#COVID19 Fomu ya kuridhia chanjo ya corona (conset form) irekebishwe. Serikali ikubali kuwajibika kwa madhara ya chanjo kwa watu

Chanjo siyo salama. Hiyo naona kwamba
sasa hivi ndiyo chanzo hizi siyo salama.
Maneno yanasemwa kama vile" more people dying of the vaccine than from covid 19"
Kwa nini hawa watu ,ambao most probably walikuwa wanajua mambo haya toka zamani,wanayazugumza sasa?
Wanavyosema ni kwamba,yaani utafiti unaonyesha ,children are not in great danger from covid. Watu chini ya miaka 65 nao pia hawako katika hatari kubwa ya kufa kwa covid.
Certainly Serikali isiseme kwamba itawalipa fidia watu wanaodhurika na chanjo. Kwa sanabu hao wadhalimu wameanza kutajana kuhusu madhara ya chanzo.
Matatizo ya chanzo ni mengi sana. AIDS ,kwa mfano,ililetwa huku ( sud-haran Africa)miaka ya sabini katika chamjo ya smallpox.
 
Kwa taarifa yako wako wengi sana waliochanjwa na wavaa barakoa lakini wamefukiwa!!! Nchi zinazoongoza kwa chanjo zinaongoza pia kwa kufukia watu wengi!! Tanzania tuko salama sana! Walitutabiria kuokota miili barabarani, na mpaka kesho hatutaokota miilibarabarani!! Mungu wetu ni mkubwa kuliko corona!! Uko mzima leo kama matokeo ya majibu ya Mungu kwa maombi ya watanzania hata kama haulijui hilo!!
Kuna mjinga mmoja na kiongozi wa chama fulani, amesema baada ya wiki mbili hali itakuwa mbaya sana!! Ameshashindwa na kulegea! Wiki mbili zitaisha! miezi miwili itaisha na hata miaka miwili itaisha na atashuhudia watanzania wakiwa salama!! Labda familia yake ndio itaathirika na corona maana ameamua mwenywewe kuwa muumini wa corona badala ya kumwamini Mungu aliye hai!! Inabidi mtu aamue kufumba macho ili asiweze kuona jinsi Tanzania tulivyo salama ukilinganisha na mataifa mengine yaliyoathirika sana!! Wao hawakuweza kujisaidia watatusaidiaje sisi? Silaha iliyoshindwa kuwalinda wao wao itawezaje kutulinda sisi? Huyo mjinga mmoja anathubutu kusema tusimamishe miradi yote ya maendeleo ili tupambane na corona!! Walioingia kwenye huu mtego watakuwa watumwa wa corona maisha yao yote! Chonde chonde Tanzania tusiingizwe mkenge!! Haya ni magonjwa ya kupandikizwa ili watu wapige pesa!!
Corona inawapenda watu wakaidi kama wewe .

Meco aliipuza sana na matokeo yake sasa mmebakia wajane
 
Chanjo siyo salama. Hiyo naona kwamba
sasa hivi ndiyo chanzo hizi siyo salama.
Maneno yanasemwa kama vile" more people dying of the vaccine than from covid 19"
Kwa nini hawa watu ,ambao most probably walikuwa wanajua mambo haya toka zamani,wanayazugumza sasa?
Wanavyosema ni kwamba,yaani utafiti unaonyesha ,children are not in great danger from covid. Watu chini ya miaka 65 nao pia hawako katika hatari kubwa ya kufa kwa covid.
Certainly Serikali isiseme kwamba itawalipa fidia watu wanaodhurika na chanjo. Kwa sanabu hao wadhalimu wameanza kutajana kuhusu madhara ya chanzo.
Matatizo ya chanzo ni mengi sana. AIDS ,kwa mfano,ililetwa huku ( sud-haran Africa)miaka ya sabini katika chamjo ya smallpox.
Wacheni kujidanganya nyinyi MATAGA na CHAWA wa Jiwe
 
Hongera mkuu,you are well informed
 
Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania. Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na wakasema chanjo hizo ni salama! Serikali kwa kuzingatia na kuuamini utafiti wa kamati ya corona wakaamua kuanza mchakato wa kuagiza chanjo za corona!! SWALI: KWA NINI SASA SERIKALI INAKWEPA KUKUBALI KUWAJIBIKA KWA ATHARI WANAZOWEZA KUPATA WATAKAOKUBALI KUCHANJWA KAMA WANAAMINI KUWA CHANJO HIZO NI SALAMA?
Naomba kuhusiana na chanjo hizi za corona lazima serikali iseme kwa wazi moja ya mambo haya mawili: 1. Kama wanakubali kuwa chanjo hizi ni salama, basi wakubali kuwajibika kwa matokeo hasi za chanjo hizo na waathirika wawe na haki ya kuidai fidia serikali mahakamani kwa madhara yanayoweza kujitokeza ya chanjo za corona. 2. Kama hilo la kwanza hawawezi kulisema, basi SERIKALI LAZIMA ISEME WAZI KUWA HAWANA UHAKIKA NA USALAMA WA CHANJO HIZO NA ATAKAYEAMUA KUCHANJWA ATAWAJIBIKA MWENYEWE KWA KUKUBALI KWAKE KUCHANJWA YAANI "TAKE A JAB AT YOUR OWN RISK"!!
Baada ya serikali kusema moja ya mambo hayo hapo juu, hilo jambo liandikwe juu kabisa kwenye fomu ya kuridhia chanjo, na fomu hiyo iandikwe kwa kiswahili ili kila mmoja aielewe vizuri na ibandikwe kwenye mbao za matangazo kwenye kila ofisi ya serikali kuanzia serikali za mitaa na kila kwenye zahanati, kituo cha afya na hospitali zote.
Haiwezekani serikali ikatuambia chanjo ni salama halafu ikakataa kuwajibika kwa matokeo ya chanjo!!
Mambo ya kukataa kuwajibika huwa ni kwa chanjo za majaribio ambazo walioridhia kujitolea kwa majaribio hayo huwa wamekubali kujitoa muhanga wenyewe kwa manufaa ya utafiti. Kama serikali inatufanyia utafiti basi iseme hivyo wazi!!
Lakini pia majina yote ya kamati ya corona na nafasi zao yawekwe wazi. Maana tunajua jina la mwenyekiti tu, nalo tulilijua mwishoni. Historia itakuwa na jambo na kamati hii, huwezi kujua!! Wasifichwe! Kama wamefanya kazi njema wawekwe wazi ili historia iwapongeze au iwashutumu!!
Ushauri Kama huu ni wa maana Sana,lakini kwa vile kumejaa mazezeta wenye ID kumi watapinga tu.
Hata hivyo hizo chanjo zimewaidia nchi gani hata kule walikochanjwa wanaambukizwa na kufa hata Sasa. Au tunataka kuwafurahusha wazungu?Rwanda,Uganda waliochanjwa wamefungia,viongozi wanayatamani hayo?
 
Hii👇 comment niliitoa lakini na wewe naamini itakuaaidia.

👉Wakati ambapo serikali yeyote ya dunia ingeweza kuamika kwa lolote umepita mkuu.Fanya utafiti wako binafsi,beba msalaba wako.In short take responsibity of your own life.

Kwa kukusaidia fuata link ifuatayo ili uweze kufanya maamuzi ya busara na sahihi kwako binafsi,familia yako na wengine uwapendao.Let make this clear,kwa swala hili la the so called C-19 vaccine no body should make a mistake,it is a matter of life and death.Usiitegemee serikali yetote ya dunia leo ikulinde,hicho kitu hakipo,serikali zote za dunia lao ni moja.

Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania. Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na wakasema chanjo hizo ni salama! Serikali kwa kuzingatia na kuuamini utafiti wa kamati ya corona wakaamua kuanza mchakato wa kuagiza chanjo za corona!! SWALI: KWA NINI SASA SERIKALI INAKWEPA KUKUBALI KUWAJIBIKA KWA ATHARI WANAZOWEZA KUPATA WATAKAOKUBALI KUCHANJWA KAMA WANAAMINI KUWA CHANJO HIZO NI SALAMA?
Naomba kuhusiana na chanjo hizi za corona lazima serikali iseme kwa wazi moja ya mambo haya mawili: 1. Kama wanakubali kuwa chanjo hizi ni salama, basi wakubali kuwajibika kwa matokeo hasi za chanjo hizo na waathirika wawe na haki ya kuidai fidia serikali mahakamani kwa madhara yanayoweza kujitokeza ya chanjo za corona. 2. Kama hilo la kwanza hawawezi kulisema, basi SERIKALI LAZIMA ISEME WAZI KUWA HAWANA UHAKIKA NA USALAMA WA CHANJO HIZO NA ATAKAYEAMUA KUCHANJWA ATAWAJIBIKA MWENYEWE KWA KUKUBALI KWAKE KUCHANJWA YAANI "TAKE A JAB AT YOUR OWN RISK"!!
Baada ya serikali kusema moja ya mambo hayo hapo juu, hilo jambo liandikwe juu kabisa kwenye fomu ya kuridhia chanjo, na fomu hiyo iandikwe kwa kiswahili ili kila mmoja aielewe vizuri na ibandikwe kwenye mbao za matangazo kwenye kila ofisi ya serikali kuanzia serikali za mitaa na kila kwenye zahanati, kituo cha afya na hospitali zote.
Haiwezekani serikali ikatuambia chanjo ni salama halafu ikakataa kuwajibika kwa matokeo ya chanjo!!
Mambo ya kukataa kuwajibika huwa ni kwa chanjo za majaribio ambazo walioridhia kujitolea kwa majaribio hayo huwa wamekubali kujitoa muhanga wenyewe kwa manufaa ya utafiti. Kama serikali inatufanyia utafiti basi iseme hivyo wazi!!
Lakini pia majina yote ya kamati ya corona na nafasi zao yawekwe wazi. Maana tunajua jina la mwenyekiti tu, nalo tulilijua mwishoni. Historia itakuwa na jambo na kamati hii, huwezi kujua!! Wasifichwe! Kama wamefanya kazi njema wawekwe wazi ili historia iwapongeze au iwashutumu!!
Wakati partner wangu anafanyiwa operation ya tumbo la uzazi, tuliambiwa tusaini fomu za ridhaa. Ni kawaida kitu atengenezacho binadamu mwenzako kukosa uhakika wa 100%, unaweza pata maudhi ya hapa na pale, ila uwe tayari.
 
Hi ni sawa na kuangamiza vizazi na kufa na kizazi Cha wanachokitaka akina Bill gate.Mbaya Sana.
Wakati ambapo serikali yeyote ya dunia ingeweza kuamika kwa lolote umepita mkuu.Fanya utafiti wako binafsi,beba msalaba wako.

Kwa kukusaidia fuata link ifuatayo ili uweze kufanya maamuzi ya busara na sahihi kwako binafsi,familia yako na wengine uwapendao.Let make this clear,kwa swala hili la the so called C-19 vaccine no body should make a mistake,it is a matter of life and death.Usiitegemee serikali yetote ya dunia leo ikulinde,hicho kitu hakipo,serikali zote za dunia lao ni moja.

Corona inawapenda watu wakaidi kama wewe .

Meco aliipuza sana na matokeo yake sasa mmebakia wajane
Unayempuuza ndiye ambaye yuko very well informed.Corona ni a hoax mkuu,funguka.

Wakati ambapo serikali yeyote ya dunia ingeweza kuamika kwa maisha yako kwa lolote umepita mkuu.Fanya utafiti wako binafsi,beba msalaba wako.

Kwa kukusaidia fuata link ifuatayo ili uweze kufanya maamuzi ya busara na sahihi kwako binafsi,familia yako na wengine uwapendao.Let me make this clear,kwa swala hili la the so called C-19 vaccine,no body should make a mistake,it is a matter of life and death.Usiitegemee serikali yetote ya dunia leo ikulinde,hicho kitu hakipo,serikali zote za dunia lao ni moja.

Naona umerukia treni kwa mbele,nani kapuuuza juu ya chanjo ya korona?

Nimesema kuwa kwa yeyote anaye ipinga chanjo ya korona basi akae kimya awaachie wale walio na nia njema ya kupatiwa hiyo chanjo wapatiwe.

Sasa wewe naona unahangaika na malink unadhani utanishawishi kwa malink ndiyo niikatae chanjo?

Chanjo ni muhimu popote pale duniani ndiyo maana hadi leo hii mtoto akizaliwa lazima anapewa chanjo ya kujikinga na magonjwa mbali mbali ya hatari.
 
Katika mazingira haya ni idiot tu atakayekubali kuchanjwa.Infact hapa serikali inawafurahiaha tu mabeberu,lakini inachosema kwa mtu mwenye akili ni kwamba, "usichanjwe,hii jab ni hatari kwako."
Pumbaf wewe na unaonekana kuwa ni mfuasi wa kayafa na wewe ni kundi la kibwetere.
 
Naona umerukia treni kwa mbele,nani kapuuuza juu ya chanjo ya korona?

Nimesema kuwa kwa yeyote anaye ipinga chanjo ya korona basi akae kimya awaachie wale walio na nia njema ya kupatiwa hiyo chanjo wapatiwe.

Sasa wewe naona unahangaika na malink unadhani utanishawishi kwa malink ndiyo niikatae chanjo?

Chanjo ni muhimu popote pale duniani ndiyo maana hadi leo hii mtoto akizaliwa lazima anapewa chanjo ya kujikinga na magonjwa mbali mbali ya hatari.
Sipati faida yeyote kukuaaidia ili ujue ubaya wa hiyo inayoitwa kwa makosa chanjo.Hata hivyo kama wewe ni mmoja wa jeshi la CIA la 60,000 plus la kuhamasisha wanadamu wakubali sumu hiyo,kwa Tanzania mmeshindwa,labda mu-embark on plan B,the Blue Beam.Kwa taarifa yako kama hujui sumu hiyo ina sumu hatari inayoitwa Graphene Oxide na mRNA technology yenye nia ya kubadilisha DNA yako iweze kuzaliaha proteins zinazoitwa "spike proteins."Hizi ndizo nightmare ya mwanadamu.What does this adds up to,it changes your genome,makes you a GMO organism, makes you non human,patentable and therefore ceases to have human rights.This is exactly what they are up to.Wake up folks,you are up for a fix.
 
Ugoro mtupu na bhange ndiyo vinakuongoza.
 
Wewe hata ukifa kufa tu maana huna faida kwa taifa.
 
Pumbaf wewe na unaonekana kuwa ni mfuasi wa kayafa na wewe ni kundi la kibwetere.
Hivi hapa nani Kibwetere,mimi au wewe unayehamasisha watu kukubali sumu mbaya kabisa katika historia ya wanadamu kuwahi kuitwa chanjo?
 
Sumu unayo wewe mwilini mwako.
Mbona ARV unazibugia kila siku hadi zimekusababishia kitambi?
 
Back
Top Bottom