Follow Me If You Can!

Follow Me If You Can!

Ni ujinga mtu at 50 kutumia condom wakati life span ni miaka 45
 
Ni ujinga na usio na kifani kuamka na kuanza kuongelea maisha ya mtu wakiti yeye akiamuka na kufanya maendeleo.
 
Ni ujinga kuitumbulia mimacho screen ya Tv yako wakati umeweka Mp3.
 
Ni ujinga kumhamisha kitoa cha kazi mfanyakazi mzembe na mwizi
 
Ni ujinga kushabikia katiba mpya wakati hata ya inayotumika huijui.
 
Ni ujinga kuendelea kuamini eti mwili wa Osama ulitupwa baharini.
 
Ni ujinga ukitaka kuongeza salio kwenye simu yako unaenda dukani unamwambia muuza duka nipatie " Voda Dollor Mbili" haiitwi dola ni shilingi we Nunda sema tu vocha
 
[FONT=MingLiU_HKSCS]Ni ujinga kuwa mwanachama wa CCM halafu unadai wewe sio gamba![/FONT]
 
Ni ujinga kutotumia CONDOM ukidhani inapunguza ladha!
 
Ni ujinga kukoga mara 4 kwa siku na bado ukawa na minongo. Maji yenyewe Tz ya tabu......................
 
Ni ujinga kujamba katikati ya hadhara ukijiaminisha sauti ya ushuzi haitosikika. Harufu itakuumbua wewe!
 
Ujinga ni kufikiria eti ukiandika na
CAPITAL LETTERS unashout,na
ukiandika na small letters
unawhisper.
 
Ni ujinga.....Kujikuna sehemu nyeti halafu ukiona hakuna anayekuangalia unanusa.
 
Ni ujinga kukata simu baada ya mazungumzo wakati umepigiwa

Ni ujinga kuangalia salio kwenye simu baada ya kupigiwa sumu

Ni ujinga, ukipigiwa simu kuweka kidole kwenye kitufe cha kukatia simu wakati unaongea

Ni ujinga kupiga chafa na mluzi kwa wakati mmoja

Na mwisho ni ujinga kutoa maukoko puani wakati uko kwenye kadamnasi.
 
Ni ujinga kukataa kinywaji kilichofunguliwa toka counter wakati juice inayoletwa kwenye glass ya wazi unaipokea!
 
Back
Top Bottom