Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Kirahisi hivo humjui vizuri Mayweather vizuri alimpiga Big show wa WWE sembuse Manny hii mechi ngumu si kama mnavo shabikia.

Hahaha...

WWE mechi zake ni pre staged...ni maigizo tu yale sio kitu cha ukweli kama boxing
 
#teamfloydmayweather leo Pacman analazwa chini Round Ya 6 akinyanyuka ujue atamuona mwenzake kashavalishwa mkanda atachosubiri yeye Mgao wa Pesa basi.
 
Kirahisi hivo humjui vizuri Mayweather vizuri alimpiga Big show wa WWE sembuse Manny hii mechi ngumu si kama mnavo shabikia.

kweli kabisaa mkuu sio kama wengi wanavyofikiriaaa aiseee.
game hii ni ngum sana
 
Hahaha one thing is for sure, hii pambano ndio litaenda katika historia 4 a lot of blonde moments on the internet. Wanna bet?
 
.....halafu weye una machale kama nini!, kumbuka miss Universe ukapatia mapemaa!, nakuogopa mkuu hii italala kwangu, labda tu bet shots bila ndimu.....lol!
Ahaaa... Eti shots bila ndimu, itanoga kweli hiyo?. Hiyo hata ukimpa kijana anaye-turn 21 yrs old leo, hawezi kuinywa. Kwani anajua hawezi ku-pass out, ambalo ndio lego zima la yeye kunywa!.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kuna vipambano mshenzi viwili kimoja ndiyo kinaendelea wako raundi ya pili wakimaliza hawa kutakuja kingine nacho raundi 12 halafu ndiyo main event MAYPAC, naswitch pia na kuangalia game 7 ya Clippers na Spurs ni half time sasa clippers wanaongoza 57-55.

Showtime na HBO wameanza vijimatangazo vya hapa na pale na live coverage...

ESPN nao wapo live...watu weweeeeee
 
Kuna vipambano mshenzi viwili kimoja ndiyo kinaendelea wako raundi ya pili wakimaliza hawa kutakuja kingine nacho raundi 12 halafu ndiyo main event MAYPAC, naswitch pia na kuangalia game 7 ya Clippers na Spurs ni half time sasa clippers wanaongoza 57-55.

Hata mimi natazama TNT game ya SAS...

Kina Pac bado sana acha kwanza hivi vitoto vipoteze poteze muda kwanza...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hv wanao ona ni wenye dstv tu, sie wa zuku tusubr kusimuliwa?
 
We acha tu Best watazimika kimya kimya bila hata kuaga na ile paki yao tutaigeuza iwe paki yetu lol!

Mie nishaanza kucheka tu jinsi tunavyowarusha roho kabla ya kuwatenda. Hapa hapa tutaenea.
 
Bet naye hata $200 ukishinda basi ushakuwa tajri wa $200 lol! Ukiliwa ni huzuni.

.....halafu weye una machale kama nini!, kumbuka miss Universe ukapatia mapemaa!, nakuogopa mkuu hii italala kwangu, labda tu bet shots bila ndimu.....lol!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom