bby utajaziwa pms balaa, si unajua watu wenye miili kama yako wachache siku hizi. lol, usinipe presha mpenz.
Lazy ass speaking.kwan gym zimejengwa kwa ajili yetu peke yetu,nanyie tengenezeni hata shape basi,mke unakuwa umefura utafikiri maandazi ya dona na udaga yaliyo jazwa hamira..kwenye mechi goli moja tuu umeshochoka unaanza visingizio,hamko flexible hutaki kupapatuliwa wewe kifo chamende tuu,wakati kanyumba ndogo mpaka chuma mboga kanajua,hata bafuni kanakupa kwanini kwako nisije kukupiga kimoja cha kuzugia nilale zangu...
Mabadiliko yanaanza nawewe uskimbilie kutulaumu wakati wewe ndo kabisaa
Aisee kweli ndambi zitatuua hadi kufunga viatu ni soo..binafsi nimeshaanza joging lakini inakuwa sio sustainable ndo mana ndambi halipungui..
Lazy ass speaking.
Are you sure?
Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.
Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.
But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!
Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.
Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.
Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.
Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.
If that so Then When yo man cheat usitafute mchawi look at the morror
Hahaha unapenda mechi za mchangani?
Nakunywa wine bia nimeacha kitambo..kitimoto hakipandi man mwendo ni nyama choma tu..nafikiri mazoezi labda nibadilishe ratiba..punguza bia na kitimoto....