Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,310
- 18,492
Leverkusen na Real Madrid, Xabi Alonso, kwa ajili ya uwezekano wa kumteua msimu huu wa kiangazi, huku uongozi wa klabu hiyo ukitarajiwa kufanya maamuzi magumu kuhusu mustakabali wa Arne Slot ifikapo mwisho wa msimu wa 2025/26 baada ya kuwa na msimu usioridhisha licha ya kuwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).
Inadaiwa kuwa kutofuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya kunaweza kuhatarisha kibarua chake, huku ripoti zikieleza kuwa Alonso aliwahi kukataa ofa ya kuinoa timu hiyo katikati ya msimu huu kulingana na jarida la BILD, lakini yuko tayari kujiunga na Liverpool msimu wa kiangazi iwapo atapewa ofa rasmi yenye masharti yanayokidhi matarajio yake.
Hii si mara ya kwanza kuhusishwa na Liverpool kwani alikataa ofa yao miaka miwili iliyopita baada ya kufanya vizuri na Leverkusen, hatua iliyopelekea kuteuliwa kwa Slot kuchukua mikoba ya Jurgen Klopp.
Alonso, ambaye anachukuliwa kuwa miongoni mwa makocha bora duniani kwa sasa licha ya kuondoka Real Madrid, anasifika kwa rekodi yake ya kushinda mataji mawili bila kupoteza mchezo akiwa na Leverkusen msimu wa 2023/24, huku pia akiwa na historia nzuri kama mchezaji wa zamani wa Liverpool kati ya 2004 na 2009, jambo linalompa faida kubwa mbele ya mashabiki wa Anfield.
Wakati huo huo, licha ya changamoto za msimu huu, Slot bado ana sifa ya kuipa Liverpool ubingwa wa ligi msimu uliopita na endapo ataachishwa kazi, haitarajiwi kukaa muda mrefu bila kupata timu mpya kutokana na rekodi yake, huku ripoti zikimnukuu Alonso akieleza kuwa yuko tayari kujiunga na Liverpool iwapo ofa madhubuti itawasilishwa na masharti yake kutimizwa mapema.
======================
Liverpool rejection in Xabi Alonso pursuit revealed as parties maintain 'close contact': report
Liverpool are said to have maintained close contact with Spanish head coach Xabi Alonso ahead of a possible appointment this summer
Liverpool will make a decision on Arne Slot's future by the end of the 2025/26 season, after what has been a disappointing campaign for the reigning Premier League champions.
The Reds are far from guaranteed Champions League football next term, which would appear to be the bare minimum for Slot to keep his job, according to reports.
As per BILD in Germany, former Bayer Leverkusen and Real Madrid boss Xabi Alonso is in the frame to replace Slot with the two parties having maintained 'close contact' since Liverpool's initial approach in 2024.
Alonso represented the Anfield club between 2004 and 2009 before joining LaLiga giants Real, followed by a stint with Bayern Munich.
Shortly after retiring from the playing side in 2017, Alonso returned to his Basque Country homeland where he schooled Real Sociedad's 'B' side before eventually earning the top coaching job at Leverkusen. It was with the German club he won an unbeaten league-and-cup double in 2023/24.
Now, after a short stint with Real Madrid, Alonso is considered one of the top coaches in world football and remains sought-after by Liverpool bosses, despite his recent sacking at Santiago Bernabeu.