Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Wakuu yeyote anayejua tunapoweza kuona live stream, maana mida hiyo kuwa bar kuangalia supersport ni issue.Msaada tafadhari.Na ukitoka tufanyie hisani mtoa mada kuweka juu pale.
acha uoga dogo tafuta bar yeyote ukeshe
 
#TeamManPacq
Vote to Pacquiao,ilikuwa miaka,miezi,wiki,siku sasa tunasubiri masaa tu tupate kujua nani zaidi..anastaafishwa mtu ngumi leo,japo Mayweather kaanza kuweka kinga kwa kujifanya kwamba atastaafu baada ya pambano hili(baba yake kamshauri hivyo)ila anakwepa kusema na kukubali tu kuwa atastaafu kwa kichapo cha Pacquiao!!!na Manny Pacq atamtengua taya leo..ngojeni mtaniambia!!!
 
Un-holy vs Holy, on a Sunday. Asiposhinda Manny nitajiuliza maswali mengi sana kuhusu imani niliyokua nayo.
 
Km Marquez alimchapa Paqc kwa KO mbaya kabisa kwanini Floyd Mayweather ashindwa na ana ngumi nzito kuliko Paqc?
Huyo Marquez alifanikiwa kufanya hivyo baada ya kuchapwa mara 3 mfululizo tena kwa KO.
 
Money lazima amkalishe mfilipino,atamkalisha round ya 6 kwa combination ya left hook+ right upper cut kali akimaliza na straight kali ya usoni.
 
Un-holy vs Holy, on a Sunday. Asiposhinda Manny nitajiuliza maswali mengi sana kuhusu imani niliyokua nayo.
Mkuu wewe unaamini nini kwani? In fact if Pacman loses it should strengthen ur faith!
 
Nafahamu sn lkn KO ya Marques ilikua hatari huyo Paqc angekufa.
Hata wewe ukishinda mara nyingi sana kibinadamu kuna ile hali ya kusema nitashinda tu hata sasa kumbe mpinzani unakuta kajiandaa haswa. Inatokea, it was a mistake on Pac's side ila alirudi vizuri.
 
Nafahamu sn lkn KO ya Marques ilikua hatari huyo Paqc angekufa.

Marquez alishachapwa na pacquiao Mara tatu na hata katika hilo pambano ambalo Marquez alikuwa amezidiwa katika raundi zote 6, ni Kama alimwotea tu. Mbona Miguel cotto pacquiao alimchapa kiuraisi KO 12 round, wakati money may alienyeshwa hadi akasema japo alishinda lakini it was the Fight of his lifetime
 
Un-holy vs Holy, on a Sunday. Asiposhinda Manny nitajiuliza maswali mengi sana kuhusu imani niliyokua nayo.

if you have watched both fighters documentaries, you will definitely judge them fairly... much as money is outspoken, it doesnt mean he is a bad man, who doesnt believe in God etc.

Anyway, it depends on which media you are subscribing to
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom