Football Transfer Centre 2013: Transfer News and Rumours

Football Transfer Centre 2013: Transfer News and Rumours

Rafa ataweza kwenda Stoke City kweli?

Kuondoka kwa Tony Paulis, sioni Stoke wakiendelea kuwepo PL misimu michache ijayo.

Wata struggle sana na kushuka daraja kama ilivyokuwa Bolton baada ya Big Sam kuondoka.

Ni kweli mkuu ukiangalia timu ya stoke ina wachezaji wa kawaida sana lakini ilikuwa inatoa changamoto kubwa kwa timu za epl kwa sababu ya style ya Paulis ya kutumia nguvu sana. akija kocha mwingine sidhani kama ataweza kuendeleza huo mfumo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Begovic anakaribia kutua Liverpool, na wakimpata huyu as it's expected, watakua wamelamba Dume kwa sababu jamaa ni bonge la kipa
 
Begovic anakaribia kutua Liverpool, na wakimpata huyu as it's expected, watakua wamelamba Dume kwa sababu jamaa ni bonge la kipa

Vipi Reina anakitoa?
 
Reina kimeo Mkuu, cjui kama anasepa ila kama ana akili asepe tu coz hawezi kushindana na Begovic

Sidhani kama ni mbaya sana sema tuu amekosa motivation kwenye ile timu.

Kama mtu unaangalia far zaidi lakini wenzako wanaangalia kufanya waliyofanya mwaka jana unakosa motivation.

Reina wants to go big, Liverpool ndo kwaaaanza wanatengeza timu. By the time watakuwa na timu ya kushinda, atakuwa kazeeka.

Hata Van Persie aliliona hilo. Reina wants to go back to Barca alipokuwa mwanzo.
 
May be, lakini namuona kadrop sana, hata hao Barca kuna time walikua wanamtaka sana lakini sio sasa, wanamtaka sana Da Gea.
Kwenye list ya magolikipa wazuri wa EPL Reina sidhani kama yupo for now, hana kiwango kama hawa jamaa
P.Cech, M.Vorm, H.Lloris, Joe Hart, Da Gea, J.Ruddy, T.Krul, T.Howard, Asmir Begovic, Julio Cesar
 
May be, lakini namuona kadrop sana, ....

In fact siyo yeye pekee aliyedrop.

Kiwango cha timu nzima ya Liverpool kilikuwa chini sana.

Kwa mtindo huu sidhani hata kama wataqualify for champions league league next reasons.

Itakuwa ngumu sana. Probably, wajikite kwenye kutengeneza timu for few years.

But for Reina, I think he deserves a better team ambayo ina ambitions zaidi za kum-motivate kurudia kwenye kiwango chake cha mwanzo.

Halafu nakumbuka jamaa hakucheza sana mwaka huu kwa sababu ya injuries?
 
Na next season ndio itakua kipimo kizuri cha ubora wa Rodgers manake alipata credits sana akiwa Swansea ingawa aliyeifanya Swansea iwe kama ilivyo na icheze vile ni Roberto Martinez wa Wigan na ndio alikua chaguo la kwanza la Liverpool baada ya kumtimua King Kenny, alivyowakatalia ndio wakamfuata Rodgers!
 
But nadhani apewe muda zaidi. Ana potential ya kuifanya Liverpool kuwa kana ilivyokuwa zamani.

Hata kama hawatashinda chochoce msimu ijao, provided that he is building a team, then sidhani kama itakuwa mbaya sana.

It takes a while to build a winning team.
 
Akipata wachezaji wazuri wanaofit kwenye philosophy yake anaweza akabishana kidogo msimu ujao lakini sio kina Kolo Toure
 
Any possible new signings for arsenal? Mkuu EMT & Mourinho
 
Last edited by a moderator:
Akipata wachezaji wazuri wanaofit kwenye philosophy yake anaweza akabishana kidogo msimu ujao lakini sio kina Kolo Toure
Naamini kama Liverpool watampa support na muda mwingi Rodgers ndio kocha anayewafaa,Caragher ameondoka so wanahitaji sana beki mzoefu but sidhani kama Kolo Toure atawafaa.Rodgers amesajili wacheaji kama Sturridge na Coutinho ambo wameonyesha viwango vizuri pia ameweza kuwafufua wachezaji kama Downing na Henderson ambao walikuwa magarasa
 
Mkuu kwani Arsenal huwa wanasaini wachezaji wapya?

Ungeniuliza any possible new sales from Arsenal ningekuelewa. lol
EMT
Nadhani wanafanya japo sio big names kama walivyo MU, MC, CFC au RM. Last season si walimsaini Podolski, Carzola na Giroud!
Vipi nani wanatarajia kuuzwa msimu huu?
 
Last edited by a moderator:
Reports: Andrea Stramaccioni out
May 24, 2013

MILAN -- Inter Milan has reportedly fired coach Andrea

Stramaccioni after a highly disappointing ninth-place finish in Serie A.

The Gazzetta dello Sport and the ANSA news agency say Stramaccioni was informed of the decision, although Inter has not announced the move yet.

Walter Mazzarri, who stepped down as Napoli manager lastweekend, was already being tapped as the likely replacement.

Monaco sign Moutinho, Rodriguez
May 24, 2013

Monaco have announced on their official website that they have reached an agreement with Porto for the signings of Joao Moutinho and James Rodriguez.

Moutinho, 26, and Rodriguez, 21, have both signed five-year contracts with the affluent French club in a deal reported to be worth €70 million, who will play in Ligue 1 next season following their promotion from Ligue 2.

Earlier this week, Portugal international Moutinho claimed he was happy to stay at Porto, but accepted his fate was up to the club he joined from Sporting Lisbon in 2010.

The pair were both part of the Porto side which claimed a Treble of league, cup and Europa League in 2011-12, while the following season Colombia international Rodriguez's hat-trick helped Porto retain the Taca de Portugal last term with a 6-2 final victory over Vitoria de Guimaraes.
 
Any possible new signings for arsenal? Mkuu EMT & Mourinho

Mkuu ukiacha habari za kumuuza Thomas Vermaelen, sijasikia Arsenal wanakaribia kumsajili mchezaji gani, wachezaji wote wanaohusishwa na Arsenal ndio walewale ambao Club nyingine zinawataka kama Benteke, Ashley Williams
 
Last edited by a moderator:
TRANSFER GOSSIP

Arsenal captain Thomas Vermaelen, 27, has emerged as a surprise target for Italian side Napoli. Thomas Vermaelen has won 42 caps for Belgium

French club Monaco are considering a £26m move for Manchester City's 27-year-old captain Vincent Kompany.

Christian Benteke insists that he - and not Aston Villa - will decide his future, with Arsenal, Chelsea and Manchester City all tracking the Belgium striker, 22.

Paris Saint-Germain striker Zlatan Ibrahimovic, 31, could be set for a summer move to Manchester City or Chelsea.

Chelsea are weighing up a move for Galatasaray's 27-year-old striker Burak Yilmaz, who has scored 32 goals this season.

Stoke's Bosnia goalkeeper Asmir Begovic, 25, is set for a £15m move to Liverpool.

Graham has not scored since joining Sunderland in January
Stoke are lining up FC Twente's Dutch goalkeeper Timo Plattel, 19, as competition for Jack Butland, 20, ahead of Begovic's anticipated departure from the Britannia Stadium.

Argentina striker Sergio Aguero, 24, is staying at Manchester City this summer - despite efforts from Real Madrid to lure him to Spain.

Cardiff want to sign Danny Graham in a £4m deal just four months after the striker, 27, joined Sunderland from Swansea.

Liverpool manager Brendan Rodgers is considering a cut-price move for 25-year-old Celta Vigo forward Iago Aspas.

Monaco have signed Porto midfielders Joao Moutinho, 26 and James Rodriguez, 21, for a combined fee of £60m.

Arsenal target Serge Aurier, 20, says he will not leave Toulouse "unless something crazy happens". Several French clubs are also believed to be interested in the Ivorian defender.

AC Milan supporters' group Curva Sud strongly oppose the rumoured appointment of former Netherlands international Clarence Seedorf, 37, as manager, on account of his lack of experience.

Inter Milan president Massimo Moratti has denied the club has made contact with former Napoli manager Walter Mazzarri.

Napoli have made an approach for Tottenham manager Andre Villas-Boas as they search for a replacement for Walter Mazzarri.

Manchester City's manager-in-waiting Manuel Pellegrini, 59, has been set a target of five trophies in as many years - including the Champions League.

Fulham boss Martin Jol could join former club Hamburg as general manager after the German side sacked manager Frank Arnesen.

Midfielder Marouane Fellaini, 25, has told how his furious Everton manager David Moyes gave all the other players and staff the day off and had him in for a one-on-one training session after he headbutted Stoke's Ryan Shawcross in December.

Midfielder Kevin Nolan, 30, has urged West Ham to bring in some big-name signings during the summer to give them a chance of challenging for a European spot.

Tickets for the Champions League final between Borussia Dortmund and Bayern Munich at Wembley are selling for up to £14,000 each on the black market.

Liverpool manager Brendan Rodgers, 40, says he is only interested in bringing "winners" to Anfield this summer.
 
Back
Top Bottom