Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,174
- 34,405
- Thread starter
- #401
Thats the spirit buddy. Work out.....Asante sana kwa ukumbusho huu muhimu Karucee, #nimehamasika !
Last edited by a moderator:
Thats the spirit buddy. Work out.....Asante sana kwa ukumbusho huu muhimu Karucee, #nimehamasika !
Wana wake wa bongo bna.! Pasua kichwa kweli,tukikonda shdaa,tukitoka vitambi nongwa,tukiwa slim mna taka six pak, lol mbo kila kitu kwenu kero.? Mnataka nin.? Mbona nyie mna vitambi vya michemsho na bia za bure sisi hatusemi.?
Muda mwingne muwe mnaridhika mnapo gegedwa ka goli kamoja,wanaume sio sex machineee aaarghgg
mimi ni miongoni mwa hao madereva....bila hivyo mtasaidiwa na ma dreva wenu
bila hivyo mtasaidiwa na ma dreva wenu
he will b stupid if he will try to cheat me
nani alikudanganya nitashindwa??tenaupungue me na kitambi na wewe unakitambi vikojoleo vitagusanaje?
Nakunywa wine bia nimeacha kitambo..kitimoto hakipandi man mwendo ni nyama choma tu..nafikiri mazoezi labda nibadilishe ratiba..
bila hivyo mtasaidiwa na ma dreva wenu
Thats the spirit buddy. Work out.
Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.
Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.
But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!
Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.
Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.
Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.
Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.
Wanaume hatuandiki kwa staili hii yako.Heri yangu,japo sina mda wa mazoezi,sinywi mibia
na situmii mitotoz
but sinenepi
Huyo ni mvulana a.k.a mtoto wa kiumeWanaume hatuandiki kwa staili hii yako.