upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,086
- 4,521
Kuingia disco na uniform afu mwalimu wa starehe anajipitishapitisha huku akisema 'NO ZERO DISTANCE'.
Pole sana mkuu, natumai na wewe hawakukupigisha nyetoNilisoma shule moja hivi O Level yangu..
Form four ndo walikuwa vinara wa kuwaburuza Na kuwatesa form one.
Hii siku sitakuja kuhisahau kamwe, majamaa yakaingia bwenini kwetu, hapo niko form one.... Mmoja akakaa mlangono, yaani hakuna hata form one mmoja alitakiwa atoroke.
Wengine wakaanza kupita kila kitanda kutuvutisha bangi, basi kila mtu alikuwa anapiga pafu mbili au tatu.
Form four mmoja akamkata mmoja wa form one, akamuuliza kichwa cha ub.oo wako na wangi kipi kikubwa.... Form one akijibu cha kwangu...
Daah, lile jamaa likamchukua yule form one akaenda naye chamba, akatoa mashine yake akaipaka mafuta, kisha akamwambia yule form one aanze kuisugua, yaani kumpigisha puny.eto..
Jamaa alisugua hadi yule form four kapiga bao...
Aisee....naomba niishie hapa, maana yako manyanyaso mengi sana, na nikikumbuka machozi yananitoka...
Hahaha... Namshukuru Mungu alininusuruPole sana mkuu, natumai na wewe hawakukupigisha nyeto
Mkuu si vema kuitaja kwa utukutu nilokuwa naufanya, ila classmates wengi tu sasa ni mapadri. Ni seminary kongwe sana kusini mwa tz.Mkuu ulisoma seminary ipi
Bora nyie mlikuwa hata na mikate, sisi tulikuwa tunakunywa uji usio na sukari tunauita SifongoMkuu hiyo ya store tulifanya sana. Ilikuwa tunamnunulia pombe mpishi halafu akilewa tunafungua store na kuchukua mikate.
Ligano seminary niniiMkuu si vema kuitaja kwa utukutu nilokuwa naufanya, ila classmates wengi tu sasa ni mapadri. Ni seminary kongwe sana kusini mwa tz.
Ahahah! Hapana Mkuu.Ligano seminary ninii
Basi taja tuu maeneo maarufu ya sheleni hapo nahisi tumesoma wote mimi piaa nilisoma huko kusini.... Seminary kongweMkuu si vema kuitaja kwa utukutu nilokuwa naufanya, ila classmates wengi tu sasa ni mapadri. Ni seminary kongwe sana kusini mwa tz.
Si tulikua tunakula kandeBora nyie mlikuwa hata na mikate, sisi tulikuwa tunakunywa uji usio na sukari tunauita Sifongo
umenikumbusha kuna washkaji walichukua ugali uliobaki usiku wakauweka kwenye mfuko wa sembe wakauweka asubuhi yake wakapiga na uji...halafu ukiuita ugali wanakumaindi...wanataka uuite white breadKunywa uji na kiporo cha makande au ugali wa jana kwa kuwa huna hela za kununulia mandazi au vitumbua..au siku nyingine kupiga uji dry...
Siku ya wali maharage au nyama na ugali watu wote kwenye group lako la kula hawakosekani hata mmoja...
Kubeba kiti na meza na kwenda kusomea chimbo la porini hukoo
Kujificha darini siku ya ukaguzi wa usafi
Aisee hamkufaidi kabisa,mbona sisi wale wa LOLEZA tulikuwa tunawakamatia vizuri tu!Kuingia disco na uniform afu mwalimu wa starehe anajipitishapisha huku akisema 'NO ZERO DISTANCE'.
Seminary ambayo Rector wetu wa kipindi hicho sasa ni Askofu wa Jimbo la Mbinga. Ukiijua kaa kimya Mkuu.Basi taja tuu maeneo maarufu ya sheleni hapo nahisi tumesoma wote mimi piaa nilisoma huko kusini.... Seminary kongwe
Kuibia watu kwenye maloka kwa kutekenyesha funguo..au kwenye matrank ya chuma yale...mengine yalikuwa mepes bas tunayapiga butterfly..heheheee....kufua ilkuwa tatzo bas n kuanuliana mashat tu



Mi niliosoma ilianza kutoa wanafunzi late 1950'sLigano seminary ninii
kuna mtu alifoji stam barua ikarudi ikasomwa assemble na headmaster alikuwa ameandika kwa demu wake ahahaaa eti nakupenda kama wali mchuziHaha, Mkuu hilo la kufuta mhuri wa stempu kumbe lilikua kila mahali?