Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,792
Hata kama ni maigizo kwahyo hadi kuumia kuvunjika ni maigizo hata sheria zao kwahyo yote Yale huwa ni maigizo kama ya tamthilia na sio really wrestling.Basi kama ni hivo hata kuumia huwa wana pretend basi.
Tuwekeane kitu kitu basi ili ubishi uishe vizuri... Nakusubiri PM
Mohamed Matumla kashacheza utangulizi?Bado mapambano ya utangulizi yanaendelea.
Jose Cayetano Vs Leo Santa Cruz.
Oyaaaa. YOLO...Lazima utambae na technology bana!.Oyaaaaa wrong thread kaka.
Una flip back and forth au una split screen?
​Hulazi damu kwenye opportunity ya kutengeneza pesa utadhani joka la makengeza lol!
naona unajaribu kumdanganya dada wa watuKuna cases watu huumia kiukweli lakini hiyo hutokea kama limefanyika kosa...
Otherwise kuumia kwingine ni sehemu tu ya storyline au mkataba wa wrestler unakuwa umeisha hivyo anapumzika kwa kisingizio cha kuumia n.k...
By hooks and crooks man money anaua mfilipo leo
Mohamed Matumla kashacheza utangulizi?
...Yule matumla junior wetu niliskia angekuwepo hapa aisee
naona unajaribu kumdanganya dada wa watu
Let's wait and see, you know time is the best judge.
Mohamed Matumla kashacheza utangulizi?