For the lazy ass dudes

For the lazy ass dudes

Mmmmmmmmmh!

MI NAOMBA KUKAZIA HAPO HAPO UNADE WA KINA LAZY BILLY!!!!!!!!! Wanaume wengi hususani WASOMI mnanisikitisha sanaaaaaaaa siku hizi. Mwanaume over 25 UNA MASTERS UNAOMBA OMBA HELA NYUMBANI/DEMU/WASHKAJI!!!!!!! Tufiakwaaaaaaaaaaa! Na elimuyako yote JUUUUUUU! It is simply OUTRAGEOUS!

Sawa HUJABAHATIKA KUAJIRIWA, ila sio ndo iwe LIFESTYLE! Kila siku wakalia nimeapply BOT, EWURA, GAPCO, sasa kuapply HOW DOES IT HELP YOUR FINANCIAL SITUATION? Na unajijua kabisaa P.O.BOX ya kufayiwa mchongo pande hizo HUNAAAAAAAAA!!!!!!!! Mwanaume unaishi kwa MIZINGA hadi washkaji WANAKUKWEPA!!!!!!!!!!

Kuchanika kwa jamvi SIO MWISHO WA MANGEZI! Sawa umesoma hujabaatika kuajiriwa, SO WHAT? Utakaa unangojea ajira milele na umri ndo unakutupa mkono.? Hata DILI za kimjinimjini zinakushinda kupiga ukae mjin kwa jeuri? REALLY? Hata kusema nichukue jiko apa niuze nyama, supu, na viazi kidogo, Ahaaaaaaaaa! WE MTHOMI BANA! Wakati kila wiki usingekosa kilo 2 au 3. Hata kuingia kariakoo udalalie mali, ahaaaaaaaaaa! We mthomi bana! Hata kuwa dalali wa nyumba basi, aaaaaaah! Mthomi wewe tenaaaa? Chukua mazao shamba huko, akuuuuuuuuu! Hio kazi ya layman.

MWANAUME SIO OFISI, MWANAUME WALLET! Wake up dudes! Mimi nimechoka jamani! Ukimpata msomi ujifuze kujibajet ndani ya huo mshahara ake milele na milele! They never think outside the box! WASIOSOMA SAIVI NDO WANACONTROL UCHUMI WA JIJI! It is so disappointing! Ukikaa na msomi anawaza KUKOPA anunue gari, na illiterate wa karakoo anawaza LINI ATASHUSHA COMMERCAL BUILDING even if it is the last thing he does before dying!

LAZY BILLY muace kutumia kisingizio sjaajira ndo maana sijatoka kimaisha! UKIWA NA 500,000 UKASINDWA KUIZUNGUSHA UPATE 550,000 BASI HATA UKIWA NA 50M HUTOWEZA KUIZUNGUSHA IZAE!

sasa hii ndo ilitakiwa ianze good!
nafikiri hebu ianze na page yake inaweza kuleta mawazo jengefu
 
9k=
 
Nina kitambi cha kishikaji ila ***** kila demu ninayegonga lazima ajikande maji moto nakamua n.y.e.g.e zote mpaka papuchi inakuwa kavu.Wengi wanaishia kusema siamini kama ni wewe unavyoonekana na mambo yako tofauti kabisa.Siendi gym wala nini chumba changu ni gym tosha.Kitimoto siwezi acha.
Too bad for you.
 
kwa mwaanume mwenye akili hili atachukua na kufanyia kazi........ alafu hawajui wakiwa na vitambi wakivua nguo wanatia kinyaaa..... mwanaume uwe smart nikimaanisha from your body language hadi uvaaji... mtu anvua nguo utafikiria mdudu kumbe mtu...

badilikeni mwanaume umeunganika kichwa huna shingo tumbo makalio mapaja manene lohhhh mmmh inatia kinyaaa
Mmmm hiki kimbunga kinatuzoa 😛eep:
 
Wanaume tuna kazi kweli kweli!!
Huku karucee anataka tuende gym ili tulabuane vizuri, kubwa la maadui yeye anataka tuache kulalamika tutafute pesa kwa nguvu zote...

Mtatuua nyie wanawake mjue!!
 
Hahaha hawana mazoezi kabisa, ni full vitambi michuchumio, yan wengine hadi gegedo halionekani vizuri, linazibwa na kitambi pwaaah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Halafu ukute mihuni hiyooo?
 

MKUU mbona umeamua kewaanika hawa wadau wa "kitambi noma" je umapata ruhusa yao?? This is very offensive.
Toa hii picha mara moja or else tutatafutana hapa arusha tukuonyeshe maana ya copy right
 
Karucee, leo kweli umtuamkia...haya ujumbe umefika tutaanza kufanya mazoezi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom