For the lazy ass dudes

For the lazy ass dudes

I will volunteer... I have been there at UHURU Peak (Top of Mountain Kilimanjaro) some fews years back.. Its challenging yet its very interesting aisee ......Go! go! go!.....
Ever wanted somebody really really bad, but he wont respond for reasons best known to his dumb ass?
 
Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.

Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.

But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!

Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.

Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.

Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.

Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.
Karuu babe,
Strong is the POINT. But, CRUDE is the language in here.
Anyways tho',Let's just comply with the saying:"The end justfies the means".
 
Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.

Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.

But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!

Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.

Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.

Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.

Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.
respect......... ujumbe hauna cha kuongeza wala kupunguza

halafu ukila yale manyama ya bar ukongezea na mibia na kiporo cha tangu breakfast.... kisha ukaomba denda kwa mke0... bila kupiga mswaki mdogo unanuka kama yale malori ya kukusanya taka
 
mwanamme sifa pumzi, sio unapiga kimoja hoi, mijasho tere. Wanaume tubadilike tuamke mapema na tuhudhurie gym mitumbo yetu itakaa sawa

Sio mitumbo tu. Arms and legs...everywhere.
 
Asante, kama vipi wafate signature ysko.
respect......... ujumbe hauna cha kuongeza wala kupunguza

halafu ukila yale manyama ya bar ukongezea na mibia na kiporo cha tangu breakfast.... kisha ukaomba denda kwa mke0... bila kupiga mswaki mdogo unanuka kama yale malori ya kukusanya taka
 
mweeeeh!!! mie ndio maana mwanaume akishakuwa na kitambi sitaki hata anisogelee.samahanini ila mazoezi muhimu jamani. bora umewapa makavu yao Karucee.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume tuna kazi kweli kweli!!
Huku karucee anataka tuende gym ili tulabuane vizuri, kubwa la maadui yeye anataka tuache kulalamika tutafute pesa kwa nguvu zote...

Mtatuua nyie wanawake mjue!!

wanaume tumeumbwa mateesoooo matesoooo kuhangaika!
 
This might be interesting to note Karucee
The Ideal Weight for Ideal Height (' Feet ''inch... One feet equals to 12 inches.)
BMI INDEX.jpg
 
Back
Top Bottom