Follow Me If You Can!

Follow Me If You Can!

ni ujinga wachezaji wa taifa stars kuahidi kila mara kufia uwanjani wakati hatuoni hata aliyezimia!!
 
ni ujinga unajua simu yako mchina na ina sauti kama sub woofer alafu kanisani huzimi unaenda kukaa karibia na altare na ring tone yako ya juma nature mugambo wanaruka na kukanyagana!
 
ni ujinga kudumbukiza sadaka kanisani alafu unadai chenji!
 
ni ujinga una endesha ki gari chako kwa speed kali utafikiri una mgonjwa alafu unaishia baa!!
 
ni ujinga kulewa kwa fujo usiku alafu pakikucha unaogopa kuichungulia wallet!!!
 
Daah!ukweli mtupu,thumb up MTIZAMO!
 
Ni ujinga konyesha hela hadharani ukiwa hapa uchagani.
Ni ujina kuuliza eti chelsea vs atheno watatokaje wakati unajua.
 
Ni ujinga kusema wachaga wanapenda hela wkt wewe ni kibaka,kama wewe hupendi kwa nn unakuwa kibaka?
 
Ni ujinga kila ukimuona mtu anaitwa MANGI wewe unafkir lazima ni mchaga tu
 
Ni ujinga kutumia hela ovyo kwa ma2miz yasiyo na faida.
 
Ni ujinga kutumia hela ovyo kwa ma2miz yasiyo ya maana.
 
Ni ujinga kuuliza eti hii barabara inaenda wapi,wkt haitembei.
 
Ni ujinga Scania ina-overtake inakuja site yako halafu unagoma kupisha njia na ka-Escudo kako!
 
Ni ujinga ukisikia m2 anaxema 'aisee jamaa angu...' unaliza eti yeye ni kabila gani
 
Back
Top Bottom