ni ujinga kuisifia serikali iliyopo madarakani wakati unaona inakunyonya kama watu wanao isifia CCM...! yani ninakereka kweli na hii ni kweli yani hata jamaa ukiwaangali ni kama wajinga yani..!
jaguar ni ujinga sana kwa madingi wanaojisifu kua walikua wanashika namba moja wakati walivyokua wanasoma na wakati walikua vilaza..! yani mioyo yao inawasuta wakati wanapokua wanasema hayo maneno yani..!
ni ujinga kujifanya humsikii mtu eti kwasababu umeweka earphone kwenye masikio.. kumbe unasikia kila kitu..! ila unapoitwa na demu unajikuta unasikia fasta..! huu ni ukuda kabisa yani..!
ni ujinga kujifanya humsikii mtu eti kwasababu umeweka earphone kwenye masikio.. kumbe unasikia kila kitu..! ila unapoitwa na demu unajikuta unasikia fasta..! huu ni ukuda kabisa yani..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.