Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

sorry kwa kukusumbua bt its just that yule resepyionist hakunambia cha ziada just tht niende on 5march nikachukue fom...soo unasuggest nn niende tena kabla ya date walioniamia thn nimuulize abt my failr in math na kama wanaweza kunifanyia consptn ya kuniingiza which iam not a hundrd prcnt sure!...

No we subiria tu hiyo tarehe 5 then waulizie mchakato wake unakuaje kwa F ya hesabu(ni bora hata umuulize mwanafunzi wa pale) then baada ya malezo chukua form moja kwa moja...ile nenda rudi nayo inasumbua!!
 
tnx alowt...bt leo niliingiwa na uwoga nimekwenda nikaonana na administratn offcr bt bad luck yang ilivofika trn yang alikua ameshachoka na ulikua mda wa luch so sikuweza kumconvince anielezee ktu chchte just nikaenda strght to da point na kumtajia nilichopata kua ni bio-d,chem-d,phscs-d,civics-d,na eng-d..na nikamtel kua nimepata math f je unaweza kunipatia nafasi ama kupatiwa nafsi ya kujoin pre diplma akanijibu hapana bs with a strght look! Me nikasepa..lisn bro iam rily cnfssd wid ma lyf hiki sio chuo cha kwanza mm kukitafta vya scnc nilikua na uwezekano wa kuingia socoine unvrcty bt waarabu wamezdii sheria ndomana mpaka leo cjielewi nipo wapi nafkiri nina kama one inch left ktk heart yang kugive up..kabsa mamaangu ananishauri nirudie fom 3 shule ya serekali wat do u think?
 
Duh...seems the your situation is real extreme!! Dont give up for the damn shit of these colleges....and dont ever try to join form 3 by now, what the most want to do clear Maths by reseating the exams...thats all.

Sasa ngoja nikuulize swali...kwani ni lazima kusoma chuo kinachotoa mafunzo ya sayansi hata kama una inerest ya science?? Sharia za hao waarabu ziko vipi hapo Sokoine University?? Have u think anything abt Nursing and Clinical Officers..vipi hauhitaji hiyo kitu?? Vipi kuhusu kujoin diploma za Veta kama Electrical au Civil or whatever??
Vipi kuhusu vyuo vya Utumishi wa Umma, Magogoni, Mtwara au Tabora....?? Kwa huku Dar unaishi pande zipi ?by the way mi nipo pande za mabibo..

Lakini kwa ushauri wangu tu ni kwamba jaribu kuomba kwenye vyuo vingine!!
 
pole na usikate tamaa na maisha kiasi hicho ndugu kwani PENYE NIA PANA NJIA ..utakiwi kukata hasa pale unapokuwa na dhamira ya dhati moyoni..
labda nikuulize kitu umeshajaribu hichi chuo kinachoitwa ST. JOSEPH COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY ? TOVUTI YAO HII HAPO CHINI
course
LABDA NI KU HINT KIDOGO KUNA MINIMUM ENTRY ZA KUSOMA HAPA UNAWEZA ZINGALIA KIDOGO HALAFU UENDE UKAULIZIE WAO WAKO MAENEO YA KIMBAMBA MWANZONI UNAWEZA KUSHUKA KITUO KINAITWA MAKONDEKO AU MBEZINI HALAFU UKAULIZA WENYEJI WATAKUELEKEZA AU KAMA KUNA WADAU WA ST. JOSEPH HUMU WANAWEZA KUKUELEKEZA VIZURI LOCATION YA CHUO ILIPO
[h=3]Admission Regulations[/h]
II – DIPLOMA PROGRAMMES
C – Qualification for Direct Entry.
C.1- Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) or equivalent with subsidiary pass in any one subject.

OR
C.2 – Certificate of General Course in Engineering (GCE)
III – OTHER REQUIREMENTS
D – Pre-Entry Examinations.
D.1 – Entrance Examinations
All candidates, both for Degree and Diploma Programmes, must obtain a pass in the respective Exam to qualify for admission.

D.2 - Bridge Course Examinations
Direct entry candidates, both for Degree and Diploma programmes, who do not meet conditions A.1 and C.1 must attend the respective Bridge Course and pass the Course-End Examination for admission into the main programme E – Fees.
E.1 - Admission becomes effective on full payment of required fees. E.2 – Fees once paid, in full or in part, will not be refunded under any circumstances. E.3 - Candidates must obtain and safely keep the official receipts of all payments and produce them when required by the office for any verification F – Foreign Nationals.
F.1 – Non-Tanzanian students must obtain a Student Resident Permit and complete all other immigration formalities before they commence studies. G – Financial Assistance.
G.1 - Students joining Degree programmes in St. Joseph College of Engineering, Dar es salaam and St. Joseph Institute of Information Technology, Songea are eligible to apply for Educational Loan from Higher Educational Studies Loans Board, Government of Tanzania. The loan forms are available in the Administrative office. G.2 - Limited Scholarship and Financial Assistance are provided to deserving students by the DMI Trust.
JARIBU HII APPROACH TULETEE FEEDBACK HAPA TUTAKUPA USHAURI MWINGINE HUU UKIKONGA MWAMBA NENDA ST . JOSEPH THEN TULETEE FEEDBACK WADAU WATAKUPA OPTION ZIKO NYINGI
DONT EVER DARE TO GIVE UP THE FIGHT BADO MAPEMA SANA
NAWAKILISHA
 
Duh...seems the your situation is real extreme!! Dont give up for the damn shit of these colleges....and dont ever try to join form 3 by now, what the most want to do clear Maths by reseating the exams...thats all.

Sasa ngoja nikuulize swali...kwani ni lazima kusoma chuo kinachotoa mafunzo ya sayansi hata kama una inerest ya science?? Sharia za hao waarabu ziko vipi hapo Sokoine University?? Have u think anything abt Nursing and Clinical Officers..vipi hauhitaji hiyo kitu?? Vipi kuhusu kujoin diploma za Veta kama Electrical au Civil or whatever??
Vipi kuhusu vyuo vya Utumishi wa Umma, Magogoni, Mtwara au Tabora....?? Kwa huku Dar unaishi pande zipi ?by the way mi nipo pande za mabibo..

Lakini kwa ushauri wangu tu ni kwamba jaribu kuomba kwenye vyuo vingine!!

tnx bro mm pia nipo dar lumumba kariakoo vp munaweza kunipatia majina ya vyuo vya science mybe vinavoweza kunikubli mm kuanza atleast frm diplm na certfct yangu ambavo havina ulazma wa math cse rafki yang amenambia nursng haiangalii math ukiangalia mambo ya health bt mm nakumbuka kulikua na chuo znzbr nilijarbu kujiandikisha walikataa cse cna crdt hata moja na pls jaman vyuo viwe vya dar
 
Nah sijawahy kukiskia bt hicho si kitakua ndo kile kile wanaotaka math atleast d? Nifahamisheni guys vp inavokua ukireseat cse mm nahofia kuja kuharibu scnc rslt zangu za sasahv manaake kurct mthn wake mgmu
 
Ok, sikia endapo ukirisit na (lets say una D) na badae ukapata F, hapo hujaharibu scnc results zako itaendelea kutumika ille D coz tayari ina certificate yake...so hapo ondoa hofu.

Halafu hapa Dar pamejaa sana Riyy...hizo crdt zako hata kupata admission magogoni ni vigumu mno na kuna watu wanahonga hadi laki 6 ilhali wana crdt za kusoma pale...kuna udhalimu sana hapa dar...cha ajabu cheti cha chuo hichohicho ukiomba mkoani unachukuliwa bila kuhonga hata sent 1, so ukijilimit usome vyuo vya dar tu inabidi vilevile ujipange sana(esp financially) otherwise mwenye kujua vyuo vya dar anaweza kukuorodheshea.
 
Nah sijawahy kukiskia bt hicho si kitakua ndo kile kile wanaotaka math atleast d? Nifahamisheni guys vp inavokua ukireseat cse mm nahofia kuja kuharibu scnc rslt zangu za sasahv manaake kurct mthn wake mgmu
hebu nenda st. joseph halafu leta feedback tutajua way forward
 
Ujue maganga kuna atu wapo limited sana....wako desparate, sasa kwa mfano vyuo vya dar, nahisi wewe una uelewa mkubwa..so wawezza kumsaidia huyu binti

[/QUOTE] tnx alowt...bt leo niliingiwa na uwoga nimekwenda nikaonana na administratn offcr bt bad luck yang ilivofika trn yang alikua ameshachoka na ulikua mda wa luch so sikuweza kumconvince anielezee ktu chchte just nikaenda strght to da point na kumtajia nilichopata kua ni bio-d,chem-d,phscs-d,civics-d,na eng-d..na nikamtel kua nimepata math f je unaweza kunipatia nafasi ama kupatiwa nafsi ya kujoin pre diplma akanijibu hapana bs with a strght look! Me nikasepa..lisn bro iam rily cnfssd wid ma lyf hiki sio chuo cha kwanza mm kukitafta vya scnc nilikua na uwezekano wa kuingia socoine unvrcty bt waarabu wamezdii sheria ndomana mpaka leo cjielewi nipo wapi nafkiri nina kama one inch left ktk heart yang kugive up..kabsa mamaangu ananishauri nirudie fom 3 shule ya serekali wat do u think?[/QUOTE]

nakuelewa sana mkuu sizinga naningependa mkusaidia huyu ndugu naningekuwa DAR ningempeleka ST.JOSEPH akaulize hiyo bridge course na utaratibu wote problem niko ARUSHA mkuu ila kama yuko angejitahidi kufika pale ni maeneo ya kibamba anaweza shuka mbezini au makonde halafu akauliza akaelekezwa mimi nataka ajaribu hii njia wakimchomolea tutatoa options nyingine kutoka na matokeo yake ingawa ndugu yetu anaonekana amekataa tamaa sana hasa hiyo f ya hesabu najua madhara yake mbele ila kama ataweza kupata bridge course anaweza yeye mwenyewe baadaye akamua kureseat maths wakati amerelax na yupo na diploma mimi naamini akijieleza vizuri st.joseph watamchukua akuwa na f ya physics hapo utata ungekuwa mkubwa
nawasilisha
 
Nadhani atakuwa amekuelewa, yambidi aende then atuletee feedback...tayari ushauri mwingi tushawapa
[/QUOTE]

nawasilisha[/QUOTE]

ok thn mm nipo maeneo ya lumumba kariakoo je nikitaka kuenda huko nipande gar la wapi
 
nakuelewa sana mkuu sizinga naningependa mkusaidia huyu ndugu naningekuwa DAR ningempeleka ST.JOSEPH akaulize hiyo bridge course na utaratibu wote problem niko ARUSHA mkuu ila kama yuko angejitahidi kufika pale ni maeneo ya kibamba anaweza shuka mbezini au makonde halafu akauliza akaelekezwa mimi nataka ajaribu hii njia wakimchomolea tutatoa options nyingine kutoka na matokeo yake ingawa ndugu yetu anaonekana amekataa tamaa sana hasa hiyo f ya hesabu najua madhara yake mbele ila kama ataweza kupata bridge course anaweza yeye mwenyewe baadaye akamua kureseat maths wakati amerelax na yupo na diploma mimi naamini akijieleza vizuri st.joseph watamchukua akuwa na f ya physics hapo utata ungekuwa mkubwa
nawasilisha

[/B]
[/QUOTE]

ok thn mm nipo maeneo ya lumumba kariakoo je nikitaka kuenda huko nipande gar la wapi [/QUOTE]

panda gari za u ubungo-kariakoo au mbezi-KARIAKOO chukua kama ukipanda za ubungo ukifika ubungo panda gari za KIBAMBA THEN SHUKA KITUO KINAITWA MAKONDEKO HALAFU UKISHUKA UULIZA MTU YEYOTE AKUELEKEZA ST.JOSEPH ILIPO UTAPELEKWA AU UKIPANDA GARI ZA MBEZI -KARIAKOO , UKISHUKA MBEZI PANDA GARI ZA KIBAMBA SHUKA HICHI KITUO CHA MAKONDE ...AU MUULIZE ABIRIA KITUO RAHISI KUFIKA CHUO CHA ST.JOSEPH ATAKUELEKEZA HOPE UMENIELEWA
 
nakuelewa sana mkuu sizinga naningependa mkusaidia huyu ndugu naningekuwa DAR ningempeleka ST.JOSEPH akaulize hiyo bridge course na utaratibu wote problem niko ARUSHA mkuu ila kama yuko angejitahidi kufika pale ni maeneo ya kibamba anaweza shuka mbezini au makonde halafu akauliza akaelekezwa mimi nataka ajaribu hii njia wakimchomolea tutatoa options nyingine kutoka na matokeo yake ingawa ndugu yetu anaonekana amekataa tamaa sana hasa hiyo f ya hesabu najua madhara yake mbele ila kama ataweza kupata bridge course anaweza yeye mwenyewe baadaye akamua kureseat maths wakati amerelax na yupo na diploma mimi naamini akijieleza vizuri st.joseph watamchukua akuwa na f ya physics hapo utata ungekuwa mkubwa
nawasilisha

[/B][/QUOTE]

ok thn mm nipo maeneo ya lumumba kariakoo je nikitaka kuenda huko nipande gar la wapi[/QUOTE]
panda gari za u ubungo-kariakoo au mbezi-KARIAKOO chukua kama ukipanda za ubungo ukifika ubungo panda gari za KIBAMBA THEN SHUKA KITUO KINAITWA MAKONDEKO HALAFU UKISHUKA UULIZA MTU YEYOTE AKUELEKEZA ST.JOSEPH ILIPO UTAPELEKWA AU UKIPANDA GARI ZA MBEZI -KARIAKOO , UKISHUKA MBEZI PANDA GARI ZA KIBAMBA SHUKA HICHI KITUO CHA MAKONDE ...AU MUULIZE ABIRIA KITUO RAHISI KUFIKA CHUO CHA ST.JOSEPH ATAKUELEKEZA HOPE UMENIELEWA
 
Tnx alowt bro..mm nitajitahidi ntaenda huko na kuwaleteeni feedbacks,aniwais nilikua na frnd wang ambae nafuatana nae kwenye mizunguko yangu ya kutafta shule yy pia kapata exzctly kama mm crtfct yake na masmo aliyoyapasi kama mm na pia ana f ya math kama mm lol,yy alisema nimuulizie herbut kairuki memorial univercty yy just kaiona kwa intrnt na ameskia ipo kijitonyama alikua anataka kuuliza vp huw wanachukua watu kama yy kwenye mambo ya clinical officr ama angeweza kupata kitu chchte excp nurcing cse ameambiwa co nzury cna na yy mwenyewe tang mwanzo haitaki nakama inawezekana pls mungeweza kunielezea in brief nipate kumfahamisha na kama kuna mtu anaijua sehemu gani ilipo cse mm wala yy hatuijui exzct loctn..tnx
 
Kairuki...is expensive good college!!
 
Back
Top Bottom