Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
jangwani unakimbia ama?
Nilikuwa nacheza mpira
jangwani unakimbia ama?
We kaseme na mtu wako huko. Kila mwanamke anapenda mwanamume wake awe dizaini fulani. Hako ka cv kako peleka kwako. Sio lazima ukimbize upepo au unyanyue vyuma ndo uwe fiti. Njia ziko lukuki. Au unavizia watu jim hawaji huko ndo ukakasirika? Nimepita Gymkana nikakuta wanawake wanavizia watu pale. Baadhi ya gym mambo ni hayohayo. Beach nazo sio salama. Huo ushauri wako ni kama wa giza vile!!.
Nilikuwa nacheza mpira
ni kweli kila mwanamke ana sifa na dizaini ya mwanaume anayempenz pia hata kwa wanaume hvyohvyo but kuna standard kaka
Kwani kua na mkitambi ni sifa?
Ukiwa na mwili unaopemdeza unapungukiwa nn?
Kama aliyoandika huyu dada yamekutachi kwann usiyafanyie kazi?
Do u think sababu mkeo/mpenz wako hakwambii basi anapemdezewa na huo mkitambi au manyama uzembe uliyonayo?
Guys z t bad to learn?
Ths z childish ndugu yangu ukiwa fiti haikupunguzii chochote
Nb ni kwa faida yako ukitaka Fanya ukitaka acha
Am in aseee ngoja kesho nifanye oiling ya bicycle nianze mdogomdogo!!!!!!
Hebu let us get serious on this mkuu,hebu ianzishie thread na tuiombee sticky status ili kupata wadau kwa urahisi na kujua response!!!!!
Ni muhimu kujua mapema ili kujua cost, ratiba za life,mazoezi na mambo kama hayo!!!!
Halafu bunge likae kama kamati for logistic purposes!!!!!

yah! najipanga kwa hili kila kitu kikiwa sawa, nitakileta hapa mkuu
watu wawe na subira mkuu, hii kitu nimeiendesha underground kwa muda mrefu,
ilikuwa tuitoe ile december mambo yakawa magumu kidogo,
kwa sababu sasa nipo huku Kilimanjaro kila kitu kitakuwa sawa tu.
mwanamme sifa pumzi, sio unapiga kimoja hoi, mijasho tere. Wanaume tubadilike tuamke mapema na tuhudhurie gym mitumbo yetu itakaa sawa
Mkuu Tized yeah bao 8 na wala unakuta sikamii,inatokea tu hamu haiishi na hakuna kuchoka! Bao 1 - 3 zinaunganishwa mkuu
ni kweli kila mwanamke ana sifa na dizaini ya mwanaume anayempenz pia hata kwa wanaume hvyohvyo but kuna standard kaka
Kwani kua na mkitambi ni sifa?
Ukiwa na mwili unaopemdeza unapungukiwa nn?
Kama aliyoandika huyu dada yamekutachi kwann usiyafanyie kazi?
Do u think sababu mkeo/mpenz wako hakwambii basi anapemdezewa na huo mkitambi au manyama uzembe uliyonayo?
Guys z t bad to learn?
Ths z childish ndugu yangu ukiwa fiti haikupunguzii chochote
Nb ni kwa faida yako ukitaka Fanya ukitaka acha
Perfect. Twenzetu. Aanze kuandika majina.