For the lazy ass dudes

For the lazy ass dudes

Mmmmmmmmmh!

MI NAOMBA KUKAZIA HAPO HAPO UNADE WA KINA LAZY BILLY!!!!!!!!! Wanaume wengi hususani WASOMI mnanisikitisha sanaaaaaaaa siku hizi. Mwanaume over 25 UNA MASTERS UNAOMBA OMBA HELA NYUMBANI/DEMU/WASHKAJI!!!!!!! Tufiakwaaaaaaaaaaa! Na elimuyako yote JUUUUUUU! It is simply OUTRAGEOUS!

Sawa HUJABAHATIKA KUAJIRIWA, ila sio ndo iwe LIFESTYLE! Kila siku wakalia nimeapply BOT, EWURA, GAPCO, sasa kuapply HOW DOES IT HELP YOUR FINANCIAL SITUATION? Na unajijua kabisaa P.O.BOX ya kufayiwa mchongo pande hizo HUNAAAAAAAAA!!!!!!!! Mwanaume unaishi kwa MIZINGA hadi washkaji WANAKUKWEPA!!!!!!!!!!

Kuchanika kwa jamvi SIO MWISHO WA MANGEZI! Sawa umesoma hujabaatika kuajiriwa, SO WHAT? Utakaa unangojea ajira milele na umri ndo unakutupa mkono.? Hata DILI za kimjinimjini zinakushinda kupiga ukae mjin kwa jeuri? REALLY? Hata kusema nichukue jiko apa niuze nyama, supu, na viazi kidogo, Ahaaaaaaaaa! WE MTHOMI BANA! Wakati kila wiki usingekosa kilo 2 au 3. Hata kuingia kariakoo udalalie mali, ahaaaaaaaaaa! We mthomi bana! Hata kuwa dalali wa nyumba basi, aaaaaaah! Mthomi wewe tenaaaa? Chukua mazao shamba huko, akuuuuuuuuu! Hio kazi ya layman.

MWANAUME SIO OFISI, MWANAUME WALLET! Wake up dudes! Mimi nimechoka jamani! Ukimpata msomi ujifuze kujibajet ndani ya huo mshahara ake milele na milele! They never think outside the box! WASIOSOMA SAIVI NDO WANACONTROL UCHUMI WA JIJI! It is so disappointing! Ukikaa na msomi anawaza KUKOPA anunue gari, na illiterate wa karakoo anawaza LINI ATASHUSHA COMMERCAL BUILDING even if it is the last thing he does before dying!

LAZY BILLY muace kutumia kisingizio sjaajira ndo maana sijatoka kimaisha! UKIWA NA 500,000 UKASINDWA KUIZUNGUSHA UPATE 550,000 BASI HATA UKIWA NA 50M HUTOWEZA KUIZUNGUSHA IZAE!

Nimejikuta nakupenda bure...lols..
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda sana hii topic, I consider myself to be the most fittest JF member ever..........ni changamoto kwa kina @Aspirin na wengineo
 
Nimeipenda sana hii topic, I consider myself to be the most fittest JF member ever..........ni changamoto kwa kina @Aspirin na wengineo

Hii ukiunganisha na ile yako ya siku ile inawagusa wengi.
 
100% ur right mimi kila mrn saa kumi n 2 naenda jogging kwenda n kurudi natumia 1hr, nafanya hvyo cnc 2009 nakula mchana 2 ucku napata fruits n juice

Gym hupati hewa kma ukifanya jogging mana wanaume nw tunapata diabetes n presha cz y uvivu w kufanya mazoezi
 
Nimeipenda sana hii topic, I consider myself to be the most fittest JF member ever..........ni changamoto kwa kina @Aspirin na wengineo
....is that so?
 
100% ur right mimi kila mrn saa kumi n 2 naenda jogging kwenda n kurudi natumia 1hr, nafanya hvyo cnc 2009 nakula mchana 2 ucku napata fruits n juice

Gym hupati hewa kma ukifanya jogging mana wanaume nw tunapata diabetes n presha cz y uvivu w kufanya mazoezi

Natural air does us good.
 
Back
Top Bottom