Kwanza niwape pongezi kwa wale ambao timu zao hazikutoka kapa msimu huu na pole kwa wale ambao wameendelea kuumia hasa kule anga za Emirates na Anfield. Wenyewe wanajijua. Hata hivyo, pole za ziada ziwaendee wale woooote wa Nou Camp. Bao saba siyo mchezo ati!
Basi wakati nikimalizia kusort out safari yangu ya Wembley kwa ajili ya Champions League Final, nimeona nianzishe hii thread mahususi kwa ajili ya latest transfer news na rumours kuhusu usajili wa wachezaji hasa kwenye ligi kuu za Ulaya.
Hapa ndiyo tutakuwa tunapashana kuhusu nani anahama? Nani anabaki? Nani anakopeshwa? Nani hataki kuuzwa au kukopeshwa? Nani amekataa kuuzwa au kukopeshwa. Nani ni free transfer? By "Nani" sina maana ya Nani wa Man Utd.
So far top players ambao watakuwa kwenye headlines sana ni Wayne Rooney, Falcao, Tavez, Naymar, Andre Schurrle, Bale, David Villa, Benteke, Victor Wanyama, Nani, Fellaini, Cavani, Lewandowski, Marquinhos, na wengine wengi.
Msimu ujao sitegemei kuendelea kusikia yale malalamiko yasiyoluwa na tija eti sijui Ferguson anaogopwa na marefa, sijui eti David Gill anawanunua marefa. Msimu ujao mshindwe wenyewe tuu. Mfanye shopping ya kutoka msije mkalala na njaa tena.
Kwa kuanzia tuu Bayer Leverkusen forward Andre Schurrle remains hopeful of leaving the Bundesliga club in the summer, with Chelsea firm favourites to land him. The 22-year-old, who has scored 14 times for the club this season, is expected to complete the formalities of a big-money switch to Stamford Bridge in the next few weeks.
However, the deal could be dependent on Kevin De Bruyne heading the other way, with the young Belgian now understood to prefer a move to Champions League finalists Borussia Dortmund:
Transfer news: Andre Schurrle hopes Bayer Leverkusen keep their promises | Sky Sports