Ni saa kumi na mbili,endelea kufaidi mapambano ya utangulizi
Asante umetupunguzia muda wanaokuja nao wamalize kwa KO aje Floyd nae apigwe KO mchezo kwisha hongeren wabishi wenzangu mliopo macho hadi muda huu
Maigizo eeh sio rahisi ka ufikiriavyo kwahyo na kuvunjika huwa ni maagizo eeh mechi ya Leo sio rahisi kama ufikiriavyo wewe.
hahahaha yale maigizo bana usianzishe ligi nyingine..
wewe msubiri huyo Mayweather atakavyolambishwa mchanga leo.. Limebaki lisaa na nusu tu
Mechi ngumu sana Leo kiukweli kuliko watu wanavofikiri.Tusubirie tu mechi iishe ndo tujue.
Mayweather anaingia sasa.
Da.. Chris Paul kapiga tatu hapa, ahaaa si mchezo!.
Maigizo gani sasa hamna anayeanzisha ligi hapa tusubirie mechi iishe tu ya kusema tamthilia maigizo na series tuwaachie wakorea na Wafilipino. Time will tell.
Osaka unacheck online?