Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

kwanza hongera kwa kuchaguliwa kidato cha tano .. Mimi sijasoma old ila humu ndani kuna watu wengi wamesoma hapo experience ya huko unaweza search kwenye thread ambazo zinazungumizia old moshi utaipata tu... Ila nataka nikupe mtazamo wa jumla hizi shule za serikali za siku nyingi zinatofautiana kidogo sana kimatokeo na kimazingira (walimu,vitendea kazi,msosi) unaweza kuta tofauti yake ni ndogo sana uzuri wa shule hizi ni huu una kutana watu wa aina tofauti wenyewe malengo tofauti waoweza kukupa morali na munkari ya kukamua hatimaye kama ni msongo ukatoka a-level ... Ila ukilegea kwenye hizi shule za serikali kuzungusha easy sana.... Mazingira ya moshi ni mazuri kwani nimeshawahi kutembelea hapo kama ujapata join instruction usitie shaka sana kuna mawili kama huto ipata mpaka shule zinakaribia kufunguliwa kwani lazima ujue tu maana shule hizi huwa zinafunguliwa muda unaolingana wewe nenda shule na copy ya selection yenye jina lako na results slip ukiweza ipata ,ada na hela ya kujikimu kiasi ama unaweza wapigia kwenye hii namba... 0272751929 moshi sekondari p.o.obox 3021 moshi rudisha fedback ukiwasiliana nao ..
Once more...hongera kwa kuliendesha jahazi kamanda!! I like you guy!!
 
Once more...hongera kwa kuliendesha jahazi kamanda!! I like you guy!!

sharing is caring
pamoja sana kamanda ...ujamaa na kujitegemea ndio falsafa yangu.. ntajitahidi kujibu hoja na kutoa ufafanuzi kadri niwezavyo na nipatapo muda kwa ufahamu wangu ...
shaka ondoa
......
 
NIMECHAGULIWA EGM KIBITI CHUO NAWEZA SOMEA KOZI ZIPI AMBAZO ZINALIPA COZ CJUI KOZI HAPA MOJA YA HIYO COMB. Itakuwa njema kama ukaniorodheshea
ansate xana!
quote_icon.png
By TZ boy
mbona mimi hapo juu cjapata ushauri jamani au?

kamanda tulia jioni ya leo nakuhakishia ntakujibu nautaridhika tuwiane radhi majukumu
ongera sana
kwanza niseme hongera sana kwa kuchaguliwa kidato cha tano..
sasa nirudi kwenye hoja yako ya MSINGI WIGO WA COMBINATION YA EGM..EGM NI COMBINATION YENYEWE WIGO MPANA KWA HIGHER EDUCATION KAMA UTAFANYA VIZURI A-LEVEL ... SASA ANGALIA KOZI AMABAZO UNAWEZA KUSOMA UKIFAULU EGM YAKO CHUO
HIZI KOZI ZITOLEWAZO UDSM(MLIMANI-CHUO KIKUU DAR ES SALAAM)

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL (UDBS)
B.Com. in Accounting
B.Com. in Banking and Financial Services
B.Com. in Finance
B.Com. in Human Resources Management
B.Com. in Marketing
B.Com. in Tourism and Hospitality Management
Bachelor of Business Administration (BBA) – Evening Programme

Programme : Social Sciences (3 years)

B.A. in Economics
B.A. in Economics and Geography
B.A. in Economics and Sociology
B.A. in Economics and Statistics
B.A. in Statistics
B.A. in Geography and Environmental Studies
B.A. in Geography and Statistics
PIA UNAWEZA KUSOMA KOZI ZA BIASHARA KWENYE VYUO VYA BIASHARA KAMA IFM,CBE,TIA,IAA,MUCCOBS...
PIA KUNA KOZI MZUMBE,UDOM ,ARU,SUA ...
FANI AMBAZO UNAWEZA KUWA NI MCHUMI,MGAVI,MHASIBU,BWANA FEDHA,
JAMBO LA MSINGI NDUGU JARIBU KUWA MDADISI UNAWEZA ULIZA WATU WA KARIBU UTAPITIKANAJI WA AJIRA/KUJIAJIRI KWA KOZI NILIZOKWAMBIA HAPO JUU
ANGALIZO :KUNA KUJAZANA UJINGA NA UFUATAJI WA MIKUMBO TUNAPOKUWA A-LEVEL JITAHIDI KUWA MDADISI NA USIOGOPE KUULIZA KOZI FULANI INAHUSU NINI ...USIJE JUTIA
KAMA UNA SWALI ,ULIZA WADAU WATAKUSAIDIA
 
duuuh cjui nikupe nn aiseee na MUNGU AKUTANGULIE MAISHANI MWAKO KILALA KHERI KWA KIKA UFANYALO AMINA!" Ansate xana mkuu..
 
Wakuu, mdogo wanu kachaguliwa form 5 HKL! Nilikuwa nafikiria kumpeleka HGL ila napata mawazo tofauti kwenye HGL na HKL in terms of probability ya fields nzuri chuo. Nipenpenda mnisaidie nijue HKL ana fields gani chuo?

Shukrani!
 
nimekusoma mkuu, lakini ningependa kuuliza swali moja la ziada.. ivi kwa mfano mtu ana c 3 na yupo qualified kwenda form 5 lakini aka cancel out kwenda form 5 na akaanza chuo katika ngazi ya diploma.. je atakua kachukua one big step a head au atakua sawa na yule aliyeenda form 5? kwa sababu wote wawili watasoma kwa miaka miwili na kisha wataingia chuo kwa ngazi ya degree.
 
Wakuu, mdogo wanu kachaguliwa form 5 HKL! Nilikuwa nafikiria kumpeleka HGL ila napata mawazo tofauti kwenye HGL na HKL in terms of probability ya fields nzuri chuo. Nipenpenda mnisaidie nijue HKL ana fields gani chuo?

Shukrani!

kimtazamo mie naona HGL ina wigo mpana sana kuliko HKL
HKL ANASOMA KOZI ZOTE ZA PURE ARTS MFANO TU NI
B.A. in Archaeology
B.A. in Culture and Heritage
B.A. in Heritage Management
B.A. in Fine and Performing Arts
B.A. in Language Studies
B.A. Literature and Language
B.A. in History
B.A. in History and Archaeology
B.A. in Political Science and Language
B.A. in Political Science and Philosophy
B.A. in Political Science and Public Administration
B.A. in Political Science and Sociology
B.A. in Sociology
B.A. in Sociology and Philosophy
B.A. in Journalism
B.A. in Mass Communication
B.A. in Public Relations and Advertising
B.A. with Education
B.Ed. in Arts
B.A. in Kiswahili
Bachelor of Laws
B.A. in Law Enforcement

ANAYESOMA HGL ANAWEZA SOMA HIZO KOZI ZOTE KASORO B.A. in Kiswahili TU PLUS HIZI ZINGINE AMBAZO ZINAHITAJI MTU MWENYE BACKGROUND YA GEOGRAPHY
B.A. in Geography and Archaeology
B.A. in Geography and Environmental Studies
PIA MTU WA HGL NI RAHISI SANA KUPATA KOZI VYUONI KWA SABABU YA HIYO GEOGRAPHY MFANO CHUO KAMA ARU(ARDHI ) ANAWEZA KUPATA CHANCE
JAMBO LA MSINGI NI YEYE KUTAMBUA ANATAKA NINI KUTOKANA USHAURI UTAKAOMPA AU ATAKAOPATA NA BUSARA PIA ...
MUULIZE NA UWEZO WAKE KWENYE HGL NA HKL WAPI NAONA YUKO COMFORTABLE HILO MUHIMU PIA
 
nimekusoma mkuu, lakini ningependa kuuliza swali moja la ziada.. Ivi kwa mfano mtu ana c 3 na yupo qualified kwenda form 5 lakini aka cancel out kwenda form 5 na akaanza chuo katika ngazi ya diploma.. Je atakua kachukua one big step a head au atakua sawa na yule aliyeenda form 5? Kwa sababu wote wawili watasoma kwa miaka miwili na kisha wataingia chuo kwa ngazi ya degree.
ngazi ya diploma ni professional attainable level ambayo unaweza ajiriwa kwa cheti chako cha diploma na kwa vile ana c tatu shaka aondoe ataingia chuo bila shida yeyote
kupanga ni kuchagua
 
Nilianza kukata tamaa ya mwanangu..yeye amepata hivi mkuu..,civ-D, HIST-F,GEO-D,KISW-D,ENGL-D,BIO-C,MATH-F. Nyongeza ya ushauri wako mkuu..nisaidie nianzie wapi
 
je huyu mkuu ataenda wapi? Matokeo yake ni div 4 yeye amefaulu bios d na phys d je anaweza kupata chuo chochote kwel? Tafadhal wakuu naomba msaada wenu.
 
Nilianza kukata tamaa ya mwanangu..yeye amepata hivi mkuu..,civ-D, HIST-F,GEO-D,KISW-D,ENGL-D,BIO-C,MATH-F. Nyongeza ya ushauri wako mkuu..nisaidie nianzie wapi
kamanda usikate tamaa kabisa jambo la msingi naomba pitia hii thread vizuri kuna vyuo vingi nimejaribu kuviorodhesha kutokana na mahitaji ya watu wengi sana ..
unaweza kucheki chuo angalia interest yake yeye halafu unaweza kuniambia ntakuorodheshea tena hivyo vyuo
jambo la msingi ana hizo d nne na hiyo c mmoja kwa hiyo anaweza akasoma CERTIFICATE ya kozi nyingi tu hapa tanzania au diploma vile vile kuna professional examination anaweza akaanzia primary stage mpaka professional stage kama (NBAA,PSPTB(NBMM) )...
 
Maganga Mkweli na kundi lako la wataalam
nawashukuru sana kwa maushauri yenu
ya bila kushoka, hatimaye binti yangu
aliondoka jumamosi tarehe 14/04 kwenda
shule yake ya a level huko mkoani iringa,
pamoja sana wakuu wangu.
 
Back
Top Bottom