Football Transfer Centre 2013: Transfer News and Rumours

Football Transfer Centre 2013: Transfer News and Rumours

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
Kwanza niwape pongezi kwa wale ambao timu zao hazikutoka kapa msimu huu na pole kwa wale ambao wameendelea kuumia hasa kule anga za Emirates na Anfield. Wenyewe wanajijua. Hata hivyo, pole za ziada ziwaendee wale woooote wa Nou Camp. Bao saba siyo mchezo ati!

Basi wakati nikimalizia kusort out safari yangu ya Wembley kwa ajili ya Champions League Final, nimeona nianzishe hii thread mahususi kwa ajili ya latest transfer news na rumours kuhusu usajili wa wachezaji hasa kwenye ligi kuu za Ulaya.

Hapa ndiyo tutakuwa tunapashana kuhusu nani anahama? Nani anabaki? Nani anakopeshwa? Nani hataki kuuzwa au kukopeshwa? Nani amekataa kuuzwa au kukopeshwa. Nani ni free transfer? By "Nani" sina maana ya Nani wa Man Utd.

So far top players ambao watakuwa kwenye headlines sana ni Wayne Rooney, Falcao, Tavez, Naymar, Andre Schurrle, Bale, David Villa, Benteke, Victor Wanyama, Nani, Fellaini, Cavani, Lewandowski, Marquinhos, na wengine wengi.

Msimu ujao sitegemei kuendelea kusikia yale malalamiko yasiyoluwa na tija eti sijui Ferguson anaogopwa na marefa, sijui eti David Gill anawanunua marefa. Msimu ujao mshindwe wenyewe tuu. Hasa kule Anflied, mfanye shopping ya kutosha kabisa msije mkalala na njaa tena na kuishia kula watu kupitia Suarez.

Kwa kuanzia tuu Bayer Leverkusen forward Andre Schurrle remains hopeful of leaving the Bundesliga club in the summer, with Chelsea firm favourites to land him. The 22-year-old, who has scored 14 times for the club this season, is expected to complete the formalities of a big-money switch to Stamford Bridge in the next few weeks.

However, the deal could be dependent on Kevin De Bruyne heading the other way, with the young Belgian now understood to prefer a move to Champions League finalists Borussia Dortmund: http://www1.skysports.com/football/...le-hopes-Bayer-Leverkusen-keep-their-promises

DEALS DONE
  1. Mario Gotze [Borussia Dortmund - Bayern Munich] Undisclosed (reported £31.5m)
  2. .....Neymar tayari yupo ndani ya Camp Nou [Fee undisclosed].
  3. Kolo Toure amekamilisha uhamisho wa [kutoka Man City] kwenda Liverpool - [free transfer]
  4. Joao Moutinho [Porto - Monaco] £21.5m
  5. James Rodriguez [Porto - Monaco] £38.5m
  6. Hatimaye mshambuliaji Radamel Falcao [wa Atletico Madrid] ametua katika klabu ya Monaco ya Ufaransa, Falcao amesaini mkataba wa miaka 5 [kwa ada inayoripotiwa kuwa £50
  7. David Moyes agrees deal to make Guillermo Varela first Manchester United signing Guillermo Varela [Atletico Penarol - Manchester United] Undisclosed
  8. City confirm Fernandinho signing. Fernandinho [Shakhtar Donetsk - Manchester City] £30m
  9. Man Utd has released Reece Brown, John Cofie, Michele Fornasier, Luke Giverin, Luke Hendrie, Luke McCullough, Paul Scholes, Gyliano Van Velzen, and Freddie Veseli.
  10. Liverpool has released Tyrell Belford, Jamie Carragher, Jamie Stephens, and Dan Wilson.
    Man City has released Wayne Bridge (anaenda Reading), Filippo Mancini, Ryan McGivern, Roque Santa Cruz, Kolo Toure
  11. Chelsea has released Amin Affane, Yossi Benayoun, Abdul Deen-Conteh, Paulo Ferreira, Hilario, Florent Malouda, Archange Nkumu, and Ross Turnbull.
  12. Jesus Navas [Sevilla - Manchester City] £14.9m
  13. Andy Carroll [Liverpool - West Ham] £15m (reported)
  14. Iago Aspas [Celta Vigo - Liverpool] £7m
  15. Luis Alberto [Sevilla - Liverpool] £6.8m (reported)
  16. Thibaut Courtois [Chelsea - Atletico Madrid] Loan
  17. Chelsea have completed the signing of German international Andre Schurrle from Bayer Leverkusen for £18million. The 22-year-old winger has signed a five-year-deal and will wear the No 14 shirt at Stamford Bridge.
  18. Liverpool have completed their fourth signing of the summer after the club announced Simon Mignolet has joined the Reds for £9million. The former Sunderland goalkeeper has been a long-term target for manager Brendan Rodgers, who could be set to lose current No 1 Pepe Reina this summer.
  19. Carlos Tevez has completed his £10million move from Manchester City to Juventus
  20. Real Madrid have reached an agreement with Malaga to sign Isco on a five-year deal, for a reported fee of £23m.
  21. JOSE MOURINHO has swooped for Dutch starlet Marco van Ginkel. Chelsea confirmed this morning that a fee, believed to be around £8million, has been agreed with Vitesse Arnhem for the highly-rated midfielder.
  22. Brazil midfielder Paulinho has joined Tottenham from Corinthians for a fee of just under £17m
  23. Francis Coquelin [Arsenal - Freiburg] Loan
  24. Johan Djourou [Arsenal - Hamburg] Loan
  25. Nicolas Anelka [Juventus - West Brom] Free
  26. Chelsea have signed Mark Schwarzer, after the 40-year-old Australian keeper's contract at London neighbours Fulham expired.
  27. Roque Santa Cruz [Manchester City - Malaga] Free
  28. Victor Wanyama [Celtic - Southampton] £12.5m
  29. Bayern Munich have agreed a deal to sign rumoured Manchester United target Thiago Alcantara from Barcelona for £21.6m.
  30. Edinson Cavani has joined Paris St-Germain from Napoli for £55m.
  31. Steven Caulker [Tottenham - Cardiff] £8m
  32. Gonzalo Higuain [Real Madrid - Napoli] £34.5m
  33. Nacer Chadli [Twente - Tottenham] £7m (reported)
  34. Tottenham Hotspur have completed the £26m club-record signing of striker Roberto Soldado from Valencia.
  35. Clint Dempsey [Tottenham - Seattle Sounders] £6m (reported)
  36. Adel Taarabt [Queens Park Rangers - Fulham] Loan
  37. Gervinho [Arsenal - Roma] £8m
  38. Marouane Chamakh [Arsenal - Crystal Palace] Undisclosed
  39. Stewart Downing [Liverpool - West Ham] £5m
 
Msimu huu ujao utakuwa wa makocha wengi kuhama/kustaafu au kutimuliwa

England-Ferguson anastaafu,Mancini na Benitez wanaondoka,Moyes anamrithi Ferguson
Italy-Walter Mazani amejiuzulu Napoli ,Stramachioni na Allegri hawa wote huenda wakatimuliwa na timu za Milan
Spain-Mourinho ameshafungasha huenda akarudi darajani,Pelegrini nae huenda akaja kumrithi Mancini
Germany & Italy-Pep anatua Bayern na tayari Anceloti ameomba kuhama PSG ili aende Real Madrid kumrithi Mourinho
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Thanks for this idea mkuu!! Almanusura msimu huu THE BLUES tutoke kapa,it was one of the most difficult season ever been experienced at the bridge since Abramovich bought a team.

Kuna nyepesi nimesikia Falcao huenda akatua ETIHAD na wengine wanasema MONACO hivi so far kuna habari za kuhakika juu ya hili?
 
Thanks for this idea mkuu!! Almanusura msimu huu THE BLUES tutoke kapa,it was one of the most difficult season ever been experienced at the bridge since Abramovich bought a team.

Kuna nyepesi nimesikia Falcao huenda akatua ETIHAD na wengine wanasema MONACO hivi so far kuna habari za kuhakika juu ya hili?

I think Falcao anaenda Man City ku-replace Tavez. Chelsea wameachana nae na kujikita zaidi kwa Andre Schurrle.

Sababu inasemekana kuwa Falcao ana umri mkubwa (27) na kumnunua kwa £54m siyo investment nzuri in future.

Chelsea wanaona Andre Schurrle mwenye miaka 22 is better investment.
 
wadadisi wanasema kikosi cha man utd mwakani kiwe hivi

1- De Gea
2-Raphael
3-Leighton Baines
4-Jones
5-Rio Ferdinand
5-Carrick
7-Zaha
8-Kagawa
9-Van Persie
10-Rooney
11-Bale/C7

Toa na ww ushauri wako
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kolo Toure wa Manchester City anakwenda Liverpool kuziba pengo la Jamie Carragher anayestaafu kwa uzee.Usishangae sana Jamie ana miaka 35 katika maisha ya soka tunamhesabu tayari ni mzee.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ngassa tayari kaweka dole gumba Yanga FC.

AU huu uzi ni kwa ajiri ya transfer za ulaya tu?

Mbona anaendelea kushuka tuu?

Tokea huku kwenye video mpaka Yanga ni kuanguka.

 
Last edited by a moderator:

Huyu si Fergie alimnunua hata kabla hajastaafu?

Dogo mzuri sana.

11-Bale/C7

Kama bado Fergie angekuwepo labda angemnunua mmoja.

Lakini kutofanikiwa Spurs kungia Champions League kunamweka Bale katika wakati mgumu.
 
John cena anatua arseal kocha wa viungo wachezaji wako nyoronyoro sana

Itakuwa poa sana ikizingatiwa jamaa ni Tottenham dam dam: Spurs call in the big guns | The Sun |Sport|Wrestling


cena6_666x450_423248a.jpg
 
Abajalo ya sinza tupo katika hatua za mwisho mwisho kumsajiri Mohamed Kalubandike kutoka Manchester United ya Newala.
 
eti Kolo Toure anaenda Liverpool..nimeona kwenye website..hawa liverpool wananiboa, kolo toure kashaisha!!
 
Back
Top Bottom