataka kufanya nini .. li iwe rahisi kutoa USHAURI kuzingatia na maoni kwanza
 
Samahani wanabodi, muda mrefu sikuwepo online, naona kamanda angu Maganga amijitahidi kumjibu kila mmoja, kwa ufupi niko maporini sana huku hata internet ni ya shida, lakini ndo hivyo kazi zetu za uinjiania zinatubana, bt i will try every chance niingie huku. Big up >Maganga Msemakweli, keep on!!

Wasalaamu.
 
Back
Top Bottom