hahahaa mkuu haitakaa itokee kama mara sec simu tunachaj na extentn tunanunuliwa.....watu wanavaa watakavyo hakuka shamba dres.....shule haina uzio wala rokoo so ukilala nje hakuna ajuaye....sheria mkononi mwa wanafunZ ushikwe mwiZ utaisoma no...HKL ndio wabishi hawana mfano ila EGM wao no msul yan kutoboa ozon.....kichelewa kuripot baada ya likizo.....hakuna vikao na walim hata kufunga shule ni wewe ukimaliza pepa la mwisho ndio mwanzo wa likizo yako,yan hapa mtu anaganya pepa la mwisho tiket iko mfukon beg liko nje ya mlango wa darasa......kinguni usiseme......hakuna mtu anayekunywa kwenye kikombe ni mwendo wa majag,vikarai,visado vya tos.....msuli chaka kama kawa,....mara sec na musoma tec madem zao ni songe na chif...weekend ni kuzurara utakavyo na unatupia utakavyo......uji huwa ni saa nne saa tano na nisu klas so watu huwa wanadoj ama ukienda bas utawakuta wanasinzia kibao.....walim wa kike wanapendwa zaid.....kitu kidogo mgomo na wanafunz wanazo hoja za mgomo chezea hgk....kuna watu mgano wa mimi hatujulikan sababu naingia class siku za pepa ni mwendo wa msul chaka