Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Hairuhusiwi hata kidogo.
Kigezo namba moja ktk madaraja ya ubondia ni uzito.
Thanks mkuu kunielewesha
Hairuhusiwi hata kidogo.
Kigezo namba moja ktk madaraja ya ubondia ni uzito.
around saa12 asubuhi tarehe 3 jumapili, tune SS2 kuanzia saa 11, wengine hatuwezi kucheki huo mtanange nyumbani tutafumua ngumi wake zetu na midadi!
saa10 kama unataka kuangalia ya utangulizi. unahisi "manpac"🙂madgrin🙂 atakuwa keshapigwa tayari hiyo saa12?Lakin ni vizuri ukawa karibu na luning'a kuanzia saa 10.
Manpac anaweza kumaliza pambano kabla ya saa 12, teh teh teh......
hahahahaa...mpwaaaaaa!Jamani nanikaashda wenginendio tunaamka
hahahahaa...mpwaaaaaa!
Mungu gani huyo anayependa ushabikie Chelsea?!
Jamani nanikaashda wenginendio tunaamka
saa10 kama unataka kuangalia ya utangulizi. unahisi "manpac"🙂madgrin🙂 atakuwa keshapigwa tayari hiyo saa12?
sku hizi hatuongei kwa maneno, tuweke pesa mezani?Hivi bado kuna watu wanaamini Mayweather atashinda? Hebu acheni utani.
$Team MANPAC...$
Nyani Ngabu;12617149]Indeed long but zero facts/ data/ empirical proof.
The writer is just stating his/ her opinion.
Wakati nafuatilia matangazo hayo nilidhani ni uzito wa juu kama enzi za Evander Hollyfield, Tyson na wengine kumbe ni hawa macheckbob.
Wladimir Klitschko huyo ndio bingwa wa sasa duniani.. Ambae record yake imeizidi ya Muhammad Ali. Tizama wikipedia. Mi nadhani TYSON alikuwa na wapenzi wengi sana na automatically ndondi za heavy weight zikawa maarufu sana. Tangia TYSON ameacha ndondi kwa kiasi Fulani uzito mkubwa umekuwa sio maarufu sana. Kwa sasa naona Mayweather na Pac Man wataendelea kuwa maaeufu na hizo boxing zao kwasababu wameshajingea mashabiki wa kutosha.
sku hizi hatuongei kwa maneno, tuweke pesa mezani?