Follow Me If You Can!

Follow Me If You Can!

Ni ujinga kutafisiri wildlife kama wanyamapori kwa kiswahili; wildlife kwa kiswahili ni viumbepori (wanyama na mimea pori kwa pamoja).
 
Ni ujinga kutama maneno restaurant, automatic, audible na yanayofanana na haya, kwa kiingereza kama yalivyo badala ya herufi "au" kutamkika kama "o".
 
Ni ujinga kutafisiri wildlife kama wanyamapori kwa kiswahili; wildlife kwa kiswahili ni viumbepori (wanyama na mimea pori kwa pamoja).

unatokea SUWA nin.. Au BAKITA..?!
Kama ni hvyo ni ujinga na zaidi ya ujinga..
 
Ni ujinga kumtumia mtu text kwa namba mpya,,bila kujitambulisha..
Sms hazionyeshi sura yako ujue..!
Huo ni ujinga bana..
 
Ni ujinga kuogopa mngurumo wa radi ukidhani ndo radi yenyewe wakati radi yenyewe ingekupata hata huo mngurumo usingeusikia.
 
Ni ujinga kila siku unadhani unawaponda wachaga kumbe unazidi kuwa kuzia jina.
 
Ni ujinga kila siku unadhani unawaponda wachaga kumbe unazidi kuwa kuzia jina.
Ni ujinga kujidai kwa kusema,"sisi wachaga tumeendelea,tuko juu",wakati wewe binafsi ni hohehahe wala huna dira ya maisha,teh teh teh,take it easy,i'm just joking!
 
Back
Top Bottom