majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,752
- 5,343
Hao ni watoto wa viongozi wa serikali ya ccm, wezi kama wazazi wao
Ha ha haaa baba mwizi, watoto vibaka, ma drug dealer, full vurugu duniani
Hao ni watoto wa viongozi wa serikali ya ccm, wezi kama wazazi wao
Mavana wa majiimbo gani wameishafungwa Marekani? Usipende kuokota maneno mitaa na kuleta JF.
Kaazi kwelikweli.....CCM oyeeeeee.....
![]()
Huyo wa katikati bongebonge naye nadhani hukumu yake inakuja muda si mrefu....
Rod Blagojevich.. Aliekuwa Gavana wa Illinois toka 2002-20009.. Amefungwa miaka 14 kwa rushwa.. Swali jingine..?
huwa nashangaa sana waafrika wanaowapigia kelele waafrika wenzao wakiwaibiia wazungu.. akili za kitumwa hizo...hivi mmesahau jinsi hiyo mizungu ilivyokuwa inakuja huku na kuchota dhahabu zetu na kuwapiga bakora babu zetu na kuwafanya watumwa?? mmesahau nyie vilaza?? mtu akiibia mzungu wala hata sitingishiki kumuuliza kwanini...mijizi mikubwa iliyopendezesha miji yao kwa utajiri wa babu zetu.
Wow! Just wow!!!!

Mleta mada umekosea ungeandika tu " swahiba wa jk atupwa jela miaka 12 kwa utapeli"
Tatizo si kuiba, tatizo unaporuhusu ukamatwe..... Wao hawajakatwa.
tatizo hatuna pa kulalamikia, tunawaabudu, hatuwezi kuwawajibisha, hilo tu, ila tunajua na tunafurahia wanavyotuibia, na tunawasaidia watuibie, ona hawa wanavyoona wenzao ni wakosaji, inashangaza...wameshakuwa brain washed....mzungu ni nani asimame kwangu azungumzie kuhusu integrity?? do they have it when it comes to race????

walivyowapiga hao wazungu basi hao jamaaa wangetokaaaa nduki huko kurudi hime.syo mpaka wadakwe
wao hata wakitupiga hatuwashiki.....sema inaonekanawabongo wenzao wana uchungu nao kwa sababu ya kuwatanulia na kuwachapiaaaa madem zao...naona hasira ndiyo hizo kwikwikwikwi
huwa nashangaa sana waafrika wanaowapigia kelele waafrika wenzao wakiwaibiia wazungu.. akili za kitumwa hizo...hivi mmesahau jinsi hiyo mizungu ilivyokuwa inakuja huku na kuchota dhahabu zetu na kuwapiga bakora babu zetu na kuwafanya watumwa?? mmesahau nyie vilaza?? mtu akiibia mzungu wala hata sitingishiki kumuuliza kwanini...mijizi mikubwa iliyopendezesha miji yao kwa utajiri wa babu zetu.
Wee kweli ni MNYONGE. Yaani hadi unatia huruma, khaaa!!!!!
Mchina pia alikuwa hana pa kulalamika. Brazil pia alikuwa hana pa kulalamika.
Ila sasa hivi wameshawapita UK na USA kiuchumi. Sasa ukiona RSA kuna akina ZUMA na Ufisadi wao, mhhhhh!!
Alpha ni swahiba wa JK?