For the lazy ass dudes

For the lazy ass dudes

Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.

Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.

But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!

Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.

Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.

Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.

Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.

heri yangu mimi mpiga matizi tena yale magumu haswaa
 
7795850802_7b9b3ca1f8.jpg
article-2210682-1545D88E000005DC-406_634x457.jpg
rickross636x350.jpg
 
mkuu usicheke hii hili suala ni nyeti sana, tena sana.

Si huwa unasikia baadhi ya wanawake wakilalama kuwa bongo hakuna wanaume?

Na wanaume wa dar wanashauri eti ni bora kwenda kuoa "mkoani"?

mkuu EMT samahani kwa kucheka msibani. Unajua ulivyo sema wanaume wa dar nime kumbuka kuna thread moja niliiona pahala mtoa mada alikuwa ana lalamika kuwa wanaume wa dar ni dhaifa sana na alikwenda mbali zaidi kuwa heti wanatembea kimdebwedo kutokana na kutofanya mazoezi.

Kwa swala la kusema ukaoe kijijini ndio suluhu ni kujidanganya maana hata wa huko vujijini ndio hawapendi kusikia habari za wanaume legelege.

Kwakweli hili ni tatizo kubwa hasa dar.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
We kaseme na mtu wako huko. Kila mwanamke anapenda mwanamume wake awe dizaini fulani. Hako ka cv kako peleka kwako. Sio lazima ukimbize upepo au unyanyue vyuma ndo uwe fiti. Njia ziko lukuki. Au unavizia watu jim hawaji huko ndo ukakasirika? Nimepita Gymkana nikakuta wanawake wanavizia watu pale. Baadhi ya gym mambo ni hayohayo. Beach nazo sio salama. Huo ushauri wako ni kama wa giza vile!!.

ni kweli kila mwanamke ana sifa na dizaini ya mwanaume anayempenz pia hata kwa wanaume hvyohvyo but kuna standard kaka
Kwani kua na mkitambi ni sifa?
Ukiwa na mwili unaopemdeza unapungukiwa nn?
Kama aliyoandika huyu dada yamekutachi kwann usiyafanyie kazi?
Do u think sababu mkeo/mpenz wako hakwambii basi anapemdezewa na huo mkitambi au manyama uzembe uliyonayo?
Guys z t bad to learn?
Ths z childish ndugu yangu ukiwa fiti haikupunguzii chochote
Nb ni kwa faida yako ukitaka Fanya ukitaka acha
 
Karucee mi ni mtu wa mazoezi, inafikia atua wife wangu shansarie ananiambia nipunguze..
good thing nina mpango kabambe wa kuandaa tour kwa ajili ya kuupanda mlima Kilimanjaro kwa Wanajf wote wenye willing...

kiwatengu hebu sema kwa herufi kubwa habari ya Mt Kilimanjaro bhana kama unamaanisha hii habri please itikia kwa sauti kubwa na herufi kubwa! !!!!!!!

Haya Karucee fursa hiyoooooo!!!!!!!
 
Anataka kukomoa watu siku akifa daaamn jeneza zito kama kuna mawe!!!!!
 
Last edited by a moderator:
nikiwa sina stress mwili unakuwa poa tu stable........ila nikiwa nazo aisee hasa stress za mapenzi
nahisi hivi nimepungua ila kidogoooooo

mapenzi janga la taifa kuna kamsemo wanasema mapenzi ulaya aafrika biashara,back to the topic watu wanapaswa wajue kwamba kupunguza kilo ni kazi kuliko kuziongeza so in whatever we r doing we should kip that in our mind!
 
kiwatengu hebu sema kwa herufi kubwa habari ya Mt Kilimanjaro bhana kama unamaanisha hii habri please itikia kwa sauti kubwa na herufi kubwa! !!!!!!!

Haya Karucee fursa hiyoooooo!!!!!!!

Perfect. Twenzetu. Aanze kuandika majina.
 
Last edited by a moderator:
yaaah.. namaanisha mkuu, hata jamaa wa arusha wing wanalijua hili, cc. PakaJimmy Arushaone Filipo marejesho.

Am in aseee ngoja kesho nifanye oiling ya bicycle nianze mdogomdogo!!!!!!
Hebu let us get serious on this mkuu,hebu ianzishie thread na tuiombee sticky status ili kupata wadau kwa urahisi na kujua response!!!!!

Ni muhimu kujua mapema ili kujua cost, ratiba za life,mazoezi na mambo kama hayo!!!!

Halafu bunge likae kama kamati for logistic purposes!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom