Follow Me If You Can!

Follow Me If You Can!

Ni ujinga kuvishirikisha vyama vingine kukutana na rais wakati havijaomba kukutana naye!
 
Ni ujinga kumkandamiza mwanamke bila kondom kisha unawahi bafuni kujisafisha na detto eti unaviosha virus!
 
Ni ujinga sana tena sana kuacha kuichangia thread hii wakati jamii yetu imezungukwa na mambo mengi ya kijinga!
 
Ni ujinga kila ukitoka bafuni kujisafisha/kuoga unajichafua tena kwa kupaka mafuta mwilini
 
Ni ujinga kwa Rais kusign muswada wa katiba mpya wakati haina ridhaa ya wananchi
 
Ni ujinga kubonyeza tairi la baiskeli kuangalia kama lina upepo wakati limepiga basti!!!
 
Ni ujinga kuhesabu pesa zako kabla ya kuondoka mbele ya ATM machine.
 
Ni ujinga kupiga nyeto wakati demu unaye kitandan
 
Ni ujinga kutishia kujamba wakati una harisha
 
Ni ujinga kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wakati nchi yenyewe maskini.
 
Ni ujinga kubishana na FF kuhusu uozo wa Magamba.
 
Ni ujinga kuchagua CDM wakati na wao wana uchu wa madaraka km walivyo CCM
Ni ujinga kijana mdogo kushabikia siasa na kuumizana kwenye vurugu za siasa wakati mgombea ataeingia madarakan hatakutambua
Ni ujinga wanafunzi wa chuo kikuu kushawishiwa na CDM kufanya vurugu eti wapigania haki
 
Back
Top Bottom