Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Kuna cd naangalia hapa ni collection ya mapambano yote makali ya Pacqiao dah!
Bora nibaki neutral naogopa kuumia nikiweka matumaini yangu kwa mmoja wao.

Paqc anasumbua sn akiwa uringoni lkn kwa hivi karibuni ameshuka kidogo...mchezo utakua mkali sn na Wa vuta nikuvute lkn mwisho Wa siku Floyd hatoruhusu zile ngumi nyingi za Paqc ziguse kichwa chake kwasababu jamaa anajua kukwepa ngumi ni mwepesi akiamua jamaa ana radha zote....

Mi nasema wazi km Paqc atashinda labda kwa point tu lkn vinginevyo Paqc lazima apigwe kwa KO mbaya
 
Ntuzu;

Huyu ndio fundi wa counter attack...na hakuna mtu wa anaejua counter attack akapigwa na pacq...maquez nae ndio style yake hii.
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu;

Haya bwana.Hongera kwa kunishawishi hadi nimeshawishika.Sasa Floyd akichapwa tu lawama nakubebesha wewe!
Hahaaaa. ..
 
Last edited by a moderator:
Ko ?,ha ha ha mkuu bhana!,tuombe uzima may 2 tuwe hai...

KO ndio...kwani unafikiri Floyd ataingia kwa uringo kutafuta nini? Ni KO tu..na Yule Philipian alivo na papara KO iko nje kabisa. Marques kabla ya game na Paqc alisema atamaliza game ktk round za mwanzo hakutaka kumruhusu Paqc afike round za kumi huko..na kweli ktk round ya 3 akarambishwa sakafu ingawa alirudi na kufunika makosa na akasahau kumbe ndio anafanya makosa Zaidi.

Hakujali kujilinda tena... Akawa anajiachia tu akizani atammaliza Marque. Alipokea punch moja tu BANG jamaa hakuinuka tena.
 
Kuna cd naangalia hapa ni collection ya mapambano yote makali ya Pacqiao dah!
Bora nibaki neutral naogopa kuumia nikiweka matumaini yangu kwa mmoja wao.

Wewe hujiulizi kwanini Mayweather akubali kupigana nae sasahivi? Kiufundi pacq anakasi sana..ni bondia ambae ngumi yake inakasi ya ajabu lakini akikutana na mtu ambae anajua kufanya counter attack huwa anasumbuliwa sana..na mchawi wa hizo counter attack ni moneyweather.

Ila hizi ni ngumi lolote laweza tokea
 
Haya bwana.Hongera kwa kunishawishi hadi nimeshawishika.Sasa Floyd akichapwa tu lawama nakubebesha wewe!
Hahaaaa. ..

Usijali nifah mi nasema wazi kabisa km Paqc atashinda basi ni kwa point lkn Floyd Money anauwezo mkubwa Wa kumchapa Paqc kwa KO.

Alafu nifah j2 nakuja Emirates nakuja kukuchapa ujue....wewe kaa usubili kichapo kinakuja...
 
Last edited by a moderator:
Usijali nifah mi nasema wazi kabisa km Paqc atashinda basi ni kwa point lkn Floyd Money anauwezo mkubwa Wa kumchapa Paqc kwa KO.

Alafu nifah j2 nakuja Emirates nakuja kukuchapa ujue....wewe kaa usubili kichapo kinakuja...

Haya bwana Ntuzu na tusubiri hiyo may 2.

Ayayayayaaaa nilikua sijaipata hii.Ngoja nisiseme lolote kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Haya bwana Ntuzu na tusubiri hiyo may 2.

Ayayayayaaaa nilikua sijaipata hii.Ngoja nisiseme lolote kwanza.

Ngoja nkuitie Jf sports lady aje hapa maana yeye nasema yuko Gunners kwa mkopo. everlenk kamu zisi wei pulizi....
 
Last edited by a moderator:
Zimebaki siku kumi tu tujionee nani mkali? Ukumbi utafurika safari hii, ingawa hakuna aliepata tiketi sijui zitafika $ ngapi? Pac anaweza kumchapa jamaa kwa muono wangu wewe je

Kuna channels za TV ambazo zitaonyesha pambano hili? Kama ndiyo ni ipi na saa ngapi? Nataka kujaribu kukumbukia enzi ya kumdamkia Tyson, japo ilikuwa ukijivuta tu kuamka unakuta pambano limeisha...
 
Konde la bahati,mpaka ko inatokea Marguez alikuwa nyuma kwa point,lewis alipoteza kwa Rahman kule SA kwa hiyo luck punch,katika rematch Rahman akapigwa kwa ko 5round,Rick Hatton alipigwa na Mayweathear ko ya round ya 11,alipocheza na Pacman akapoteza kwa Round 2...

Yap,ktk mchezo wa ngumi kuna hiki kinachoitwa ngumi ya bahati,yaani hata kama mtu umejifua vipi mtu akikuotea akakutandika ngumi ya kidevu(hii inapigwa kwakutelezeshwa kuelekea usawa wa sikio/taya) lazima uende chini(ukiwa huna mazoezi unaweza kuzimia) na ndicho alichofanya Marquez kwa Pac,Pacquiao kumpiga Mayweather inawezekana but wakuu naamini wakienda round zote ikafikia maamuzi ya point piga ua watampa Mayweather ushindi.binafsi namkubali Pacquiao na namtakia ushindi.
 
Kweli yako maana nakumbuka zamani Lennox Lewis alipigwa moja KO aliponyanyuka na kiwewe akauliza NIMESHINDA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom