Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Leo kwa Wamarekani ni siku kubwa sana kimichezo.

1) Kentucky Derby ilikuwa leo
2) Game 7 ya NBA quarterfinals
3) NFL draft bado inaendelea huko Windy city
4) Mambo iko Las Vegas, Nevada, USA
5) Weather leo ilikuwa bomba sana pande za southeast - sunny with clear skies, 86F.

It doesn't get any better than that.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
#teamfloydmayweather leo Pacman analazwa chini Round Ya 6 akinyanyuka ujue atamuona mwenzake kashavalishwa mkanda atachosubiri yeye Mgao wa Pesa basi.


pazi rudi kule...
goma half time wazee wa spurs wapo
nyuma kwa point mbili...
Clippers 57 - 55 $purs

umeisaliti Basket kwa haya masumbwi ya masaa tu?...
dah unakesi ya kujibu mkuu
 
Jamani bado tu mbona saa ngapi hii mijitu inadundana??
 
So wanapataje pesa kama watu hawaoni live?

Watu wanaoenda ukumbini wanaona live...

Isipokuwa wale pro wrestlers wanapigana kwa mapigo ambayo ni simulated ila watazamaji wanayaona kama ya kweli...

Pia wengi wa wrestlers huwa wanatumia madawa ya kuzuia maumivu...

Nani anashinda hilo pia hupangwa ili kufanya iwe ni storyline...

Ndio maana unaona kina Big Show wanapigwa na kimtu kidogo lakini kiuhalisia isingekuwa hivyo...
 
pazi rudi kule...
goma half time wazee wa spurs wapo
nyuma kwa point mbili...
Clippers 57 - 55 $purs

umeisaliti Basket kwa haya masumbwi ya masaa tu?...
dah unakesi ya kujibu mkuu
Thanks nimesahau nilikuwa natizama nimetoa nimekumbuka baada kusoma comment yako.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha WWE si maigizo yale bana..

Wewe humjui Mfilipino vizuri.. Muulize Money kwanini alikuwa anamkimbiaga Pac Man at his prime..

Maigizo eeh sio rahisi ka ufikiriavyo kwahyo na kuvunjika huwa ni maagizo eeh mechi ya Leo sio rahisi kama ufikiriavyo wewe.
 
Ahaaa... Eti shots bila ndimu, itanoga kweli hiyo?. Hiyo hata ukimpa kijana anaye-turn 21 yrs old leo, hawezi kuinywa. Kwani anajua hawezi ku-pass out, ambalo ndio lego zima la yeye kunywa!.

Hii excuse yangu ili kukinai mapema,....Lakini wewe utapatia tu walo bet na wewe pole zao mie ntakusindiza ku celebrate nifurahi na washindi!
 
Hivi huyu aliedundwa sasa hivi sio mfilipino?. Yule matumla junior wetu niliskia angekuwepo hapa aisee
We acha tu Best watazimika kimya kimya bila hata kuaga na ile paki yao tutaigeuza iwe paki yetu lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha...

WWE mechi zake ni pre staged...ni maigizo tu yale sio kitu cha ukweli kama boxing

Hata kama ni maigizo kwahyo hadi kuumia kuvunjika ni maigizo hata sheria zao kwahyo yote Yale huwa ni maigizo kama ya tamthilia na sio really wrestling.Basi kama ni hivo hata kuumia huwa wana pretend basi.
 
Asante umetupunguzia muda wanaokuja nao wamalize kwa KO aje Floyd nae apigwe KO mchezo kwisha hongeren wabishi wenzangu mliopo macho hadi muda huu
 
Marquez alishachapwa na pacquiao Mara tatu na hata katika hilo pambano ambalo Marquez alikuwa amezidiwa katika raundi zote 6, ni Kama alimwotea tu. Mbona Miguel cotto pacquiao alimchapa kiuraisi KO 12 round, wakati money may alienyeshwa hadi akasema japo alishinda lakini it was the Fight of his lifetime

Money anashinda kwa point mapambano mengi besides alikua kashashindwa kwa cotto ila uhuni ulimsaidia angalie video yake utaniambia!
 
Bet naye hata $200 ukishinda basi ushakuwa tajri wa $200 lol! Ukiliwa ni huzuni.

....huzuni, majonzi ukizingatia mchezo wenyewe naangalia kwa kuchungulia 😛eep:
 
Game lishapangwa hili kitambo kuwa may anashinda ni Kama tunaangalia recorded!! May alikuwa anamuogopa huyu jamaa kitambo akiambiwa njoo anakuja na sababu Mara apimwe mkojo kuwa jamaa anatumia madawa ya kuongeza nguvu halafu ghafla now amekubali tu kirahisi
 
Back
Top Bottom