Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Utajuta kupoteza usingizi wako....
if you have watched both fighters documentaries, you will definitely judge them fairly... much as money is outspoken, it doesnt mean he is a bad man, who doesnt believe in God etc.
Anyway, it depends on which media you are subscribing to
andaa leso ya kufuta machozi
he is a Women Beater *May weather*
tumebakiwa na saa li ngapi
yes he admitted, did you see yule aliyepigwa kasemaje??
Maana wengine humu tutasema kumbe tukirudi kwenye true ID tunatesa sana akina mama...
I watched last night program ya jamaa, he is not a great man, but mme-mmissjudge kwenye baadhi ya vitu simply because of the media
He aint a saint, but not shetani kama unavyotaka iwe
Yeah! only few hours to go before Money Mayweather whoop his ass. Naona leo unakesha, nilijua ni mpenzi wa masumbwi ila sikujua kama ni kiasi hiki.
Hulali weweeee
haa ha haacha uoga dogo tafuta bar yeyote ukeshe
lol! hahahahahah usingizi umeruka kisha nataka kuona jinsi Money Mayweather anavyouthibitishia Ulimwengu wa wapenda masumbwi kwamba hakuna tena kama yeye na hivyo kufikia rekodi ya 48-0. Weye ni aje? usingizi umekuruka pia? lol!