Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

if you have watched both fighters documentaries, you will definitely judge them fairly... much as money is outspoken, it doesnt mean he is a bad man, who doesnt believe in God etc.

Anyway, it depends on which media you are subscribing to
Haha i'm never a media bs kinda person, i've known these 2 + the sport for a minute now, and i always make my own analysis and judgement. Money's lifestyle is a true definition of un-holy, 'evil' if you may, and Manny is a 'good boy'. It ain't even hard to see.
 
Hahahahahaha lol! mtasema sana kwa maamuzi yake yoyote yale, huyu Khan hana pumzi ya kusimama na Money. Anaweza kumpa pambano lake la 49 huyo Khan ili naye amfanye vibaya.

khe khe khe khe khe..

Money mjanja kweli, kaona kabanwa kila kona huku Khan kule Pac na yule Mmexico akaona achague kibonde kati ya hao ili akipigwa astaafu kabisa khe khe khe.. Sasa mbaya kaingia cha kike maana Pac atamuua leo
 
Good luck and all the best to my team.

10891552_10152806993793113_3463759294258145395_n.jpg
 
Mh!, utanidhulum tu, wenyewe hao ndo nimewaona majuzi tu kwenye picha!
Usiogope, mimi niko radhi leo nipoteze $200 mia ya pay per view ya hawa DirecTV, na mia yako wewe kama Mayweather hataibuka kidedea!. Hapo vipi sasa kui?.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
hii kitu imenifanya niamke mapema leo
na hapa usingiz umekata kabisa
 
Hii ikitokea ya pambano kwisha in 2 minutes tutadai pesa zetu aisee.

Showtime na HBO wameanza vijimatangazo vya hapa na pale na live coverage...

ESPN nao wapo live...watu weweeeeee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Manny Pacquiao huyo anaingia MGM sasa...

Mayweather alishatimba kabla...
 
mapambano ya utangulizi yameanza..
 
Mayweather analambishwa sakafu kama mtoto mdogo leo.. Labda afanye ile michezo yake ya kukimbia kimbia ulingoni round nzima na kurusha ngumi mbili tu kwa round

Kirahisi hivo humjui vizuri Mayweather vizuri alimpiga Big show wa WWE sembuse Manny hii mechi ngumu si kama mnavo shabikia.
 
Usiogope, mimi niko radhi leo nipoteze $200 mia ya pay per view ya hawa DirecTV, na mia yako wewe kama Mayweather hataibuka kidedea!. Hapo vipi sasa kui?.

.....halafu weye una machale kama nini!, kumbuka miss Universe ukapatia mapemaa!, nakuogopa mkuu hii italala kwangu, labda tu bet shots bila ndimu.....lol!
 
via ss6,;;;: mapambano ya utangulizi yashaanza
 
Kirahisi hivo humjui vizuri Mayweather vizuri alimpiga Big show wa WWE sembuse Manny hii mechi ngumu si kama mnavo shabikia.

hahahahaha WWE si maigizo yale bana..

Wewe humjui Mfilipino vizuri.. Muulize Money kwanini alikuwa anamkimbiaga Pac Man at his prime..
 
Back
Top Bottom