Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Mnataka Kutuambia Kua Sisi Ambao Tupo Kitandani Mpaka Sasa Ndo Tumeenjoy Da Fight.Kuliko Nyie Mlio Kesha.
Dah kabisa Mkuu...yaani ningejua,ningeuchapa haswa!! Kama ngumi za miaka hii ndo zinakuwa hivi, basi zimeshushwa hadhi at its maximum
 
Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako zinafikia target zenye kukuwezesha kupata point....?? nikimtazama bondia wangu leo PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale watakuwa wameshanielewa....niliwahi kusema kuwa defence skills ya PACMAN haiko makini ndio maana huwa anatumia muda mwingi kutupa makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia huku akimfanya adui asimkaribie....lakini pia ana udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama Mayweather haziwezi kuwa na madhara......kitu kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika wa kulenga target kila apatapo nafasi.....kushambulia muda mwingi kwa kutumia jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru mchezoni.....na kufanya counter attack zenye mafanikio..........THAT IS BOXING GAME

Mkuu umechambua kitaalam, ila hii game ilipangwa.
 
Mayweather analambishwa sakafu kama mtoto mdogo leo.. Labda afanye ile michezo yake ya kukimbia kimbia ulingoni round nzima na kurusha ngumi mbili tu kwa round

I'll never watch any of Mayweather's fight again.. Nilishasema May atakuwa anakimbia kimbia tu kama kawaida yake
 
Kwa kweli hili pambano lilikuwa la hovyo kabisa, tofauti na watu wengine tulivyofikiri. Kwangu huu mpambano ni sare hakuna mshindi hapo...eti fight of century! Hovyo kabisa
 
Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako zinafikia target zenye kukuwezesha kupata point....?? nikimtazama bondia wangu leo PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale watakuwa wameshanielewa....niliwahi kusema kuwa defence skills ya PACMAN haiko makini ndio maana huwa anatumia muda mwingi kutupa makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia huku akimfanya adui asimkaribie....lakini pia ana udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama Mayweather haziwezi kuwa na madhara......kitu kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika wa kulenga target kila apatapo nafasi.....kushambulia muda mwingi kwa kutumia jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru mchezoni.....na kufanya counter attack zenye mafanikio..........THAT IS BOXING GAME

Huo ndiyo Ukweli wengine wetu tunadhani kurusha ngumi nyingi ndiyo ushindi
 
bora nikeshee mpira tu kuliko uu utumbo yani apigwe mwingine ubigwa apewe mwingine
 
Watu wa naongea sana wakati hawajui chochote kuhusu boxing, Pac yupo vizuri tatizo ana rusha ngumi nyingi sana kucheza na jukwaa kuliko kupiga points.

May kashinda kihalali japo ametuudhi kucheza mchezo mbovu wa kihuni.
 
A pay per view purchaser looking back at the money he spent on

Kiukwel wametuibia. Kelele nyng hamna kitu. Haina tofaut na lig ya Uingereza. Kelele nying, mpira mbovuuuuu....
Bora hata Uingereza kdg mara moja moja unaweza bahatisha mechi nzuri. Hawa wafanya biashara wawili leo wametuibia. Pambano bovuuuuu

hawa wamarekani kwa ukweli kama watajikita kwenye football watatuharibia sana, wanapenda sana usanii, wao kazi yao kutudanganya na wakafaidika wao, sheria mbaya za mchezo. ni sawa na kuenda jaani ukaokota pesa ndivo walivofanya leo
 
Jamaaa washaingiza mapesa ingemuuma sana Mayweather kupigwa sababu haja wahi kupigwa, ila wanaosema May alikuwa anakimbia Kaa mkijua sio ngumi zote kama UFC au Thai Boxing hata Muhammed Ali alikuwa anakupiga uso anakimbia pembeni ikifika round 12 umeshinda, Mayweather katumia akili za kupigana angeenda kupigana kama Pacman na kina Khan na Maquez zile kuja piga ni kupige angepigwa, watu wampe heshima yake May katumia akili Ya ngumi.
 
Sijui kwanini watu wanalalamika, Mayweather ni Defensive Genius, kapambana na Aggressive Wizard, did what he does best, kashinda. Alishasema hawezi kuegemea kamba apigwe, not his style.

He's a d!ck no doubt, but he's a great fighter. Mpeni tu heshima yake.
 
Back
Top Bottom