AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini
Alicheza kiuoga au alicheza kimkakati ili kushinda? Au ulitaka awe na papara ili apigwe?
Acheni akiri mgando bwana kurusharusha ngumi hovyo usifikiri ndo kushinda,hizi city ngumi za mtaani kama kwao Dia,Nmecheki round zote PAC karusha ngumi nyingi xana na yko faster xana,xema hatumii akr Floyd ana akr na technic nyingi xana,anakwepa xana anajrinda xana na Ana accuracy na ngumi zake. Ndo maana kashinda, Mwenyewe alijua anapointi nyingi ndo maana kaanza kushangilia Mara tu kuisha kwa round ya mwisho, Kila kitu shule na hili halina ubishi Floyd anatumia akiri xana!
hivi hadi mashoga huwa wanafatilia ngumi?
Wenginee wanatokwa na mapovu ya hasiraa
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na kwa maneno yake mwenyewe anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi na si boxing