Football Transfer Centre 2013: Transfer News and Rumours

Football Transfer Centre 2013: Transfer News and Rumours

Mkuu Kashengo kamaliza kila kitu hapo juu, cha kuongeza tu ni kuwa pamoja na vikombe kama the ultimate prize, kila club ina falsafa yake. Ni kweli kuwa Arsenal wana ukame wa vikombe lakini sio kwa sababu ya Wenger au Uongozi.

Take it or live it, mpira ni biashara kama biashara nyingine na hakuna mtu anataka kufanya biashara kwa hasara, na kama ni uongozi basi uongozi wa Arsenal ndio bora zaidi kwa EPL, kwa sababu kila mwisho wa mwaka wao vitabu vinabalance na faida juu, wanalipa mishahara kwa pesa yao, wananunua wachezaji kwa pesa yao.
Ndio maana Wenger ana uhakika na kibarua chake hata kama hashindi vikombe..

Nishawaambia wanazi wa Arsenal wanaokuja na hoja kama yako kwamba, ni heri timu ibadili jina na kuwa Arsenal Financial Company or something like that.

Lengo kuu la klabu yoyote ya mpira wa miguu ni kushindana ili kupata ubingwa na makombe. Hiyo ya kupata faida ni secondary; haiwezi kuwa sifa ya kujivunia kwa klabu ya soka hata siku moja.

Kitu cha mwisho, kwa wachezaji wa pauni milioni 5 hadi 10+, sioni kwanini timu isibalance makabati!!!
 
Hivi kwanini Arsenal ilianza policy za vijana,strict wage policy,high ticket fees,ikawa vurnelable ku retain wachezaji immediately baada ya 2005? Na jiulize Kwanini Vice chairman David Dein aling'atuka 2007? Na mwisho kwanini Ulisher Usmanov hawamtaki aingie kwenye Bodi...ukinipa haya majibu kwa ufasaha wake utakua umejua kwanini walitoka kuwa INVICIBLE mpaka kuwa trophyless kwa mda wote mpaka leo
 
CHELSEA have agreed a fee to sign Bayer Leverkusen winger Andre Schurrle, according to the Bundesliga club.

I read that Chelsea prefers him to Falcao.
 
.... kwa sababu kila mwisho wa mwaka wao vitabu vinabalance na faida juu, wanalipa mishahara kwa pesa yao, wananunua wachezaji kwa pesa yao.

But the fans won't be happy without trophies.

Unaweza kusema fans wa Arsenal wako happy kwa klabu yao kuendeshwa kwa faida lakini hawashindi trophies?

My view is that the more trophies you win, the more money you get.

Inawezekana Arsenal are making money, but they could make more if they were winning trophies.

Siku hizi the biggest opponent wa Arsenal ni Spurs na siyo Man Utd kama ilivyokuwa zamani.

Hakuna tena upinzani kati ya Man Utd na Arsenal ispokuwa kwa mashabiki wa Bongo tuu.
 
Hivi kwanini Arsenal ilianza policy za vijana,strict wage policy,high ticket fees,ikawa vurnelable ku retain wachezaji immediately baada ya 2005? Na jiulize Kwanini Vice chairman David Dein aling'atuka 2007? Na mwisho kwanini Ulisher Usmanov hawamtaki aingie kwenye Bodi...ukinipa haya majibu kwa ufasaha wake utakua umejua kwanini walitoka kuwa INVICIBLE mpaka kuwa trophyless kwa mda wote mpaka leo

Kuhusiana na sababu za tickets kuwa bei mbaya, Wenger alishasema "ticket sales are Arsenal's main income and vital to playing player wages. The cost to Arsenal fans does concern the Arsenal manager, but Wenger says he is less concerned about away fans who only have to pay the price once a year.": Arsène Wenger defends high ticket prices at Arsenal

Personally sifurahishwi na jinsi Arsenal wanavyo-charge tickets zao kwa away fans. Wakicheza na timu kubwa kama Man Utd, Liverpool na Chelsea na Champions League teams wana-charge zaidi kuliko wanapocheza na timu ndogo.

Why a Man City fan should pay more (£62 the cheapest ticket, bado hujaweka gharama za usafiri) to watch his/her team playing against Arsenal at Emirates? What is so special with Arsenal? Halafu pale Emirates wanauza vinywaji na vyakula bei ya juu kaa nini vile.

Bora basi wangetumia pesa wanazopata kwenye tiketi za bei mbaya kuboresha timu yao. Tiketi bei mbaya kaa nini halafu Wenger anadai he needs to be frugal in the transfer market wakati mapato ya ziada yanatunisha mifuko ya some oligarchies.

You charge me £62 just to watch Walchot anakimbiza mpira kama mwizi vile? I will pay £100 to watch Messi lakini siyo Arsenal kids.

Nasikia next season mpango ni kwamba kama Arsenal wataendelea kuwa-charge away fans bei ya juu watagoma kuzinunua hizo tickets, halafu sehemu ya away fans ibaki empty.

Arsenal needs to win trophies ku-maxmise income na siyo kutegemea mapato ya mlango kama timu za Bongo.
 
Hujataja inside reasons za kupandisha bei ya ticket
1. Arsene alipokuja 1996 ndio aliitransform Arsenal ikaingia ktk top 5 vilabu tajiri duniani kwa kuchukua makombe kwa bajeti finyu na kuspot talents hasa kwao ufaransa

2.Arsene hakuupenda uwanja wa mashabiki 40,000 wa highbury kwa klabu kubwa kama Arsenal akapropose wajenge uwanja mpya wa kubeba watu 60,000 jirani ya highbury

3.Arsenal Fc walikopa inasemekana long term loan ya £360 milion + huge interest rates per annum kwa kulilipa mda mrefu ili wawe wajenge uwanja wa kisasa

4.Ishu ikaja wanalipaje deni kubwa kama hilo na wabaki competitive? Chairman peter hill-wood,CEO (late)Danny Fizman,David Dein,lady Nina Bracewell smith hawa ndo walikuwa majority shareholders wakaona wasacrifice "pitch" succes ili deni lilipwe kwa kuwa na bajeti finyu ya wages+transfers,na vyanzo asili vya klabu kama kuuza tickets,jezi,sponsors n.k ndo maana waliwaondoa top players wote ili kuendana na sera mpya ya mishahara isiyozidi £120,000 kwa wiki

5. Mwaka 2007 David dein baada ya CL final dhidi ya Barca alitoa proposal klabu iuzwe kupunguza mzigo wa deni na iuzwe kwa mtu ambitious akamleta Ulisher Usmanov ainunue wengine wakaona wamuuzie Stan Kroenke ambae alikuwa na vision kama yao "prudent financial model" na deni lisiongezeke libaki la uwanja tu, Dein akauza 26% ya hisa zake akasepa na wengine wakampa kroenke 67% ya hisa, zinazobaki wakapewa mashabiki AST(arsenal supporters trust)

7. Pamoja na kujua kuwa hawakuwa na uwezo wa kununua au kushindania wachezaji nyota sokoni au kuwang'ang'ania nyota walihamia kwenye Vijana na CL spot ikawa minimum target kwa muda wote wa transition hii

8. Modern football siku hizi ukiwa na top players wenye nazo wanawa unsettle kwa kuwatajia x3 ya wages unazowalipa na huwezi kuwalipa hizo unafanyeje? Hili hata BVB litawakuta hawana pa kulikwepea labda mchezaji akatae mwenyewe! HLEB,NASRI,RVP,FLAMINI,CLICHY wengi walisepa kwa hili

9. Baada ya game ya mwisho msimu huu CEO ivan Gazidis na Wenger walikaa kikao wakaadhimia hawataruhusu kuondoka top player kwani Deni ni almost over na wenger na Fergie huamini kwenye stability ya kikosi ndo mafanikio yanapoanzia tumeona kwa BVB wao wametumia £26 mil kama bajeti ya mishahara kwa wachezaji wote msimu huu ila tumeona walivyokuwa hatari kwa misimu 3 mfululizo

10. I cannot blame wenger on this ila wasiojua watamlaumu kwani ndo msingi wa mafanikio yanayopitia uchungu kwanza "no pain no gain"

11. USMANOV ni opportunist anajua kinachoendelea kina mwisho hapohapo anajua fans wako desperate na mafanikio anajikomba kwao kupitia media awe HERO ili awekeze Arsenal kwani inafaida pale UK baada ya Manure na ndo maana ni majority shareholder ila hayumo kwenye bodi vinginevyo angewavuluga sana wamemwekea Block apate dividends huko huko nje ya pazia
 
Arsenal vs Man utd is like Mtibwa vs Man utd saivi, yani hawana upinzani wowote ule.

Kwani uwanja wa Emirates wamekopa Bank ili kujenga ama wamekopeshwa na Emirates (fly Emirates)? Mana uwanja umebeba jina la kampuni.

Kutengeneza faida katika club na kupunguza deni sio kusacrifice that much! Man utd wana madeals makubwa kuliko Arsenal, big sponsors na wanapata big money, na huku wana deni lililopachikwa na kina Glazer, those ----ing guys should sell OLD TRAFFORD to MUTRUST.

Kwa kweli kubana matumizi na kutojali mafanikio ya club ni kujiangusha kifedha, kama alivosema mdau mmoja hapo, nani atalipa £60 aende akamuone walcott akipiga mbio kama kobe? A time will come, fans wataona hakuna sababu ya kulipia tickets at high price kwenda kuona Arsenal a club with no plans to win a title, am sure they got no plans to win the game also, they just want to play 90 minutes and get done.

Pamoja na deni la Man utd which am sure ni kubwa kuliko lile la Arsenal, United is the most expensive sport Brand, the most expensive football club to buy, according to forbes, and still in top 3 richest clubs, do you know why? Because they are competitive and not participators!!!! You get that? Now tell your Arsenal Wenger you need trophies if you care bout money! A single player can become a profitable Asset, atleast bring Beckham and fans will get to buy his shirts, and make money for your club.
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Emirates waliwakopesha Arsenal? My foot...unaijua stadium naming rights? ETIHAD Stadium,BRITANIA Stadium, JJB stadium,MAJAESTI stadium...etc

Yah wao wanataka wawe Debt free club alafu ujue transition imeisha they wont sell their best players no more, alafu wameivunja wage structure wakimtaka world class player wanaweza hata kumpa £200,000 per week kwa sasa
 
  • Thanks
Reactions: EMT
MANGALA TO BE EL OF A BUY
By MARK IRWIN

JOSE MOURINHO wants Porto centre-half Eliaquim Mangala as his first Chelsea buy — but not at the £30million asking price.

The Special One targeted the 22-year-old after signing a four-year contract on Tuesday to become Chelsea boss.

And he reckons he can land the French ace despite the player’s concerns about regular football.

But Chelsea will not match the £30m buy-out clause in his contract and know from experience that the Portuguese champions drive a hard bargain.

Asked about the Blues’ interest, Mangala said yesterday: “It’s flattering because Chelsea are a great club and Mourinho is a great coach.

“I intended to stay in Porto but you never know what will happen in football, especially when big clubs are involved.

“At Porto I play every week and I am involved in the title fight and the Champions League. And that is important to me.”

SunSport revealed last Saturday that Mourinho was desperate for Luka Modric to join him again.

Real Madrid paid Spurs £30m for the Croatian last year and a similar offer could see the 27-year-old back in England.

Mourinho sees Mangala and Modric as key to his summer squad rebuilding.

Mangala cost Porto just £5.5m from Standard Liege two years ago.

News of Mourinho’s interest in Mangala confirms suggestions that the new Blues boss is not convinced by David Luiz as a central defender.

The Brazilian is a £35m target for Barcelona. And Mourinho may cash in to help fund his overhaul.

One deal the Blues also hope to close is the capture of German winger Andre Schurrle, 22, from Bayer Leverkusen in a reported £20m deal.

Belgium ace Kevin De Bruyne will move in the opposite direction on loan.
 
But the fans won't be happy without trophies.

Unaweza kusema fans wa Arsenal wako happy kwa klabu yao kuendeshwa kwa faida lakini hawashindi trophies?

My view is that the more trophies you win, the more money you get.

Inawezekana Arsenal are making money, but they could make more if they were winning trophies.

Siku hizi the biggest opponent wa Arsenal ni Spurs na siyo Man Utd kama ilivyokuwa zamani.

Hakuna tena upinzani kati ya Man Utd na Arsenal ispokuwa kwa mashabiki wa Bongo tuu.

Nakubaliana na wewe Mkuu kwa kiasi kikubwa tu, lakini pia natambua kuwa pesa ndio inaua modern football, iwe pesa ya wamiliki wa clubs au pesa za kamari za kubet, zote zinaharibu the beautiful game.

Napenda sana namna Wajerumani wanavyoendesha ligi na clubs zao, club inaruhusiwa kuspend kile tu inachozalisha na msisitizo mkubwa umewekwa kwenye ku-nurture young talents.

Sasa pamoja na midajala inayoendelea kuhusiana na financial fair play kwenye soccer, hivi itokee siku UEFA wanapitisha sheria kama za Ujerumani, you wonder what will happen kwa clubs kubwa kama R.Madrid, Barcelona, Chelsea, Man Utd, Man Cty et al.

Ndio maana pamoja na ukosefu wa vikombe kwa muda mrefu, naamini Arsenal wako kwenye right track financially, na from now wanaweza kurudisha makali yao kugombea vikombe kwa sababu wameshaweka a good foundation kusupport football projects na falsafa yao kama Club.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hujataja inside reasons za kupandisha bei ya ticket

Mie nime-refer alichosema Wenger. Wenger kasema kuwa siyo vibaya kuwa-charge high away fans wanaokuja Emirates mara moja kwa mwaka.

Yaani kuja Emirates mara moja kwa mwaka ndiyo justification ya kucharge watu being mbaya hivyo?

Mashabiki tena siyo wa Arsenal hawana haja ya kujua inside reasons. Is none of their business.
 
Pesa inaua modern modern football ikiwemo pia kuwauzia fans tickets kwa bei mbaya.

Kama tickets zitaendelea kupanda kila mara, mashabi wataanza kutokwenda uwanjani.

Of course, nakubaliana na hoja kuwa football clubs should not spend beyond their means.

Hata hivyo, wasiwatoze wapenzi wa mpira too much ni ku balance vitabu vyao.
 
Mie nime-refer alichosema Wenger. Wenger kasema kuwa siyo vibaya kuwa-charge high away fans wanaokuja Emirates mara moja kwa mwaka.

Yaani kuja Emirates mara moja kwa mwaka ndiyo justification ya kucharge watu being mbaya hivyo?

Mashabiki tena siyo wa Arsenal hawana haja ya kujua inside reasons. Is none of their business.

If fans are not concerned with why they are being charged high on tickets, they are not concerned with beatiful projects to make their clubs healthier thats are definitely called Glory hunters and not true fans who go through and through with the club on good and bad times! Thats why emirates is full every match tunalalamika sie huku ma glory hunters

Arsene analalamikiwa kwa sasa ila atakumbukwa baadae mno tuombe uzima True fans wanajua sio kina Piers Morgan na maglory hunters wengine..!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
TRANSFER GOSSIP

Real Madrid are prepared to offer Luis Suarez a £140,000-a-week, four-year contract and are confident they will be able to sign the Liverpool forward, 27, for £20m plus Spanish striker Jose Callejon, 26. Suarez has scored 55 goals since joining Liverpool in January 2011.
Full story: Daily Mirror
The Spanish club have already agreed terms on a four-year deal with Suarez but accept they may have to pay as much as £40m to sign the Uruguay international.
Full story: Marca (in Spanish)

David Bentley, William Gallas, Emmanuel Adebayor, Benoit Assou-Ekotto, Jake Livermore, Tom Huddlestone and Heurelho Gomes could all leave Tottenham this summer as the club look to cut their wage bill to fund a new deal for star player Gareth Bale, 23, who is wanted by Real Madrid.
Full story: Daily Mail
But Tottenham boss Andre Villas-Boas will make a fresh plea for chairman Daniel Levy to give Bale a new contract.
Full story: the Sun

Carlos Tevez will meet Manchester City bosses next week to discover whether he has a future at the Etihad Stadium. The Argentina striker, 29, has a year remaining on his contract and has been linked with Monaco and Juventus.
Full story: The Times

Incoming Chelsea boss Jose Mourinho wants to make Porto central defender Eliaquim Mangala, 22, the first signing of his second spell at Stamford Bridge - but not at the £30m asking price.
Full story: the Sun
Mourinho, meanwhile, wants to sell Brazilian defender David Luiz, 26, to boost his transfer budget.
Full story: the Times

Spain midfielder Cesc Fabregas, 26, will be staying at Barcelona this summer despite reported interest from Manchester United and Manchester City.
Full story: Sky Sports
Alternatively, Fabregas will make a decision on his future next week and wants to return to former club Arsenal, who he left for the Nou Camp in 2011.
Full story: Daily Mirror

Bayern Munich's Germany striker Mario Gomez, 27, is a target for Italian clubs Napoli and Fiorentina.
Full story: Kicker (in German)

Bayern Munich's Ukrainian midfielder Anatoliy Tymoshchuk, 34, says there is a "99% chance" that outgoing manager Jupp Heynckes will take over at Real Madrid if Carlo Ancelotti stays at Paris St-Germain.
Full story: AS (Spanish)

Real Madrid president Florentino Perez says the club has no plans to sell forward Cristiano Ronaldo, 28, even for €1bn (around £856m).

Napoli chairman Aurelio De Laurentiis has offered striker Edinson Cavani, 26, a new contract of €7m (around £6m) per season to stop him from leaving for Chelsea.

New Napoli coach Rafael Benitez wants to sign Liverpool defenders Martin Skrtel and Daniel Agger, both 28, plus midfielder Lucas Leiva, 26, along with Barcelona star Javier Mascherano, 28.
Full story: insidefutbol.com

Borussia Dortmund striker Robert Lewandowski will remain with the club next season, according to coach Jurgen Klopp.
Full story: El Mundo (in Spanish)
 
If fans are not concerned with why they are being charged high on tickets, they are not concerned with beatiful projects to make their clubs healthier thats are definitely called Glory hunters and not true fans who go through and through with the club on good and bad times! Thats why emirates is full every match tunalalamika sie huku ma glory hunters

Arsene analalamikiwa kwa sasa ila atakumbukwa baadae mno tuombe uzima True fans wanajua sio kina Piers Morgan na maglory hunters wengine..!

Kumbuka wengi wanaolalamika siyo supporters wa Arsenal.

Wengi ni away fans wanaonda Emirates, pindi timu zao zinapocheza na Arsenal pale.

Sidhani kama ni fair kuwatoza zaidi away fans eti kwa sababu wanakuja Emirates mara moja tuu kwa wiki.

Pia aways fans are not concerned with "beautiful projects" being made at Arsenal.

It is none of their business and, thus, they should not pay more to help developing Arsenal projects.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu kwa kiasi kikubwa tu, lakini pia natambua kuwa pesa ndio inaua modern football, iwe pesa ya wamiliki wa clubs au pesa za kamari za kubet, zote zinaharibu the beautiful game.

Napenda sana namna Wajerumani wanavyoendesha ligi na clubs zao, club inaruhusiwa kuspend kile tu inachozalisha na msisitizo mkubwa umewekwa kwenye ku-nurture young talents.

Sasa pamoja na midajala inayoendelea kuhusiana na financial fair play kwenye soccer, hivi itokee siku UEFA wanapitisha sheria kama za Ujerumani, you wonder what will happen kwa clubs kubwa kama R.Madrid, Barcelona, Chelsea, Man Utd, Man Cty et al.

Ndio maana pamoja na ukosefu wa vikombe kwa muda mrefu, naamini Arsenal wako kwenye right track financially, na from now wanaweza kurudisha makali yao kugombea vikombe kwa sababu wameshaweka a good foundation kusupport football projects na falsafa yao kama Club.

What will happen to big clubs like Barca, Madrid and Man Utd? These teams generates allt of income to cover up their debts. FYI From english premier league, United are not in trouble at all concerning FFP, clubs in trouble in EPL are Man city and the club you gona coach now, Chelsea.
Labda hujui kwanini United pamoja na kuwa na deni hawajawa included and they are safe, the difference is, United uses the money generated from the club to run itself, na ukitizama United even runs the Owner's lives, mana wanachukua hela ya United wakilipa madeni ya Football team yao ya USA (bucaneers if am not wrong) pia wakilipa madeni yao ya kampuni zao mbali mbali kama AIG, hio ni United. Sasa Man city and chelsea, dont run independent, they depend on the owners, owners wanatoa hela mfukoni mwao na kununua wachezaji expensive, they abuse their richness, sasa ichi ndo kitu kinachopigwa vita na UEFA. So worry out about Man united, the FFP will come into effect the coming 2013/14 season, you have to worry bout Chelsea.
 
Emirates waliwakopesha Arsenal? My foot...unaijua stadium naming rights? ETIHAD Stadium,BRITANIA Stadium, JJB stadium,MAJAESTI stadium...etc

Yah wao wanataka wawe Debt free club alafu ujue transition imeisha they wont sell their best players no more, alafu wameivunja wage structure wakimtaka world class player wanaweza hata kumpa £200,000 per week kwa sasa

Well mkuu, it ddnt have to be your foot... I just asked a question wether its tru or not. Nlichosikia ni kuwa mabwana hawa Emirates wameingiliana mkataba wawajengee uwanja then utakuwa under their name kwa kipindi cha mida flani. If its not true, you js had to say.... Mi sijakubishia wala kukukatalia
 
What will happen to big clubs like Barca, Madrid and Man Utd? These teams generates allt of income to cover up their debts. FYI From english premier league, United are not in trouble at all concerning FFP, clubs in trouble in EPL are Man city and the club you gona coach now, Chelsea.
Labda hujui kwanini United pamoja na kuwa na deni hawajawa included and they are safe, the difference is, United uses the money generated from the club to run itself, na ukitizama United even runs the Owner's lives, mana wanachukua hela ya United wakilipa madeni ya Football team yao ya USA (bucaneers if am not wrong) pia wakilipa madeni yao ya kampuni zao mbali mbali kama AIG, hio ni United. Sasa Man city and chelsea, dont run independent, they depend on the owners, owners wanatoa hela mfukoni mwao na kununua wachezaji expensive, they abuse their richness, sasa ichi ndo kitu kinachopigwa vita na UEFA. So worry out about Man united, the FFP will come into effect the coming 2013/14 season, you have to worry bout Chelsea.

You are probably right kuhusiana na Man Utd ukicompare na hizo Club nyingine nilizozitaja.

Swali, kama Man Utd wanatumia pesa generated by the Club, kwa nini wanaingia kwenye madeni? Kwa nini wanahitaji wamiliki matajiri kama hao mlionao?
 
SUAREZ IN QUIT THREAT
Last updated: May 31 2013

LUIS SUAREZ has threatened to quit Liverpool — because he feels PERSECUTED.
In the last two years, the controversial striker has been found guility of RACISM and BITING while openly admitting to DIVING.

But he claims he is ready to walk out on the Anfield club who have loyally stood by him throughout his troubles.

Liverpool say they are oblivious to Suarez's feelings and that neither he nor his agent have contacted them about his future.

Real Madrid have been linked with a £40million move for Suarez with Paris Saint-Germain and Bayern Munich also believed to be interested.

However, the Uruguay ace, 26, insists his decision is not about making more cash.
Speaking at a Press conference in his home country, Suarez said: “My reason for leaving is not for the money. If it was the money I would have left already.

“My main reason is my family and my image — that is my priority now. It is a difficult moment for me.

“My coach and my colleagues know that they didn’t treat me well here.
“I don’t feel comfortable here anymore — they know it, so I think it is understandable that I leave.

“Firstly being persecuted by the paparazzi all the time. I couldn’t go to my garden or the supermarket, I couldn’t do anything.

“I know it’s normal being followed by the press but it was too much.

“All silly things that they said about me — all the pictures, all the taunts.

“They happened every day and nobody supported me.

“They talk about me being named as the best player in England but I knew it wasn’t going to happen.

“I knew because of the way they treated me. The straw that broke the camel’s back was my mistake, I accept it, my fault, but they went too far.”

Suarez was banned for eight matches in 2011 after he was found guilty of racist abuse against Manchester United’s Patrice Evra.

And he was hit with a 10-match suspension in April for biting Chelsea defender Branislav Ivanovic. He has served four matches of the ban so far.

It was the second time in his career that he was found guilty of biting an opponent after a similar incident during his time at Ajax.

Crucially, despite saying he wants to leave the Reds, Suarez says no transfer is in the pipeline yet.

He said: “I don’t have any offer yet. I don’t know when I will leave or even if I will finally leave, or if I will stay.

“The club knows what I think and what I want. I don’t know what will happen but I’ve got a contract.

“If I stay I will do my best here but I don’t know if that will happen because of all the bullying of the press against me and the team is very aware of everything.”
Suarez added: “England and Spain are the best leagues in the world.

“It is normal that it is impossible to say no to big teams for which one always dreams.

“Yet I have nothing, I have not spoken with Real Madrid nor with Liverpool.

“My agent has not told me anything either and that leaves me alone.”

Liverpool today responded to Suarez comments by releasing a statement.

The Merseyside club said: "Luis Suarez is not for sale. Neither Luis nor his representatives have communicated these feelings directly to Liverpool Football Club.

"The club remain supportive of Luis and expect him to honour his contract."
 
Hatimaye mshambuliaji Radamel Falcao ametua katika klabu ya Monaco ya Ufaransa,Falcao amesaini mkataba wa miaka 5
 
Back
Top Bottom