For the lazy ass dudes

For the lazy ass dudes

Mmmmmmmmmh!

MI NAOMBA KUKAZIA HAPO HAPO UNADE WA KINA LAZY BILLY!!!!!!!!! Wanaume wengi hususani WASOMI mnanisikitisha sanaaaaaaaa siku hizi. Mwanaume over 25 UNA MASTERS UNAOMBA OMBA HELA NYUMBANI/DEMU/WASHKAJI!!!!!!! Tufiakwaaaaaaaaaaa! Na elimuyako yote JUUUUUUU! It is simply OUTRAGEOUS!

Sawa HUJABAHATIKA KUAJIRIWA, ila sio ndo iwe LIFESTYLE! Kila siku wakalia nimeapply BOT, EWURA, GAPCO, sasa kuapply HOW DOES IT HELP YOUR FINANCIAL SITUATION? Na unajijua kabisaa P.O.BOX ya kufayiwa mchongo pande hizo HUNAAAAAAAAA!!!!!!!! Mwanaume unaishi kwa MIZINGA hadi washkaji WANAKUKWEPA!!!!!!!!!!

Kuchanika kwa jamvi SIO MWISHO WA MANGEZI! Sawa umesoma hujabaatika kuajiriwa, SO WHAT? Utakaa unangojea ajira milele na umri ndo unakutupa mkono.? Hata DILI za kimjinimjini zinakushinda kupiga ukae mjin kwa jeuri? REALLY? Hata kusema nichukue jiko apa niuze nyama, supu, na viazi kidogo, Ahaaaaaaaaa! WE MTHOMI BANA! Wakati kila wiki usingekosa kilo 2 au 3. Hata kuingia kariakoo udalalie mali, ahaaaaaaaaaa! We mthomi bana! Hata kuwa dalali wa nyumba basi, aaaaaaah! Mthomi wewe tenaaaa? Chukua mazao shamba huko, akuuuuuuuuu! Hio kazi ya layman.

MWANAUME SIO OFISI, MWANAUME WALLET! Wake up dudes! Mimi nimechoka jamani! Ukimpata msomi ujifuze kujibajet ndani ya huo mshahara ake milele na milele! They never think outside the box! WASIOSOMA SAIVI NDO WANACONTROL UCHUMI WA JIJI! It is so disappointing! Ukikaa na msomi anawaza KUKOPA anunue gari, na illiterate wa karakoo anawaza LINI ATASHUSHA COMMERCAL BUILDING even if it is the last thing he does before dying!

LAZY BILLY muace kutumia kisingizio sjaajira ndo maana sijatoka kimaisha! UKIWA NA 500,000 UKASINDWA KUIZUNGUSHA UPATE 550,000 BASI HATA UKIWA NA 50M HUTOWEZA KUIZUNGUSHA IZAE!

I like ths attitude
 
ujumbe umepokelewa my dia karuceee,kweli wanaume wengi wamekuwa wavivu sana they only think abt beer and asusa, even push ups hawawezi kufanya asubui,utakuta jinaume limejaziana tumbo,------ as if she is 3 month pg.
eeh mola niepushe na uvivu mimi crucial man,push up every morn kwangu sio issue,kuwalk nikitoka job ni lazima, in 6*6 ni full burudani coz am fit style yoyote atakayotaka mumsap twende kaz.hongera sana kurucee kuwakumbusha wakaka wa mujini umuhu wa physical fitness
 
Hongera sana best kwa kuwa physically fit.
 
tum.jpg
Ila na sisi wanawake mh! Jitu kama hili limeparara halafu lije kukuparamiaaa.
 
Kaonje uone. Usidharu ambacho hujakila. Unapata haki ya kutoa maoni baada ya kula. Kula kwanza no uje.
 
Mmmhh... You guys are tisharing me!

Nowadays iam doing mazoezi evere mornin!

Imajin, i round 8 times uwanja wa mpira! Pushapu 30, squash za kutosha..! Balanced diet naipata!

Sasa kuna kitu kinjitokeza....! Product ya hayo yoote ninayofanya..!

Mmhh... Naogopa kuthema hapa!
You girls are gonna lough..!

Guys karibuni maziwa bana!
 
Una 6 pa.....au 8 pa.....?
 
Hahahaaa. Lmao. Ndo nini sasa?

*****, yani nilikuwa nimetoka gym nimeoga nimerest, baada ya kuiona hii thread, nikabadili nguo na kurudi tena kwa gym! maana lol nisije ambiwa siku hizi hunilabui tena vizuri! thanx my pal, atakayekuponda hajui umuhimu wa zoezi huyo!
 
Unalabua nini tena?
 
Back
Top Bottom